sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kwa mtu smart kufanya haya...

    1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. .. 2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili 3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k...
  2. S

    JamiiForums Tanzania 'Majeshi ya Russia yalikuwa na upole sana kwa Ukraine' Anasema afisa mstaafu wa jeshi la Marekani, ambaye pia amfananisha Zelensky na 'Mdoli'

    Afisa mstaafu wa jeshi la Marekani Colonel Macgregor ambaye pia amewahikuwa mshauri ktk Department ya Ulinzi ya Marekani amesema kuwa Zelensky kupambana na majeshi ya Russia ni 'upuuzi' na kuwa Zelensky si shujaa. Zaidi ya hapo akasema, Russia walikuwa wapole sana ktk ingwe ya kwanza ya uvamizi...
  3. JamiiForums Tanzania La Candidate Tamthilia Bomba Sana Inayoonyeshwa na Azam One TV

    Ni Tamdhilia ya Mexico, inamagwiji wenyekujua uhusika wao kwa kiwango cha juu. Siasa, Misukosuko ya familia, Mahisiano hapa ndipo mahali pake. Gavana Alonso, Seneta Martnez, Mzee wa Mujini Romario, Tajiri Escalante, Seneta Regina Mke wa Gavana Alonso, Igancio,Xmina na Emiliano hawa waifanya...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume tunadhalilishwa sana na wanawake huku mitaani

    Habari zenu wadau, nadhani nisipoteze muda , Hapa kijiweni vatcan usiku wa jana kumetokea matukio mawili ya kutudharirisha wanaume, Jamaa flani akiwa amevalia jezi ya yanga hana hili wala lile anatafakari azame chimbo gani akapate ulabu mara paap anashangaa baamedi mwenye wese la kutisa...
  5. JamiiForums Tanzania Mjue 'mfalme' Zumaridi kiundani zaidi

    Kwa miaka kadhaa sasa, ‘Mfalme Zumaridi’ ambaye jina lake halisi ni Diana Bundala, ni miongoni mwa wahubiri wa dini wanaovuma ndani na nje ya Jiji la Mwanza. ‘Mfalme Zumaridi’ (39) ambaye pia hujiita mungu wa duniani amesikika akitoa huduma ya maombezi, mahubiri na hata tiba kwa magonjwa kadhaa...
  6. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana hakuna mshambuliaji wa simba mwenye magoli 6 mpaka sasa

    Inasikitisha sana wachezaji wetu wanaoimbwa kila siku kwamba ni wakali hawajamfikia hata mpole japo anacheza kwenye timu dhaifu ila ana goli 8, . kina sakho sijui chama hawapo hawajafikisha hata goli tatu lakini ndio ma star wetu msimbazi..! kwa kweli wachezaji wetu ni level ya dar city tu
  7. JamiiForums Tanzania Nikiamka namna hii aisee siku huenda vizuri sana

    Bila shaka mu bukher wa Afya wana Jf. Mi binafsi namshukuru Mungu kwa afya njema Mi napenda sana nikiamka basi simu yangu iwe Full Charge.. Iwe na Bando la Kutosha (Dakika na Gb) Mtandao uwe na kasi basi siku yangu huenda vizuri sana maana 80% ya utafutaji wangu upo online.. Muwe na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ualimu umenipa mtaji,

    Nilimaliza sheria 2012 , then nilisota mtaani hadi mwaka 2015 nilipopata ajira za ualimu wa serikali,sikuona umuhimu wa kwenda law school kwa sababu sikuwa na connection na watu mjini, nilibahatika kuajiriwa kwetu(wilaya niliyozaliwa), soon baada ya kuajiriwa , nilijibana sana nikanununua...
  9. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya ajabu sana leo mimechezwa nyimbo ya fireboy “Vibration”

    DeepPond leo nimesalimu amri hawa watoto wa chuo wana vibe lao bwana
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya magazeti yanakera sana kwa chuki zao za wazi

    .
  11. JamiiForums Tanzania Tunawapenda sana kwa sababu mnatufariji

    Tunawapenda sana kwa sababu mnatupa faraja mbalimbali; pale tunapokuwa tumechoshwa na mihangaiko ya hapa na pale huwa mnatufariji. Ila kuna wengine ni vichomi au mabomu, wanaosababisha tuwachukie na kuwachukulia wote mko hivyo. Tunaomba mbadilike, ila amini tunawapenda sana hasa kwa yule...
  12. JamiiForums Tanzania Epuka sana kuwa na marafiki ambao wakiona hela wanapagawa

    Kwa ufupi marafiki wa namna hii wanaweza kukusaliti muda wowote kwa maslahi yao binafsi, narudia tena epuka kuwa na marafiki wa namna hii ambao wakiona hela akili zao hubadilika na kuwa kama wehu utanishukuru siku moja. Na marafiki wa namna hii wengi wao wakishika fungu basi pombe na wanawake...
  13. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali semeni tu Ukweli kuhusu Mchezaji Jonas Mkude kwani haumwi kama ambavyo mnatudanganya

    Binafsi nimeshatonya nini kinaendelea dhidi yake na alifanya nini huko ( kule ) Niger ila nyie mnaficha na Kufanya Siri ili tu kutozua Taharuki kwa Mashabiki na Kuwagawa Wachezaji. Kwa Kujiamini kabisa tena 100% GENTAMYCINE nasema Kiungo wa Simba SC Jonas Gerald Mkude haumwi kama ambavyo...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Putin anaogopa sana Republican president ila akiwa Democratic party president Putin anavamia Georgia Chechnya, now Ukraine

    67 percent USA gall up poll Wanasema Putin anaogopa sana republican .Kwa nini Putin anajiona m babe Democratic Party wakiwa kwenye madaraka .Biden alipochaguliwa tu aka kata pipe line ya oil na kumpa deal Putin over climate change .Russia makes 1 billion dollar a day from USA.It means USA are...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania waliokwama Ukraine kusaidiwa kuondoka na Russia kutaichafua Sana nchi kipindi ambacho Russia inatengwa na Dunia

    Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani. Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Inawezekana jeshi la Urusi sio tishio sana kama dunia inavochukulia

    Ukraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi. Kutokana na Russia kuogopeka na...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna waamini wanapata raha sana ktk hizi nyumba za ibada wanapoenda abudu.

    Hivi unaweza kosa ibadani kweli. mungu ka huyu anapoongoza ibada..😂😅😆🤣🤣
  18. JamiiForums Tanzania Utoto wa miaka ya 70-80 ulikua mzuri sana, hakuna wa kumwambia soda inakufanya kuwa hyperactive.

    Kwenye birthday party unapambana na chupa ya Fanta, Sprite au Coke Cola kwa raha zako ukicheza kung fu.
  19. JamiiForums Tanzania Kulingana na biblia, malaika ni viumbe wa kutisha sana

    Pengine ndiyo maana walipokuwa wakiwatokea binadamu walikuwa wakisema, "Usiogope." Soma Ezekieli Sura ya 1.
  20. JamiiForums Tanzania Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

    Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…