sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanin watu wanaoitwa jina la utani BIG huwa wanaheshimika sana mtaani?

    Kuna hawa watu ambao wanaitwa jina la utani "BIG" huwa kuna kaheshima fulani wanakuwa nako kwenye jamii. Mfano nimepita mitaa fulani ya survey hapo karibu na Mlimani City, kuna jamaa fulani wanamuita BIG machapati. inasemekana huyu jamaa ndiye bingwa wa kutengeneza chapati tamu jiji zima la Dar...
  2. JamiiForums Tanzania Marehemu Njonjo wa Kenya alikuwa mtata sana

    Muda mfupi uliopita nilikuwa nasoma habari kwenye tovuti ya The citizen kuhusu huyu mzee Njonjo ambaye aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa Kenya kwa takriban miaka 17. Kilichonivutia hasa kuhusu habari hii ni uhusiano kati ya Mwai Kibaki na marehemu mzee Njonjo. Mwandishi anadai wazee hawa waliishi...
  3. JamiiForums Tanzania Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu

    Namba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake Kipilimba na...
  4. JamiiForums Tanzania Ahsante sana January

    Usiku wa kuamkia leo mida ya saa 6 hivi niliangukiwa na bahati ya mtende baada ya January kufanya yake. Hapa mtaani Kuna pisi moja Kali kutoka kwa mzee PK inafundisha lugha za kigeni kwenye shule hizi za kishua.Ina nyodo sana ukimpa salamu anakujibu kifaransa Ila jana ndiyo nimejua kumbe anajua...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiweza kudhibiti matumizi ya sukari katika familia yako utaiokoa sana

    Sukari tunayoihitaji mwilini tunaipata katika vyakula tunavyokula. Chapati, majimbi, viazi, mkate vyote hivi vinatupa sukari. Unaweza kabisa kunywa chai bila sukari. Wana historia wanasema kabla ya kugundulika kwa sukari, ingawa afya ya meno haikuwa bora kama ilivyo sasa lakini matatizo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Khadija Kopa: Najutia sana kitendo cha kufanya abortion

    Khadija Omar Abdallah Kopa (amezaliwa Zanzibar, 1963) ni mwimbaji wa muziki wa Taarab na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Tanzania. Mbali ya muziki, Kopa ni mama wa nyumbani, mfanyabiashara na pia mwanaharakati wa kisiasa nchini Tanzania. Khadija Kopa Jina la kuzaliwa: Khadija Omar Abdallah Kopa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nimeukubali msimamo wako. Hongera sana

    Asante sana Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu mpendwa, kwa msimamo wako thabiti ulio tuonyesha tarehe 28 mwezi Desemba mwaka 2021 huko IKULU Magogoni wakati wa kushuhudia kutia saini mkataba wa kuendeleza SGR yetu kipande cha tatu kati ya Makutupora Singinda na Tabora. Kusema kweli, hotuba...
  8. JamiiForums Tanzania Ex-wife kaolewa lakini ananifatilia sana

    Habari , Nilikua naishi na mwanamke ambae katika kukutana kwetu alipata ujauzito nikachukua jukumu la kuishi tukaenda kwa wazazi ingawa ndoa hatukufunga , mwezi 3 2021nikiwa njee ya Tanzania ,Aliondoka baadae ya kugombana na mume wa mtu bar, niliwasiliana nae nikiwa uko nje ya nchi arudi...
  9. JamiiForums Tanzania Ku date na demu aliyewahi kukucheat ni raha sana

    Habarini wanajamvi.... Natumai wazima wa afya. Nimeamua niwafikishie ujumbe kwamba kudate na demu aliyewahi kukucheat ni raha sana. Kila wakati anajishtukia tu na kukupa vizuri ujinafasi.. Atakaebisha abishé....
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kwenda mahala kuogelea kwenye swimming lakini nikiwaza vikojozi hamu inakata kabisa

    NAPENDA sana kuogelea lakini Nikiwaza kwenda kuogelea maji ya baharini/Ziwani kuna mtihani mwingine huwa naogopa kuogelea maji ambayo sioni ndani yake kuna nini kwa kuhofia nyangumi, wanyama wa majini na mazingaombwe ya majini! Hivyo sehemu pekee ya kistaarabu ni Swimming pool lakini huku nako...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimeshtushwa na maneno ya msingi sana ya Biblia Takatifu!!

    Baada ya kuona mwaka 2021 umemalizika, na muda mrefu sana sijajihusisha na mambo ya dini, nikatahayari sana. Asubuhi mapema nikatafuta boksi langu ninalotunzia vitabu vyangu vya dini. Nikapekuapekua, paap!, nikakutana na Biblia kubwa kabisa nyeusi nilipewaga na mama yangu. Nikafumba macho...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kila niisikiapo sauti ya Mzee Mangula iliyojaa mamlaka na unyenyekevu nafarijika sana

    Katika miamba ya siasa, utawala na uongozi kwenye nchi hii sio rahisi kushindwa kutaja jina la mzee Philip Mangula, makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara. Ni moja ya watu ambao wameacha historia muhimu sana na ingewekwa kwenye vitabu ingefaa sana kwa vizazi vijavyo. Ikimpendeza aandike kitabu cha maisha...
  13. JamiiForums Tanzania Taasisi ya URAIS inadharaulika sana awamu hii ya sita

    Tukifuata itifaki ni kwamba pale unapomu address kiongozi mkuu wa nchi basi ni vyema kutanguliza maneno mfano “ Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan” baada ya hapo inafuatiwa risala. Ama unapotoa risala ikakulazimu kumtaja Rais wa nchi basi ni vyema kuzingatia itifaki ya utambulisho kwa kum...
  14. JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, basi mikopo ya awamu ya tano ilikua ya ajabu sana, ukweli ndio unajulikana sasa

    Hiki ni kichekesho, inamaana hata reli yenyewe haijakamilika tayari mkopo wake umeshaanza kulipwa? hivi vitu walikua wanafanya wasomi au?
  15. JamiiForums Tanzania Mabaa medi na Makonda ni watu wenye akili sana

    Km kichwa cha hbr kilivo hapo juu. Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeniii... Nimekua nikiwafatilia kwa muda sasa naweza kukiri kwa kinywa changu kabisa... Hawa watu wakiwa kwenye majukumu yao ni watu makini na wanatumia akili nyingi sn... Km unakubaliana na utafiti wangu hebu tueleze kisa...
  16. JamiiForums Tanzania Ulalamishi kwa Zanzibar unaonyesha Wabantu (sisi) ni Watu Wavivu au labda low IQ pia!

    Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi. Tanzania...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa kutibu badala ya kuzuia unatugharimu sana kimaendeleo

    Tumezoea sana kungojea mambo yaharibike ndipo tunaanza kushuhurikia matatizo yaliyojitokeza. Hivi karibuni tumeshuhudia operetion kabambe ikiendeshwa nchi nzima ya kuwahamisha wamachinga kwa gharama kubwa kutoka sehemu zisizokuwa rsmi na kuwapeleka sehemu tunazodhani zitakuwa rasmi kwao...
  18. JamiiForums Tanzania Inauma Sana

    Habari wana JF Unakuta umepiga usafi heavy gheto, umepika misosi ya kibabe, umejaza vitu kwenye jokofu, umetandika shuka jipya, umevaa boksa ya maangamizi, umepiga pasi nguo kwa dobi, umelipia king’amuzi full package, umenyoa vuziii umepiga kipara,.....................hivi vitu gani vingine huwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona CHADEMA wanalishambulia Bunge kwa kuisimamia Serikali

    Siku zote kilio chetu ni kuona Bunge linaisimamia vyema Serikali. Lakini inasikitisha sana chama cha upinzani kinapotoa baraka Serikali isiweze kuhojiwa na bunge. CHADEMA kimedhihirisha ni chama cha ujanja ujanja kisichosimamia misingi ya demokrasia. Kitendo cha viongozi na mashabiki wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Siri Sana Diamond Platnumz na Bi Zuchu wafunga ndoa

    Tuwaombee wawe na ndoa yenye baraka na fanaka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…