Nauza sangara

BOBLILA

Member
Nov 16, 2019
5
2
Habari ndugu zanguni
ZAYAD CREATIVES

New Offer! Offer! Offer!
Ndugu mpendwa, Tumekuletea suluhisho bora kwa watu wa majumbani, maofisini, mamalishe na babalishe, mahoteli, migahawa na makampuni yote na ofisi zote binafsi na serikali na kila anayehusika kuwa kitengo cha Zayad Butchery wanatoa huduma bora, nzuri na za kisasa, zilizoandaliwa katika usafi na ubora mkubwa wa kusambaza na kuuza kwa jumla na rejareja.

Huduma zetu kwa Kg 1 ni:
- Changu Sh 9000/=
- Tasi& Vibua Sh 8000/=
- Pweza wakubwa Sh 8500/=
- Ngisi Sh 10000/=
- Sangara Sh 5000 - 5500/=
- Sato Sh 8500/=
- Nyama ya ng’ombe Sh 7000
- Mbuzi Sh 8000
- Maini Sh 9000
- Nyama ya kusaga Sh 10,000
- Kuku wa kienyeji kuanzia Sh 15000
- Kuku wa kisasa (broiller) Sh 7000 Nk.

Hatuna sifa nyingine kubwa ila ukweli na uaminifu kwa kila mteja wetu ndio ngao yetu akiwa mbali au karibu, na ukiagiza utapata kilicho bora bila mapungufu au udanganyifu wowote, kizuri utaambiwa na kibaya utajulishwa.

Na ukipenda kuletewa(Delivery services) utaletewa,utatengenezewa na kukatiwa kwa mashine ya kukatia iliyo imara.

Ukifika ofisini kwetu utatamani hata kulala, mazingira yetu safi na tulivu, kiyoyozi safi, eneo kubwa na ukipenda utajipima uzito wako bure huku ukipata kikombe cha kahawa au chai au maji ukiendelea kusubiria huduma.

Tupe oda yako kwa shughuli yako au sherehe yoyote na wale wanaomiliki mabucha, migahawa, mahoteli au supermarket. Wasiliana nasi mapema tufanye biashara kuna fursa kubwa kutoka ZAYAD kwa sasa.

Ikiwa hiyo haitoshi tunatoa offer na zawadi nyingi kwa wateja kama lita za mafuta, viungo, kilo za vitunguu na nyanya na hata vyombo vya nyumbani n.k kwa wateja bora.

Huduma zetu ni nafuu na utapimiwa kwa kias cha pesa ulicho nacho.

Tupo Barabarani kabisa eneo la ILALA BUNGONI - MSAADA GERAGE makutano ya Barabara ya uhuru na mtaa wa Bonga

Tembelea Twitter/Instagram/Facebook kwa jina: zayadbutcher ili upate taarifa na habari Zaidi

Au tupigie/whatsapp namba:
*0672 177 227/0745 873 038*
*E-mail:zayadbutcher@gmail.com*

Mwili wako haujengwi kwa matofali ila kwa mlo kamili
 
Asee tatizo ni kua apo bei ghari Pambana sana skukatishi tamaa na ndo maana kuna machaguzi ila kwa nafsi yangu naonaunataka super profit na apo ndo utafeli

Nyama ya Ngombe kilo 5000-5500 wewe unauza 7000

Kuku bloiler 5800 wewe unauza 7000

Maini elfu 7000 wewe elfu 9000

Mbuzi kilo 7000 wewe elfu 8000

Pweza 7500 wewe 8500

Ngisi 8000 wewe elfu 10

Sato 6500 wewe 8500

Ebu niconvice nitoke kwangu nije nunua kwako kwa bei izo
 
Inategemea na maeneo mkuu, nyama huku kwetu buku 7, na maini buku 10, kuku buku 7 so inategemea na mahali ulipo sio kote bei inafanana
Asee tatizo ni kua apo bei ghari Pambana sana skukatishi tamaa na ndo maana kuna machaguzi ila kwa nafsi yangu naonaunataka super profit na apo ndo utafeli

Nyama ya Ngombe kilo 5000-5500 wewe unauza 7000

Kuku bloiler 5800 wewe unauza 7000

Maini elfu 7000 wewe elfu 9000

Mbuzi kilo 7000 wewe elfu 8000

Pweza 7500 wewe 8500

Ngisi 8000 wewe elfu 10

Sato 6500 wewe 8500

Ebu niconvice nitoke kwangu nije nunua kwako kwa bei izo
 
Asee tatizo ni kua apo bei ghari Pambana sana skukatishi tamaa na ndo maana kuna machaguzi ila kwa nafsi yangu naonaunataka super profit na apo ndo utafeli

Nyama ya Ngombe kilo 5000-5500 wewe unauza 7000

Kuku bloiler 5800 wewe unauza 7000

Maini elfu 7000 wewe elfu 9000

Mbuzi kilo 7000 wewe elfu 8000

Pweza 7500 wewe 8500

Ngisi 8000 wewe elfu 10

Sato 6500 wewe 8500

Ebu niconvice nitoke kwangu nije nunua kwako kwa bei izo
Unaishi wapi uko mkuu ambako maisha ni rahisi hivo
 
Asee tatizo ni kua apo bei ghari Pambana sana skukatishi tamaa na ndo maana kuna machaguzi ila kwa nafsi yangu naonaunataka super profit na apo ndo utafeli

Nyama ya Ngombe kilo 5000-5500 wewe unauza 7000

Kuku bloiler 5800 wewe unauza 7000

Maini elfu 7000 wewe elfu 9000

Mbuzi kilo 7000 wewe elfu 8000

Pweza 7500 wewe 8500

Ngisi 8000 wewe elfu 10

Sato 6500 wewe 8500

Ebu niconvice nitoke kwangu nije nunua kwako kwa bei izo
hi

Kaka unalijua soko lilivyo au?
Kwanza hivyo vengine sio jumla ni rejareja.
Kiki broiler ukitaka wajumla wasiochinjwa ninao na nauza 5800 Hadi 6000....ukitaka ng'ombe jumla quality kwa sasa ni 6000 Hadi 6200 na wapo wanauza 5500 lakin nyama zao nyingi sio nzuri na bei hiyo ni ya machinjion...kama ukiona bei hiyo ya mtaana basi hiyo nyama uiangalie marambilimbili...Sato hakuna bei ya 6500 kwa rejareja wala jumla kwa upande wa dar...
 
Brother mimi ni mnunuzi wa ao kuku broiler Nenda uko Chamazi Magengeni uliza wauzaji uko wananunua broiler 5000 na wao wanauza paja 1000-1500, kidali 1900, firigisi 700, Miguu na kichwa 300, shingo 500 na hawa elfu 5000 awajatengenezwa ukitaka wakutengenezee ndo 5800

Kuhusu nyama ya ngo’mbe Nenda apo Saba saba kabla haujafika Mbagala Zakiem nyama ailali inauzwa 5000-5500

Samaki sogea uko Mbande ukivuka uwanja wa Azam complex watu wanafanya ufugaji na wanamabwawa makubwa ao Sato ndo bei yake

Yani uko ata mboga za majani siku nikienda ntakuonesha Mchicha wa 1000 unakula siku 2 mchana na usiku tena unatosha ata watu 5-6 yani uku ndo soko wanalouza vitu bei nafuu

View attachment 1271087View attachment 1271090
 
Niko dsm mkuu ( Wilaya ya Temeke) ndo mana nimeshangaa kumbe kunafursa ya kuleta mzigo uko nkauza kwa bei ya uku na nkamake pesa nzuri
Acha ujinga wewe...sato kwa 6,000 utapata wapi? Hata Mwanza kwenyewe hupati. Labda hao wako wa kufuga kwenye mabwawa wanaonuka mav* ndio bei hizo.
 
Acha ujinga wewe...sato kwa 6,000 utapata wapi? Hata Mwanza kwenyewe hupati. Labda hao wako wa kufuga kwenye mabwawa wanaonuka mav* ndio bei hizo.

Umeona Sasa sema wewe haujazunguka na umezoea ibiwa unauhakika unalo ongea ngoja nikuoneshe samaki nlionunua asubui apo ndo uache ubishi wa kipumbavu
 
Acha ujinga wewe...sato kwa 6,000 utapata wapi? Hata Mwanza kwenyewe hupati. Labda hao wako wa kufuga kwenye mabwawa wanaonuka mav* ndio bei hizo.

42F28FF0-432C-4EB3-BB72-9B4109D80F01.jpg
 
Back
Top Bottom