sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kauli kama hizi ndo zinawafanya vijana waone D9 ni mbali sana

    GT Mkiambiwa nchi inaongozwa na watu.wa hovyo ni kama hilo zee. Hili zee ni role model ya wabunge vijana huko linapaka superblack mvi zisionekane hovyo kabisa
  2. JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  3. JamiiForums Tanzania Ogopa sana hii connection inayoendana sambamba kuleta machafuko na taharuki duniani. "UKOMNONISTI-MLENGWA WA KUSHOTO-ITIKADI KALI"

    Kila muoneaji na mkandamizaji hapa duniani ni rafiki mkubwa wa china na urusi na analindwa kimaslahi na wao. Kila machafuko yanayotokea dunia kwa asilimia kubwa yanafadhiria na syndicates za kutoka mashariki ya kati. Liberals sasa Wameona vitabu vya kishoga vimepigwa marafuku, sasa wameanza...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuwaombee sana wafanyabiashara, wanapitia mengi

    Hawa watu ni muhimu sana kwa uchumi na maendeleo ya taifa. Sio rahisi ila wanapambana. Binafsi nina uhakika ni wafanyabiashara wachache sana nchini ambao wanafanya biashara zao pasipo kuwa na stress kubwa. Wengi presha zinapanda na kushuka. Kuna kundi kubwa sana ni kama linawafanyia kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa yale ya tarehe 29/10, Nitashangaa sana kama "Spy Chief" wa nchi ya "Zimbabwe" ataendelea kuwa kibaruani

    Wanajamvi! Enzi za medani ni medani kweli, nazungumzia enzi zile "Jumba jeupe" kuna watu wenye akili timamu, weledi, maarifa, wivu na uzalendo mkubwa sana kwa watu na nchi yao. Enzi ile kabla ya "vetting" haijabadirika ya kuingiza "vilaza" kwenye medani bila vipawa. Naam, enzi ile ambayo Spy...
  6. JamiiForums Tanzania Maendeleo haya wakiyaona Wakenya wanaumia sana wanataka tufanane nao - Na maadui wengine wanataka wafanye wao Tanzania oyee

    VIta vya kiuchumi ni halisi wengine wanadhani kwamba ni matani matani ya kwenye mitandao ya kijamii. Adui atatumia mbinu zote kuhakikisha kwamba tunakwama na yeye aendelee kuwa juu. Haya maendeleo yanamfanya adui wetu azidi kuumia. Anajiuliza why them not us? atika Afrika Mashariki, kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini uwezekano wa yanayoitwa maridhiano Tanzania ya sasa ni mdogo sana?

    Ukiafuatilia kinachoitwa maridhiano utagundua uwezekano wa jambo hilo kwa Tanzania ni mdogo sana kwa sababu hakuna aliye tayari kwa hayo maridhiano. Ili maridhiano yawezekane Tanzania CCM itabidi kwanza ikubali mambo kadhaa kama sita yaliyo muhimu ambayo kwa uhakika uwezekano wa CCM kukubali ni...
  8. JamiiForums Tanzania Eurekaah! Mikoa iliyokinukisha sana ina maendeleo makubwa ya vipato; ile iliyolala, na vipato vyao vimelala!

    Nywinywinywi Nywaaaaaa! Chikichiki Pah Pah Paaah! Hoja hai, haiwi mfu kwa Risasi! Za nini Risasi? Nashambulia nikitokea upande wa winga wa uchumi. Eee bana wee! Wanazuoni wengi mashuhuru kwenye uwanda wa sayansi ya siasa na uchumi, wamekuwa mara nyingi wakinasibisha jamii huru na zenye haki na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kunatokota sana huku mtaani

    JF Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana. Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana. Haki huinua taifa.
  10. JamiiForums Tanzania Nime gundua BODA BODA wetu wako vizuri sana kwenye ulengaji wa shabaha

    Kupitia misuko suko ya maandamano kuna jambo moja nime weza kuli gundua . BODA BODA wetu wako vizuri sana kwenye kulenga shabaha na kulinda upotevu wa risasi , kwani wahanga wengi uki achilia walio pigwa risasi wakiwa wame lala chini wengi wame pigwa risasi za kichwa . Ova and Out
  11. JamiiForums Tanzania Hongera sana serikali kwa kuanzisha mkakati wa kuwasaka vinara wa machafuko

    Friends and Our Enemies... La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa.. Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa... Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Afrika Mungu anatajwa sana kuliko Israel, Vatican na Mecca na hili ndo chanzo cha matatizo yote

    Dar ni automatic sauna Niende kwenye mada, ukija Africa utakutana na jamii ya watu wa ajabu kwelikweli wao kila muda Mungu Mungu tu hawajali jitihada zao na mbinu zao wao wanaamini kila kitu ni mipango ya Mungu tu. Mtu kapata kazi halmashaur anasema Mungu kamsaidia lakini jitihada zake hazip...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, naomba maombi yenu ya tarehe 9.11 na misaada mtakayoikusanya viwaendee pia waliodhulumiwa Mali zao na kazi zao! Mungu awabariki sana

    Bwana asifiwe! Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima majeruhi wote. Aidha, mmewataka watu kupeleka misaada kwenu kwa ajili ya majeruhi. Ni jambo jema...
  14. JamiiForums Tanzania Onyo: Zanzibar inapaswa kuacha ubaguzi dhidi ya ndugu zao watanganyika, itawagharimu pakubwa

    Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu. Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
  15. JamiiForums Tanzania Nimekuwa na Imani sana na Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Emmanuel

    Kama utakumbuka alikataa wazi wazi jambo fulani Inakuwaje kwenye hili amekaa kimya, sijui misimamo yake Watu bwana dah!
  16. JamiiForums Tanzania Red black, dosho12, lightsaber, kimya sana, hamis77, natumaini hamjambo?

    Red black dosho12 Light Saber Imetosha Sasa hamis77 Natumaini u are all alright friends🕊️🕊️
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 JWTZ imeonyesha udhaifu mkubwa! Ilikuwaje mkaruhusu vifo vya Wananchi mnaotakiwa kuwalinda (kama Jeshi la Wananchi)?

    Kwa jeshi hili siku tukijichanganya kwa Burundi tutachapika vibaya mno, ndani ya masaa 8 nchi yote itakua mikononi mwa Burundi. Wanajeshi wetu mnachoweza nikukamata vijana waliovaa sare zenu basi Msije kujichanganya kwa Burundi au Rwanda. Nimemaliza.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hili la Mange Kimambi kuwahusisha Wazanzibari na mauaji ya bara limenihuzinisha sana

    Kwanza nitoe angalizo mimi sio mwanachama wa chama chochote na hususan Chama tawala. Kwangu mimi nafahamu fika wanasiasa wengi wa kiafrika ni wachumia matumbo tu. Tukija kwenye mada , Leo mange kimambi amepost habari kua askari wa kizanzibari wamefanya mauaji ya cold blood. Siungi mkono...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Wanatubembeleza sana tukapige kura kuwachagua. Tukishawachagua wanatupiga.

    Viongozi wa kisiasa wa Tanzania ni wema sana kablana wakati wa kampeni na kupiga kura,hua wanatubembeleza sana tuende tukapige kura za kuwachagua,lakini mara tu tukishawachaguaa thamanj yetu inaisha,wanatugeuka,wanabadilika wanakua wakali,wanatutukana,wanatuteka,wanatupiga na kutuua. Hatuwezi...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa ukatili ulichofanywa na polisi hadharani, ninamashaka kama Waliotekwa wanaweza wakawa bado wapo na roho zao

    Ule ukatili uliyofanywa na police hadharani tena mchana wa jua kali umenipa tafakuri nzito sana. Ule ukatili wao umesababisha hadi niwaze utimamu wa afya za akili za wahusika. Ule ukatili wao umefanya niwaze utimamu wa akili wa aliyewatuma. Ule ukatili wao umefanya niwaze majukumu ya msingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…