sanaa

  1. JamiiForums Tanzania Nje ya Sanaa ya muziki, Civilian-Coin pia ni fundi ujenzi.

    Msanii wa muziki kutoka Tanzania anaye ghani mashairi yake kwa lugha ya kiingereza pia ni fundi ujenzi wa majengo na mbunifu wa kutengeneza vifaa mbalimbali vya ujenzi, hujishughulisha na shughuli za ujenzi ambazo humusaidia kukamilisha mipango yake ya Sanaa ya muziki na maswala ya kiuandishi wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Itatuchukua Miaka Mingi saana Kumpata Rais Mchapakazi Aina ya Samia Anayeshinda na Kukesha Akifanya Kazi. Maisha Yake Ni Sadaka Kwa Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kama tafiti zinavyoonesha ni kweli gen z sio wanywaji sana wa pombe ila sanaa yao kubwa ni hii hapa

    Source: Time Magazine Why Gen Z Is Drinking Less Hata baa huko marekani zinaanza kufanya marekebisho ili wawarudishe gen x maana walikimbia pubs baada ya kuboreshwa kuwakabilisha gen z, ila gen z kumbe hawaji pub kutafuta pombe bali kula jagina😁 Ndio kabisa, hakusa kizazi cha kifuska kama gen...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nimewaona Ma RAIS 5 Baada Ya Rais Samia. Wote Wamepikwa na Wamepitia Mikono Mwake ,Uwezo Wao na Uzalendo Wao Ni Mkubwa Sanaa Kwa Taifa letu. Tuwaombee

    Ndugu zangu Watanzania, Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030. Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
  5. JamiiForums Tanzania Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

    Hello guys,. Hope mko poa kwa ambao mnapitia changamoto zozote ni maombi yangu Mungu awafanyie wepesi wote mkae sawa,. Referring to thread ya Dr. Mariposa mwanaume anaweza akutongoze hata muwe mnaheshimiana namna gani,. Yalinikuta ila huyu hakunitongoza. Huyu sijui nimwite mkaka au mbaba (...
  6. JamiiForums Tanzania Aisee usimchukulie poa mwanaume anaeipitia ukata mkali tena unakuta ana wategemezi. Kama haujawahi kuwa level hii utamchukulia poa. Ukata unauma sanaa

    Ebu acheni Una enjoy luxury ya kucheka na moyo umetulia. Kupost JF kwa mbwembwe maana moyo wako sio mzito Kuna mtu anaamka anapokelewa na machungu, hajanywa chai simu tatu za kukumbushia madeni, wife ndio huyo anakuambia watoto nguo zinawabana. Sio kwamba haukujipanga ila ni basi katika...
  7. JamiiForums Tanzania Taji Liundi jinsi alivyomuokoa katika Sanaa Civilian-Coin mwaka2004 tafadhali okoa Tena upya

    For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3 Taji Liundi ndio binadamu wa kwanza Tanzania kumpigania Civilian-Coin zamani alijiita "Masqo" baadae "Don NALIMISON" na Sasa "CIVILIAN-COIN( Civilian-Coin Nalimi Kisandu). Mwaka 2004 Civilian-Coin alirekodi wimbo "Usiunyanyapae...
  8. JamiiForums Tanzania Kazi zangu za sanaa! Kutoka sketching mpaka acrylic painting. Ungana na mm hapa hapa jukwaan

    Naamin sote mnaendelea vizuri. Huu ni uzi maalum kabisa special kwa kazi zangu binafsi za sanaa na biashara endelevu. Binafsi ni msanii wa sanaa ya uchoraji, natangaza kaz zangu hapahapa jukwaan. Kwanza kabisa maandalizi. Frem Penseli Picha unayoichira Rangi Rula na Mwisho, ni uwezo binafsi...
  9. JamiiForums Tanzania C-C Digital Pro ya anzishwa na Civilian-Coin kuokoa Sanaa Kimataifa

    Civilian-Coin introduces new production branch, "C-C Digital Pro", is a comprehensive digital media agency. They specialize in high-quality motion graphics for video, still picture production, and serve as a fully equipped recording studio for music and films. Core Services: C-C Digital Pro...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vyuo vya sanaa ya uchoraji level ya diploma

    Habari wanajf. Natafuta Vyuo vya uchoraji Tanzania, Kuna mto anapend kuchora na anataka akasomee kozi inayohusiana na kuchora. So far nimeona kozi ya Performing and visual arts pale Tasuba itamfaa, ila web ya TASUBA naona haifunguki. Naomba mwenye Orodha ya vyuo vinavyotoa kozi zinahusiana...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wenye Shahada za elimu katika masomo ya sanaa wasiajiriwe shule za msingi ili kupunguza idadi ya wahitimu wa fani hizo mitaani?

    Huu ni mjadala huru : Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna anayehisi maumivu yao. Serikali na mamlaka tatizo si kulimaliza bali hata kulipunguza haijatoa mwelekeo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Sanaa ya jadi ya paka mlinzi wa paa “Wamao” mkoani Yunnan ni lulu inayohifadhiwa ili isipotee

    Wakati 2026 ni mwaka wa mawasiliano baina ya watu wa China na Afrika, shughuli nyingi za mawasiliano zinafanyika zikiwemo za kitamaduni. Katika kutimiza azma hii iliyowekwa na viongozi wa pande mbili za China na Afrika, wakati nilipotembelea mkoani Yunnan, nami nikajiunga kwenye shughuli za...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa Kiongozi kuwa Mhandisi na ubaya wa Kiongozi kuwa mtu wa Sanaa

    China is an engineers' country, but US and Germany are now lawyers' countries: former German chancellor By: Global Times | Published: May 04, 2026 04:01 PM "China is, as the US and Germany in the 19th century, an engineers' country. And now we are lawyers' countries," said former German...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera BASATA kwa kuua Vipaji na Wasanii, Je, Chini ya Makonda, Sanaa itainuka tena?

    Salaam Wakuu, Kwa Ufupi Malengo ya BASATA ya kuua Vipaji na sanaa ya Tanzania yamefanikiwa. BASATA wamefanikiwa kuua Tasnia ya Burudani. Nimeenda BASATA wafanyakazi wao wamelala wengine wameenda chai. Hawana kazi tena kwani kazi washaikamilisha. Namshauri Paul Makonda(Waziri) aangalie namna...
  15. JamiiForums Tanzania Sanaa ya kuingiza kichwa cha shaft (Pinion Gear Head)

    Katika magari ya zamani...hasa ISUZU TXD 50 ilikuwa ina shida sana kwa upande wa Diff..sasa kulikuwa na utaalam wa kusanifu matengenezo na utaratibu wa 'pinion'...katika yote hayo baada ya matengenezo sharti kichwa cha shaft kiweze kulengwa kwenye tundule pasi na kuvunja meno ya sahani kuu yenye...
  16. JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar (BASSF) lasitisha shughuli za muziki na burudani kipindi cha Ramadhani

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu Zanzibar limetoa taarifa Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani linawakumbusha wamiliki wa maeneo ya kumbi za starehe na Burudani, wapigaji wa muziki na Wananchi wote kwa ujumla kwamba Shughuli za upigaji wa muziki kwa kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Karai na ndoto: Vijana wa Tanzania wakumbatia sanaa ya mapishi ya Kichina

    Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi kijana wa Tanzania anayesomea mambo ya huduma, anajaribu kukata viazi kwa usahihi, vipande vyembamba...
  18. JamiiForums Tanzania Kiufupi ni kuwa watu kama IPM na kapola wame master sanaa ya kufanya zogo na watu wanaopitia msongo kutokana msoto wa maisha na inawalipa sana aisee.

    Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
  19. JamiiForums Tanzania Simba SC inatia hasira na fedhea sanaa

    Hii ni zaidi ya dharau Team haina map inatia kichefuchefu
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO SUA kuna wanafunzi hasa wa 1st year wanateseka sana. Mpaka sasa hawajapata pesa ya kujikimu

    Hapa chuoni Sua Kuna wanafunzi hasa wa first year wanateseka sanaa mpaka sasa hawapata pesa ya kujikimu huku loan officer akiwaambia wawe watulivu watapata pesa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…