The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Nimempima na kumpa code ndogo tu kama hii
function separateLettersAndNumbers(str) {
return str.replace(/(\D+)(\d)/g, "$1-$2").replace(/(\d)(?=\D)/g, "$1-");
}
nikamuuliza output yake itakuwaje kwa 123abc
alisema itakuwa 1-2-3-abc
na jibu sahihi ni 123-abc
aisee programmers mnaodepend hii kitu...
Baadhi yetu tumeona taarifa za sherehe ya mchungaji kutunukiwa u-profesa na chuo cha Amerika. Afisa mkuu wa serikali aliyehudhuria ni Profesa Kabudi. alikuwa ana-smile! Ni huyu huyu ambaye karibuni alikuwa Vatican kuomba Papa aiombee nchi. Ni huyhuyu aliyemwita JPM Mungu. Ni huyuhu aliyeleta...
Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji.
Hatua hii itajenga uongozi bora wa kisheria na kuwepo kwa uwajibikaji mzuri na kuhakikisha usalama wa rasilimali za nchi, vinginevyo mtaona mambo...
Hebu njoen
Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 naomba nisaidie mawazo mm nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana
Ananipa kila kitu nnachotaka
Nakatazwa kutoka nje hata nikienda kwetu napelekwa na kurudi nna mama na pia baba yangu alikufa nna baba wa kambo nakatazwa...
Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua...
Nikiwa naperuzi mtandaoni nimeikuta hii orodha ya mikoa
SAT ni idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani
Nimeshangaa sana kuona kuna mikoa ambayo hatuizungumzii sana imefanya vizuri na kuna mikoa ambayo ilikuwa navuma hapo zamani lakini kwa sasa hali ni mbaya,
Dar es salaam shule za day zina...
Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana.
Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo...
Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
Fisi S.C ndo team pekee kutoka TZ kwenye group lake haina point hata moja. Ni aibu sana kwa Taifa. Na leo inaenda kuchabangwa tena uwanja wa Taifa kama kawa ikigawa furaha kwa wengine.
Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana na kuhuzunisha. Mnakuwa na team bovu lisindikizaji tu kwa wenzie...
Haya mambo matatu yamekuwa yakiwachanganya sana watu wengi
1 .Call , (Wito
2. Fate
3 . Destiny (Hatima)
Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha either kwa kutoelewa haya mambo matatu kwa kujua au kwa kutokujua.
Kwa kuelezea haya mambo matatu nitatumia mfano wa Yusufu wa
kwenye...
Wameokota muhindi mla mirungi hata mwili unaonekana kabisa eti ndio main fight, kapigwa ngumi moja tu kalala.
Kama kweli Tanzania kuna mabondia leteni mabondia kweli sio kamaa huyu wa pambano la leo ni aibu
Mambo yanakuwa mengi sana aisee, leo katika zurura yangu mitandaoni nimekutana na habari ya AI kuanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya AI agents kukutana, yaani humo ndani AI tofauti tofauti zinakutana na kupiga soga tofauti tofauti. Bila kusahau kutujadili binadamu.
Eeeeh bwana eeeeh, hivi...
Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana.
Sasa sijui ndiyo masharti ya...
It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa?
Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
NB: Hapa Maria Sarungi na Mange Kimambi hawahusiki wao ni Wanaharakai
Kwa miaka mingi tumekuwa tukipigiwa kelele nyingi za Feminism, wakitaka usawa katika fursa za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Mbaya zaidi huko mitandandaoni tulikuwa hatupumui tena walikuwa hadi na majukwaa na mikutano ya...
Padre ananiambia niache uzinzi, anahubiri anasema mimi ni mdhambi sababu nawatolesha Mimba mademu ambao nawagegeda kisha wakipata mimba solution ni moja. Toa.
Haya mambo ni kupangiwa na mabeberu wananionea wivu sababu mimi ni kidume cha mbegu. Wanataka waafrika tuwe wachache wao wawe wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.