sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yusuf Makamba na January Makamba wanalambia wapi Asali kwa sasa? Mzee amekuwa kimya sana

    Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu. Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wamechoka kuwekewa taka mbele ya maduka Eneo la Darajani, Vikokotoni

    Wafanyabiashara wa eneo la Darajani, Vikokotoni wanaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya ukusanyaji wa taka mbele ya maduka yao. Licha ya kulipa pesa za taka kwa Manispaa kupitia tozo zinazojumuishwa kwenye leseni za biashara, taka zinaendelea kuachwa mbele ya maduka baada ya wafagiaji...
  3. I

    JamiiForums Tanzania TFF Ni jipu linalotoa usha kila uchao.

    Nmekuwa nashangaa kuona kila mechi inayokutanisha Simba na yanga kupangiwa kuchezwa visiwani Zanzibar, nadhani kwa kufanya hivyo ni kutukosea Sisi watanganyika(Tanzania bara)kwani Simba na yanga ni timu za Tanzania bara ambazo n tunu kwa watu wa bara kitendo cha kupeleka mechi za Simba na yanga...
  4. JamiiForums Tanzania Juma Ayo ana IQ ndogo sana. Inakuwaje Crown Fm wanampa majukumu yanayozidi uwezo wake?

    Nimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club. Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius professor Mangungu ana IQ kubwa mno na huyu Juma Ayo hana uwezo kabisa wa kuhoji kichwa kama...
  5. JamiiForums Tanzania Maisha yapo complicated Sana unakuta mabinti wanakukataa ila wake za watu wanakushobokea

    Unakuta unatongoza hata manzi kumi ila zote zinakukazia ila wake za watu wanaanza kukutongoza wenyewe huku si kutafutana ubaya
  6. JamiiForums Tanzania Simba wana akili nyingi sana. Baada ya usajili kubuma wameamua kujivunja

    Kwakifupi si Moo wala Magori, wote wanaogopa sana kipigo cha kihistoria watakachopata tarehe 12/08/2026 hivyo wameona watengeneze mgogoro ili ionekane Yanga kaifumua Simba magoli 15 - 0 kipindi Simba haijakaa sawa.
  7. JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mwandishi Khalifa Said: Tupo kwenye kipindi kibaya sana kwa sasa zaidi ilivyokuwa wakati wa Magufuli

    Waandishi wanahali ngumu. Wanafanya kazi kwa hofu.👇
  9. JamiiForums Tanzania MAISHA BAADA YA KESI NIMEFIRISIKA YAMEKUWA MAGUMU SANA

    HAbari ndugu zangu nahisi kuchanganyikiwa jumatano tarehe 29 nilihukumiwa faini na kifungo cha nje miez 4 kufanya usafi pugu kata, kwa sasa maisha yamekuwa magumu kesi imenifirisi mtoto karudishwa shule sina pakushika sina msaada kila siku saa 1 mpka saa 4 kufanya usafi familia iko hoi naombeni...
  10. JamiiForums Tanzania Pombe feki zinalipa sana. Walevi jiandaeni na DIALYSIS!

    Walevi jiandaeni na kuanza dialysis. Pombe feki zinatengeneza mabilionea. Wile Karimo, Kalittle na Wachina mtaua ndugu zetu. NB: Pombe kali feki kwa bei ya pombe OG kuweni na huruma
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta sana hiki kiatu; mtumba grade one, hakijavaliwa,. Nilikutana nacho Sabasaba

    Hellow wakuu. Habari ya majukumu. Nimeona niwashirikishe hili suala. Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa. Ni mtumba. Grade No 1. Size No 44 Hakikuwa kimevaliwa Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Bado Mahakama haiko huru, tusiwe lured na hiki kihukumu cha Lisu. Mahakama needs to do more to regain its independence. NAIHESHIMU SANA MAHAKAMA

    Jana Mahakama imetoa ushindi kwa LISU. Kumekuwa na nderemo na vifijo kwa hukumu hiyo. Kwangu mimi sina la kushangilia, bado Mahakama ni tawi la serikali linapokea maagizo ya serikali. Tusishangilie vitu vidogo kama hivyo! Bado mahakama haiko huru. It needs to do more! And this is difficult to...
  13. JamiiForums Tanzania Kama tafiti zinavyoonesha ni kweli gen z sio wanywaji sana wa pombe ila sanaa yao kubwa ni hii hapa

    Source: Time Magazine Why Gen Z Is Drinking Less Hata baa huko marekani zinaanza kufanya marekebisho ili wawarudishe gen x maana walikimbia pubs baada ya kuboreshwa kuwakabilisha gen z, ila gen z kumbe hawaji pub kutafuta pombe bali kula jagina😁 Ndio kabisa, hakusa kizazi cha kifuska kama gen...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini "maridhiano" yanaitaja sana CHADEMA?

    Neno maridhiano limeshika kasi kwa siku za hivi karibuni. Lakini mjadala upo zaidi kwa CHADEMA. Maswali niliyonayo ni nini kilitokea? Chadema hawakushiriki uchaguzi, je watafanya maridhiano gani kama sio kuyafuata waliyohahitaji kabla ya uchaguzi? Lakini kama maridhiano ni matokeo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Naogopa sana kuomba msaada; Kwangu kukwama si jambo la kawaida

    Mimi ni mtu ambaye naona aibu sana kuomba msaada. Sijawahi kuzoea maisha ya kutegemea kwamba siku nikikwama nitampigia mtu simu aniokoe. Kwa namna nilivyojijenga, naona kuomba msaada ni hatua ya mwisho kabisa, na huwa najitahidi nisiifikie. Kwa sababu hiyo, nimejifunza kuishi kwa mipango...
  16. JamiiForums Tanzania Karbu sana mabula sisi ndo yanga

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Karbu sana mabula Karbu sana bro LONDON BOY
  17. JamiiForums Tanzania Upo hapa kwa muda mfupi sana

    wanadamu ni mafupi na yenye mahangaiko mengi, na hakuna jipya chini ya jua. Hapo utaona mambo matatu Mwanadamu, Maisha, na Mahangaiko. Tumesema hapo juu kuwa maisha ni mafupi sana, kwa uzoefu mdogo utaona kuwa umepitia utoto, baadaye ujana, na huenda kwa sasa wewe ni mzee. Kesho huenda ukawa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Madeleka matata sana, lakini ile defection ya kwenda ACT ilishushà morale yake kwangu. Msikilize na sheria hapa

    Vijana walishitakiwa kwa kigushi nyaraka na kijipatia mokopoya HESLB waachiwa huru! Msikilize anavyio jinadi
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfanyakazi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy yupo department ya Examination ana dharau sana kwa watu

    Habari kuna mfanyakazi mmoja wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy yupo department ya Examination ana majibu ya dharau sana hasa kwa watu wanaoenda hapo wakiwa na uhitaji mbalimbali. Tulienda kufuata vyeti vyetu lakini alikuwa busy na kuchezea simu tukijaribu kumuuliza anakuwa mkali na hii si...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini watumishi wa wanahama sana wakipangiwa baadhi ya maeneo?

    1. Kutaka kuwa karibu na familia hasa mwenza na watoto. 2. Kukosekana kwa nyumba bora za watumishi au za kupanga. 3. Gharama kubwa za kupanga hasa katika majiji. 4. Upungufu wa huduma za kijamii kama maji, umeme, shule, hospitali 5. Changamoto ya mawasiliano ya simu na Miundombinu kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…