Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,222
- 4,795
Mfano ni huyu tuliye nae. Ukilinganisha na wote waliopita kabla yake, ukweli ni kuwa yeye ndo unaweza kumuweka wa mwisho when it comes to speech giving......hususani pale anapoongea freely.
Lakini ukija kwenye mafanikio, aisee.....kawaacha mbali mnoooooo.
1. Elimu,
2. Kamaliza miradi yoooote ya JPM,
3. Maslahi ya wafanyakazi,
4. Kilimo,
5. Ukubwa wa bajeti,
6. Ustawi wa maisha ya watu,
7. Ukuaji wa Pato la taifa,
8. Ujenzi, sekta ya,
9. Michezo (hapa ndo kauaaaaaa tiki tiki.......mpaka mashindano Sasa wameyaleta hapa hapa). Furaha iliyotamalaki nchi hii ya michezo SI ndogo.
10. Ustawi wa wanawake, Sasa maukatili ya kijinga jinga ikiwemo kumiliki Mali na ardhi cimepungua kwa kiasi kikubwa sana.
11. Umeme Sasa si tabu tena kama huko nyuma.......upo stabilized kabisaa.
Imepita mishababi huko nyuma iliyojua kuongea na tuliokuwa tunaogopa hata picha zao tu ofisini lakini hawakufikia hapa. Kwakweli kongole nyingi kwake. Na hayo ni baadhi tu, naishia hapo sababu haters wasinitukane zaidi.
Ndugu wanaJF, mabibi na mabwana; namzungumzia Dr Samia Suluhu Hassan, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania.
Nawasilisha Huku nikiwa nangoja kwa hamu majibu sahihi