The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Wakuu, kwamba naomba msinichoke hapa kuna kitu kinaniumiza kichwa sana sielewi. Hapa majuzi katika pitapita zangu za hapa na pale humu nyumbani ndani nimepishana na nyoka ana kichwa kidogo sana ila katikati ni mnene balaa na ana mkia mdogo. Kwanza najua wapo wadau watasema leta picha, sikia...
Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye...
Kutoka X: Wenye njaa Sasa pale Lumumba wanavyo kasirika sasa.wanajisahaulisha kuwa hii NCHi ni ya vyama vingi Sasa hawataki.
Mwl. Nyerere alionaga mbali Sana alijua hawa MaCCM HOFU NDANI YAO watasumbua waTanganyika
Naiona CCM ikipasuka kama KANU. Na mpasuko huo utaleta tumaini jipya kwa...
Let's set feelings aside and go with the facts.
Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa wanasaidiwa majukumu?
Mwingine anasema anaoa ili apunguze uzinzi huu ni unafiki wa kiwango cha juu watu...
Kwa sababu bado tupo kwenye AI dhaifu Narrow AI si ajabu watu wengi kuanzia humu ndani na duniani kwa ujumla kutokuona tishio kubwa lijalo la AI.
Watu wakisikia AI akili zao zinaishia katika kujibu maswali,kuandika documents,kuchora picha hiyo ndio picha watu wanajenga kuhusu AI si ajabu fikra...
Wanaukumbi.
KILA BOSS ANA BOSS WAKE
Viongozi wa Ulaya wakiwa wamepangwa kwenye korido ya Whitehouse Marekani wakisubili kikao na Trump. Hi fedhea aisee Je wangekuwa wa Afrika watu wamgeponda sana lakini wa Ulaya dunia ipo kimya, mtu kama Putin, huu upuuzi hataki kabisa.
Trump, anawadharau sana...
✨ Mashine ya Umeme ya Kunyoa (Electric Shaver) ✨
✅ Unyoaji safi bila maumivu
✅ Rahisi kubeba – inatoshea mfukoni
✅ Betri ya kudumu, chaji mara moja tumia muda mrefu
✅ Muundo wa kisasa na rangi mbalimbali
💰 Bei: Tsh 30,000/-
📍 Arusha Mjini
📞 0721 235 0159 (Piga/Wh
Inasemekana kuwa Mwalimu amefeli kule Wydad.
Selemani Mwalimu anarudi kucheza Simba kutoka Wydad kwa visingizio vyepesi kabisa kama walivyorudi wengine kutoka Afrika ya waarabu. Waarabu hawawezi kuvumilia kumsubiria mchezaji mweusi asiyewapa matokeo ya leoleo uwanjani. Wanaweza kumvumilia...
Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema.
Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
Ameandika Bobi Wine, Mwenyekiti wa Chama cha NUP na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kyadondo.
_________
Kwa huzuni kuu na mioyo mizito tunasikitika kutangaza kifo cha cha mpendwa wetu, mwanaharakati na rafiki, Marinos Alexandros. Marinos alitekwa nyara tar 30 Machi 2022 akiwa nyumbani kwake Mbuya...
Hivi mmekosa wafanyakazi??
Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea?
Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi
Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa.
Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi...
Within the interminably oscillating palimpsest of this terrestrial concatenation, where vicissitudes writhe in kaleidoscopic infinitude and temporality itself submits to recursive aberration, there subsists an anomaly of such preternatural incongruity that the multitudes, loquacious to the point...
Mko poa maboss zangu..
Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa.
Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani.
Bei hutokana na ukubwa uutakao boss..
Za kuhamishika zinazobeba na tv Bei huanzia laki 4na 80 had lak 6 na nusu ni kulingana na ukubwa wa showcase..
Pia za...
Mko poa maboss zangu..
Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa.
Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani.
Bei hutokana na ukubwa uutakao boss..
Za kuhamishika zinazobeba na tv Bei huanzia laki 4na 80 had lak 6 na nusu ni kulingana na ukubwa wa showcase..
Pia za...
Mko poa maboss zangu..
Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa.
Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani.
Bei hutokana na ukubwa uutakao boss..
Za kuhamishika zinazobeba na tv Bei huanzia laki 4na 80 had lak 6 na nusu ni kulingana na ukubwa wa showcase..
Pia za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.