sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Wazazi, acheni kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni

    Hivi nyie akina mama na wale wanawake wenye watoto wachanga, kwanini mnapost vichanga vyenu mtandaoni hususani kwenye WhatsApp status? Mnajisikiaje mnapost kichanga cha siku moja status? Kwani nyie ndio wa kwanza kuzaa? Au mnataka dunia ijue kwamba umezaa ndio maana mnawapost hao wachanga...
  2. Humphrey Polepole anatamba kwamba analindwa, cha ajabu anaongea akiwa kajificha

    Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake. Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
  3. Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

    Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana. Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania. Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote...
  4. D

    Kwanini Dr Samia Suluhu Hassan kafanikiwa zaidi?

    Mfano ni huyu tuliye nae. Ukilinganisha na wote waliopita kabla yake, ukweli ni kuwa yeye ndo unaweza kumuweka wa mwisho when it comes to speech giving......hususani pale anapoongea freely. Lakini ukija kwenye mafanikio, aisee.....kawaacha mbali mnoooooo. 1. Elimu, 2. Kamaliza miradi yoooote...
  5. Wamasai mikanda yenu ya ngozi inadumu Sana mnakosa hela jiongezeni igeni wachina

    Mnatembeza mikanda Katika ma bar watu tumenunuaga mikanda Miaka kumi nyuma huko na bado tunayo.hela ngumu jamani tutanunua mikanda mingapi punguzeni ubora wa mikanda ili angalau kila mwaka tununue mikanda.
  6. Deni la marekani lafikia dollar trilion 37, wachunge sana marekani isije ikauzwa!

    Deni la Marekani Limefikia Zaidi ya Dola Trilioni 37 kwa Mara ya Kwanza Maishani Hapa ikiwa na maana kwamba Deni limekua kubwa mara dufu kuliko Uchumi wao wa Dolla T 30. Unaweza jifunza jambo hapa kwamba Unacho tangaziwa kuhusu Uchumi wa Marekani si halisia, Ni ajabu kwa taifa kama la Marekani...
  7. pamoja na yote ya Pole Pole lakini huu wimbo wake ni mzuri sana aisee

    sikiliza hii ngoma aisee.. ni bonge la pini aisee
  8. Mke wa Ndugai hayupo sawa asaidiwe naona amepata hofu kubwa sana .

    Nimetazama Clip ya Mke wa Ndugai . Nimeona anahitaji msaada wa karibu wa kiroho na kisaikolojia. Msipuuze ujumbe huu watu ambao mpo Karibu na huyo mama. Kuna kitu anapitia ambacho either kinampa fear of unknown na kumpa guilty.
  9. Umeshawahi kupita pahala usiku nywele zako zikasisimka sana

    Wajuvi wa mambo wanasema kwamba hali ya nywele kusisimka unapopita mahali fulani usiku jua kuwa hio sehemu sio nzuri huenda kukawa na washirikina mahali po au majini Je? wewe ushawahi kuhisi hivyo baada ya kupita sehemu wkt wa usiku
  10. Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali

    Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali —dada yangu jitunze, jali afya ya chombo chako, miiko ya wanaume imekuwa legelege kwa sababu ya masufuria yenu kuwa na ukoko wa shombo
  11. Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

    Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi? Au ni ulimbukeni tu?? Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer. Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wa kutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu...
  12. Huyu dada anahoja lakini anaiwasilisha kwa maneno makali sana!

    Anaongea point Sana Lakini anatumia hip-hop iliopita kipimo Minamshauri apunguze ukali wa maneno maana anashambulia Sana, japo anayoongea Yana ukweli.
  13. W

    Kumbukizi: Sita walivyotimuliwa TANU kwa kupinga uchaguzi wa chama hicho. Kumbe haya mambo kitambo sana

    Gazeti la Mwafrika mwaka 1958, Oktoba 11 liliandika "WAMEFUKUZWA KATIKA TANU NA MKUTANO MKUU WA MWAKA" Gazeti hilo liliandika Mkutano mkuu wa TANU umemfukuza katika chama Sh. Sulemani Takadiri wa Dar es Salaam, ambaye alijaribu kuingiza chuki ya dini katika siasa siku chache zilizopita...
  14. Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

    Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje? Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu. Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu. Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli. Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani. Sasa...
  15. Mademu wa Kibongo wanaolewa sana na wazungu wazee

    Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu yake yeye hajali
  16. M

    Tiba ya hernia kwa Mzee miaka65 korodani zinamuuma sana

    Habar wakuu naomba msaada wa tiba ya hernia Mzee wangu ana miaka65 korodani zinamuuma sana kineno kinauma na uvungu wa paja unamuuma sana,pia korodani moja inavimba inamuuma. Hii yote imetokana baada yakufanyiwa kipimo Cha tezi dume kupitisha dawa kwenye tundu la mkojo ili kipimo kiweze kusoma...
  17. Z

    Huyu polepole mbona anadharua mbaya sana kwa binaadamu wenzake?!

    Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!! Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa. Huyu jamaa kweli anajielewa?
  18. Ni muda mrefu sana Sumaye hajaonekana hadharani wala kusikika, kulikoni?

    Sio kwenye matukio ya kijamii, kisiasa wala kidini, Sumaye hajaonekana wala kusikika. Hatukuwahi kuzoea hivyo kwake. Kulikoni?
  19. J

    Pole pole livestream ina 6.5k current watching viewers wakati aliko mkuu wa nchi kuna 12viewers. Hii vita ni kali sana 😂

    Press conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best enewei
  20. Kwanini Wanaume wa Uganda wanawapenda sana Wanawake wa Tanzania na kwanini Wanawake wa Uganda wanawapenda mno Wanaume wa Tanzania?

    Ninajua hapa kuna Wajuvi na Watafiti wa Masuala mbalimbali ya Kimtambuka hivyo leo Kazi yangu ni Kuujua tu Ukweli.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…