sangara

  1. Jephta2003

    Sangara Ziwa Victoria: Ni Baraka kwa Uchumi au Laana kwa Ikolojia ya Samaki wetu wa Asili?

    Habari za muda huu wana-JF, Nimekuwa nikifanya tafakari ya kina juu ya hali ya Ziwa Victoria tangu miaka ya 1980 hadi sasa. Wote tunajua kuwa katika miaka ya 1950, uamuzi ulifanywa wa kumwingiza Sangara (Nile Perch) ndani ya Ziwa Victoria akitokea Ziwa Albert na Mto Nile nchini Uganda. Lengo...
  2. Masalu Jacob

    Kanda ya ziwa: Lini kutakuwa na kiwanda cha Dagaa, Sangara na Sato

    Habari Tanzania ! Eti lini wapendwa mtaleta Viwanda vya kuchakata Dagaa na Samaki ? Au ndio kusema mmeamua kuwaacha na mambo yao yote Kanda ziwa ? Onyesheni basi maupendo jamani. NB Masoko yapo ila viwanda hakuna.
  3. Ojuolegbha

    Serikali inaendelea na ukarabati wa meli ya mafuta ya MT Sangara mkoani Kigoma kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 3.60

    Serikali inaendelea na ukarabati wa meli ya mafuta ya MT Sangara mkoani Kigoma kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 3.60 ambao umefikia asilimia 98. Mradi huu utakapokamilika utawezesha kubeba shehena ya mafuta kiasi cha lita 410,000.
  4. Radical-1

    Uvuvi na Biashara ya Sangara chini ya 50cm

    Hili jambo nimekuwa nikijiuliza na sijawahi kupata ufumbuzi.. Naombeni msaada wadau. Ni kosa kisheria kuvua, kusafirisha na kuuza sangara (Nile Perch) wa ziwa Victoria wenye urefu chini ya sentimita 50. Hii nimeitoa kwenye kanuni za uvuvi 2009. KINACHONITATIZA NI HIKI HAPA: Wavuvi wanatakiwa...
  5. Mmawia

    Asante Rais Samia, sisi wavuvi wa sangara na wafuaji sasa tutauza bidhaa zetu Comoro

    Mungu azidi kukubariki rais Samia kwa uamuzi sahihi wa kutuletea ndege ya mizigo. Sisi wafugaji na wavuvi wa sangara sasa ni muda wetu kuuza bidhaa zetu nje ya nchi kwa wakati. Umefanya jambo la maana sana kutukumbuka sisi walala hoi.
  6. Webabu

    Kwa kauli hii naanza kuogopa kula Sangara

    Kumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo kama alivyotahadharisha Makamu wa Rais Dkt. Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi. Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia...
  7. kipara kipya

    CHADEMA operesheni zenu ni maigizo ya mafanikio ni Sangara tu

    Ukweli unauma lakini ni lazima muelezwe ili mjitathimini na muda mnaoupoteza katika hiyo misafara yenu ya kufuja pesa za wananchi maskini mnaowalazimisha kuwachangia mafuta. Lazima mkubali operesheni yenu iliyokuwa na malengo na ikafanikiwa na ikavuna wanachama ni moja tu ile operesheni...
  8. S

    INAUZWA Tunauza Samaki Sato kwa bei ya jumla, karibu kwa order

    Tunauza samaki aina ya sato kutokea Ziwa Victoria.. Usafiri kutoka Mwanza hadi Dar juu yetu. Tunauza kwa bei ya jumla tu, kuanzia kilo 50. Bei: Bei kwa kilo moja ni Tsh 8,500/- Malipo: Utalipia mzigo ukifishakufikia ulipo. Location: Tunapatikana, Banana Dar esalaam. Delivery: Tunafanya...
  9. THE SHADOW ONE

    Nauza samaki kutoka Ziwa Victoria

    Kwa wateja walio na mabucha mikoani na wenye supermarket ninauza samaki aina ya sato na sangara kutoka ziwa Victoria kuanzia kg. 100 nakuendelea ninakutumia popote ulipo usafiri juu yangu. Sato kg. 1 @ tsh. 8000 Sangara kg. 1 @ tsh. 7000 Lakini pia napokea order kwa samaki aina ya kamongo na...
  10. Kamanda

    Kesi ya Tundu Lissu: Serikali yawawekea ngumu Wadhamini kujiondoa

    Serikali imeamua kula matapishi yake baada ya leo kubadili msimamo wake kumkamata Tundu Lissu atakaporejea nchini. Katika mahakama ya Kisutu, Serikali kupitia wakili wake mwandamizi, Simon Wankyo imeieleza mahakama itupilie mbali maombi ya wadhamini wake, Robert Katula na Ibrahim Ahmed...
  11. J

    Ile ndege ya ATCL iliyopeleka nyama ya mbuzi Oman haiwezi kupeleka minofu ya Sangara Ulaya?

    Jana waziri wa fedha Mh Mpango amesema serikali imeingia mkataba na mashirika ya ndege ya nje mfano Rwandair na Ethiopian Airline kuweza kusafirisha minofu ya samaki kutokea Mwanza na mbogamboga kutoka KIA kuelekea Ulaya. Swali dogo: Ile ndege ya ATCL iliyosafirisha nyama ya mbuzi haiwezi...
  12. Z

    Waziri Mpina: Operation Sangara imeongeza tatizo la rushwa Kanda ya Ziwa

    Kuna kiongozi wa CHADEMA amewahi kusema bungeni juu ya mwenendo wa kushughulikia mambo ya wizara ya uvuvi kwa operations. Pamoja na waziri Mpina kuitetea wizara yake, kumbukumbu yangu inaonesha hakuna operation ambayo imewahi kufanikiwa bila matatizo kwa wananchi, bahati mbaya wanaoendesha...
  13. M

    Kati ya Salmon na Nile Perch (Sangara) yupi ana Omega 3 fatty acids kuliko mwenzie?

    Ni swali na wale wenye uelewa mpana naomba msaada. Nimejaribu kusoma various articles kuhusu hawa samaki wawili, Salmon anayepatikani baharini na Nile perch yupo ana high concentration ya Omega 3 fatty acids? Kuna wengine wana sema salmon kuna wengine wana sema Nile perch. Kwa wale wenye uelewa...
  14. B

    Nauza sangara

    Habari ndugu zanguni ZAYAD CREATIVES New Offer! Offer! Offer! Ndugu mpendwa, Tumekuletea suluhisho bora kwa watu wa majumbani, maofisini, mamalishe na babalishe, mahoteli, migahawa na makampuni yote na ofisi zote binafsi na serikali na kila anayehusika kuwa kitengo cha Zayad Butchery wanatoa...
  15. Parabora

    Supplier wa samaki Sangara na Sato kutoka Mwanza anahitajika

    Namtafuta supplier wa samaki aina ya sangara na sato kutoka Mwanza, nahitaji kufahamu mambo haya kutoka kwake 1. Bei ya kilo moja kwa sato na sangara kwa jumla samaki wakiwa mwanza ili na mimi niwauze kwa jumla nikiwa Dar. 2. Namna watakavyozipack katika vifurushi na kuzigandisha kabla ya...
  16. Fish Deliver

    Wakuu nauza samaki wa mwanza bei maelewano

    wakuu kama nilivyojiekeza hapo juu nauza samaki kutoka mwanza popote ulipo nakutumia Tanzania na nje ya Tanzania, bei maelewano nicheck kwa namba 0744420666 voda,0653842347 tigo,0625937918 halotel.
Back
Top Bottom