sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. hamis77

    Kwanini Mungu alimpenda sana Daudi ,japokuwa alikuwa na machafu mengi?

    DAUDI ALIKUWA NA MADHAIFU MAKUBWA Daudi hakuwa mkamilifu. Alifanya makosa mazito kama: Kuzini na mke wa Uria (Bathsheba) Kumuua Uria kwa njama ili kuficha kosa lake (2 Samweli 11:1–27) Haya yalikuwa makosa ya kimaadili na kisheria mbele za Mungu. LAKINI DAUDI ALIPENDA KWELI NA HAKUWA...
  2. Fbn

    Uzuri wa kuunda genge ili liwe kinga ya madaraka yako kuna siku linakugeuka wewe mfano Sudani

    Napenda kutoa mfano mchache tu wengine mtaweka hapa. Watawala wakishafika kujenga genge la kuwasimamia kila kona kuna siku watapenda nao nafasi uliyopo washike wao endapo mkipishana. Swala la sudani lilikuwa funzo tosha ila ndio basi tena. Hata kule congo laurent kabila nalo lilikuwa hivi...
  3. Echolima1

    Kwa nini Mwandishi wa habari wa Ki-Palestina Hassan Aslih Majeshi ya Israel yalitaka sana auliwe?

    Ni kweli kabisa Majeshi ya Israel yalijaribu mara moja kutaka kumuua Mwandishi huyo wa Kipalestina Hassan Aslih na kumjeruhi vibaya sana akalazwa Hospitali ambako jana waliamua kumfuata huko huko na kumuangamiza bila huruma yoyote. Swali linarudi kwa nini Israel ilitaka sana hasa kuwaua...
  4. haszu

    Watanzania wamebarikiwa sana kwenye kusahau na kufatilia mambo ya msingi

    Kama ni memory, watanzania wana operate on CPU register. Wanashupalia jambo, kisha baada ya muda washasahau, wansubiri jengine. Tangu enzi za kuuwawa kwa Daudi mwagosi hadi kupotea kwa mdude, in between kuna mengi, but follow-up ni zero kabisa. In short kwa Tanzania tatizo ni lile linalompata...
  5. Introver

    Tafakari sana kabla ya kuamua hatima yako

    Tafakari sana kabla hujafikia hitimisho Fulani ambalo ndio litakuwa la kudumu katika maisha yako. Kuna watu wengi sana ambao shetani kawafumba macho, na kuwafanya wasifikiri vyema kabla ya kufikia hitimisho la maisha yao. Kwamfano kuna watu wanatazama mwenendo wa watumishi wa uongo, au...
  6. F

    Mke ananipa unyumba kwa tabu sana

    Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa. Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi...
  7. K

    Tafadhari usimuhoji wala kumfanyia interview mwana Yanga yeyote. Wana hasira sana Kwa sasa

    Hata Kama ni Mdau Wa Soka nguli , Kwa Muda huu Msiwafanyie interview. Itakushangaza Majibu yake...! Nilimsikia Angetile Osea akitumia neno 'wajinga' TFF na Bodi na akaongeza Kwa Sasa Wasiseme Lolote kama Wanaitaka amani,hapo alikuwa anatoa maoni yake Kipindi Cha michezo Cha Usiku clouds...
  8. The Burning Spear

    Chadema hawa Virusi G55 Wakishaondoka wote Tangazeni Nafasi Zilizo wazi Vijana tuje tuzizibe haraka Sana hatuna kazi huku kitaa na Degree Zetu.

    GT Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana. Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi. Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
  9. BLACK MOVEMENT

    Zitto ni mjanja sana, Ofisi za ACT Wazalendo mikoani zina picha yake ukutani na sio picha ya Kiongozi wa sasa Dorothi Temu

    Staili za Vladimiri Putini wa Urusi.
  10. BLACK MOVEMENT

    Rekodi ya kuhama chama ya Lowassa haitakaa ikaribiwe, alisepa na kijiji, hawa G55 wanaigiza sana, hata familia zao haziwafuati huko

    Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote. Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti. Hata Dr Slaa...
  11. Fbn

    Hayati JPM kama tungekuwa naye ukabira ulikuwa umefika wazi sana ndio leo tunaona kwa mshika kijiti wake

    Ukabira wa JPM yani leo ukiwa usukumani huwezi kuwaeleza kitu kuhusu huyu mtu. Ili sasa naliona muhusika mwenzake kuona hana hapa lake tanganyika katumia udini wake. Naeleza ili kila watu 10 wa imani yake no wawili tu unaoweza kusikia wakisema ila nao wawili ni kama wanaogopa imani zao kuhusu...
  12. DR HAYA LAND

    Mbeya ni sehemu yenye watu strong sana , kimtazamo, kimaamuzi na katika kujua haki zao Study case kwa Mdude!

    Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono . Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki. Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
  13. Zee la madawa

    Uislamu unakua kwa kasi sana mkoani Iringa

    Takbiiir! Sikutegemea hata kidogo kukuta wimbi la waislamu huku Iringa aisee uislamu unakua kwa kasi sana na kila mtaa ni msikiti na watu wanaswali na wanajaza sana msikitini Tofauti nilivyokuwa nafikiria aisee na hiii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki aisee.
  14. U

    Je ni zipi sababu za msingi zinazowafanya Wasabato duniani kote wachukie na kukereka sana unapoambua au kuwaeleza habari za Msalaba?

    Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali lengo ni kuelimishana Sio kama natunga hadithi au naleta uzushi ila nachokuambia ndiyo ukweli halisi kuwa hao Ndugu zetu ukitaja tu msalabani ambao aliangikwa Yesu Kristo Huwa wanakosa Raha Naam baadhi yao hufilia hatua ya kusema kuwa...
  15. H

    CCM Imewekeza Sana Kwenye Uovu, Huku Kila Siku Ikiwafukuza Wananchi.

    Sijui ndani ya CCM ameingia shetani gani!! Maana kwa mwenye akili, hata ile akili ya kawaida sana, hawezi kufanya yale ambayo CCM inayafanya kwa sasa. Kiuhalisia, CCM ya sasa imewekeza sana kwenye uovu huku ikiwafukuza wananchi wote wema na wanaotaka haki ndani ya nchi. Fikiria chama ambacho...
  16. The Mafia

    Mna siri sana huko nje

  17. Crocodiletooth

    Gas ni nzuri sana, ni usasa wa kisasa, lakini tusiziache kanuni za ukubwa wa madirisha yetu majikoni

    Gas hutusaidia kutunza mazingira yetu, misitu yetu, pia ni salama endapo kanuni za kiusalama zitafuatwa ikiwapo, kuweka madirisha makubwa katika majiko yetu! ========== Your Gas Stove Might Be Emitting Cancer-Causing Chemicals—Even When You’re Not Cooking. And Children’s Are At Double The...
  18. Crocodiletooth

    Bw, Mnyika kama kiongozi uliyesaidia transitional, how do you survive?, maswali ni mengi sana!

    Wenye akili zetu tumekaa tu kimya tunakuangalia, #Pole sana bw. FAM.
  19. mkokamoto

    Ukiona kwenye mkutano wamejaa wanaume!! Ogopa sana

    Kwenye mikutano mingi ya kisiasa wanawake na watoto hususani wanafunzi huwa ndo wengi zaidi huku ni nadra kukuta kundi kubwa namna hii la wanaume CCM na serikali yake wana la kujifunza hapa, watu wanatembea kwa miguu wengine umbali wa zaidi ya kilometa mbili, Hawajasombwa kwa magari au maroli...
  20. R

    Harufu Ina nafasi Sana kwenye mahusiano,ni vile huwa tunachukulia poa!

    Umewahi kujiuliza kwanini dume la ng'ombe Huwa linanusa!!?kwanini Kuna baadhi Huwa wananusa hata nguo za ndani hata kama ni chafu tu!!?hivi unajua Kuna baadhi yetu tuliwahi nusa harufu TU ikadinda kabla hujaona hata paja!?na Kuna baadhi yetu ililalala na hatukutaka kuendelea Tena kisa harufu...
Back
Top Bottom