sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuchanganya vihusishi 'na' na 'Kwa' katika matumizi ni kosa kubwa na ni tabia mbaya sana

    Vihusishi 'na' na 'kwa' vinakosewa sana katika matumizi kiasi cha kuleta mkanganyiko katika mawasiliano ya kila siku. Kwa mfano, mtu anasema "Nilisafiri na gari", badala ya "Nilisafiri kwa gari". Ukisema nisafiri na gari unamaanisha wewe unatembea mwenyewe na gari linatembea mwenyewe, Wala...
  2. JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana Iran kutawaliwa na US na Israel watapigana mpaka mwisho naaamini.

    Hainiingii akilini kuwa eti makombora na mabomu yanaweza kuibadili uongozi au mfumo wa utawala Iran. Hata mtoto mdogo atakataa, Iran inaweza kupigana vita vya muda mrefu historia inaonyesha,wana uvumilivu wana nguvu na wana bidii,kama wamevumilia vikwazo toka enzi ya Mapinduzi kwanini...
  3. JamiiForums Tanzania Makanisa ya Kilokole yana shida kubwa sana

    Haya makanisa kwanza yapo kibiashara zaidi. Nikweli makanisa yote yapi kibiashara lakini ya kilokole yapo kibiashara nje nje bila kufichwa utaambiwa live. Hii ni mifano michache tu •Kumuona mchungaji,Mtume au nabii Hela. •Kuombewa hela •Utauziwa maji,sabuni,mchanga,vitambaa, mafuta nk...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nasoma kuhusu HIV nimegundua kuna uwezekano vijana wengi sana ni waathirika wasiojua

    Baada ya maambukizi , inachukua miaka 10 hadi 15 mtu kuanza kuona dalili za hiv, Kumbe wengi wazinzi naweza sema watoto wa 2000s walioanza uzinzi let's say 2018 wakiwa na miaka 18+, Dalili wanaweza kuanza kuziona around 2028 kuendelea. Kipindi chote hiki wanaweza kuishi kwa kuwaambukiza...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Barabara ya Bonde la Mchicha ina mashimo makubwa kupitiliza; ni kero kwa wananchi

    Barabara ya Bonde la Mchicha ambayo inatumiwa mara nyingi na Wakazi wa Tabata Kimanga, Mawenzi, Segerea, Kinyerezi, Bonyokwa hata Ukonga na Gongo la Mboto ni mbaya na imekuwa kero kubwa kwa Watumiaji. Hii barabara ni kero kubwa kuwe na mvua au kusiwe na mvua. Kipindi cha mvua hata wapita kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana: Sisi ndio wa kudharauliwa namna hii?

    Waungwana, hii mnakubaliana nayo kweli? Hivi hawa jamaa wanatuchukuliaje!? Kwamba hadi macho madogo wametupita sisi? Kuna mambo ya sisi kuwa nyuma, sio hili, nimekataa!!! https://x.com/Globalstats11/status/2030202522074497522?s=20
  7. JamiiForums Tanzania Gen Z niwakumbushe jambo moja tu: Uzee unakuja haraka sana kama mafuriko

    Muda unaonekana mrefu ukiwa na miaka 18, 20 au 25. Lakini ukweli ni kwamba miaka inapita kwa kasi ajabu. Jana ulikuwa mwanafunzi, ghafla una miaka 30 unajiuliza muda ulienda wapi. Ndiyo maana: • Jifunze mapema • Fanya kazi kwa bidii • Jenga nidhamu • Heshimu muda •Acha masihara na maisha...
  8. JamiiForums Tanzania Vijiji vingi vilivyopo nje ya Africa ni vizuri sana

    Kwa hapa Africa maeneo mengi yenye muonekano mzuri ni maeneo ya mijini. Hapo kwenye miji yetu kidogo utakuta kuna mitaa ya kishua, kuna town centre iliyokaa unyama, yani miji yetu huwa na baadhi ya mitaa mizuri at least, ingawa bado inasumbuliwa na slums pia Sasa ukija kwenye vijiji vyetu, ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kitu gani kikitokea mwaka 2026 kitakufurahisha sana?

    Mimi nitafurahi sana timu yangu pendwa Arsenal ikichukua ubingwa wa ligi kuu ya England (EPL). Naamini hili litatokea na wale wanaosema Arsenal ni tembo juu ya mti wanakwenda kuaibika Wewe kitu gani kikitokea mwaka huu kitakufanya upate raha mithili ya mtu aliyeufikia mshindo mkuu? Mzee wa...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Idara ya Uhamiaji Arusha unaomba Pasipoti leo unaambiwa usubiri miezi mitano au 6, inaumiza sana hii!

    Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa. Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka. Kuna nini kinaendelea hadi...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimkuna vizuri na huna mavumba unamchanganya sana

    Sanaa ya ukunaji ni wachache wamejaliwa nayo .Ukunaji sio lazima uwe dushe kubwa ila ufundi tu Asa utakuta unampatia mwanamke unamkuna vizuri mpaka anaridhika ila huna mavumba huwezi kutatua mambo yake ya kifedha apo unamchanganya sana mwanamke.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na wazee wa hizi kazi wawili tu. Saddam Hussein na Osama Bin Laden, Viongozi wa Iran wanachojua ni kupiga domo na kutegemea proxy wars,

    Marekani walipoenda Iraq kwa Saddam Hussein hawakuweza kufikia hata kwa theluthi walichokiweza Iran, yani Iran wameigeuza kama sebule yao, wanajipigia tu. Osama alikuwa mwiba sana, hadi Marekani wanamkamata ilikuwa shughuli nzito. Iran alitegemea zaidi kufanya mashambulizi kwa Proxies kama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania EWURA: Tunaomba sana kesho utufanyie jambo lililotukuka

    Kesho baba EWURA tunakuomba utuvushe sisi wauza mafuta kuanzia vituo vya mafuta mpaka wauza vidumu Tunakuomba upige kwenye mshono kwa pigo takatifu hii itasaidia kupanda kwa bei za usafiri na bidhaa ili tuweze kujipatia faida juu ya faida. Kwa wale washangiliaji, mtakatifu Trump amewasikia...
  14. JamiiForums Tanzania Poleni sana mzee wangu pascal mayala.

    Mwandishi Paschal Mayala amepewa masaa 24 kuthibitisha kauli yake aliyoitoa kwenye kipindi cha JAMBO ASUBUHI kinachorushwa na Jambo Television kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mwigulu Nchemba alichukizwa na kitendo cha waombolezaji waliokuwa kwenye ibada ya mazishi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ku-file kupitia mfumo mpya wa iDRAS vipengele vimekuwa vingi

    Wakuu salaam. Naomba nichangie jambo ambalo naamini wengi wetu wafanyabiashara na wahasibu tunapitia kwa sasa - ku-file returns kupitia mfumo mpya wa iDRAS wa Tanzania Revenue Authority. Zamani mambo yalikuwa relatively straightforward. Unaingia, una-file, unamaliza. Lakini sasa mchakato...
  16. M

    JamiiForums Tanzania AI inatumika sana kwenye vita hivi

    Kwenye hii vita kumejaa sana video za AI na picha za AI Unakuta kabisa mtu anakutumia video au picha ya ndani ya israel eti bomb limepiga hapa wakati kwasasa kwa muujibu wa taarifa wananchi wote wamekimbilia shelters yeye hizo picha kazitoa wapi ? Jamani mtatuua na AI
  17. JamiiForums Tanzania Identification zetu JF zinaficha mengi sana

    Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza; Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa na butwaa. Kuna watu Wana tabia fulan ndani ya hili jukwaa ila naamin tungepata nafasi ya kujuana...
  18. JamiiForums Tanzania Nauza saa unazozipenda na imara sana

    Chagua rangi unayoipenda – Gold Black au Silver Muonekano wa kisasa, unafaa kwa ofisini, sherehe na matumizi ya kila siku Quartz movement – zinatunza muda sahihi Zina kalenda (Date) Ubora wa hali ya juu Zinakaa vizuri mkononi Bei: 25,000/= tu Arusha Town 0712350159
  19. JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump karibu sana Tanzania. Tunataka JamiiForums ifunguliwe bila masharti

    Mzee wetu Donald Trump karibu utusaidie kuifungua JamiiForums kwa kumteka aliyeamuru ifunguliwe. Mchukue uende naye hatumtaki. Turudishie waliotekwa ukifanya hivyo bandari zote za tanganyika nilizopewa bure nakupa wewe uziendeshe kwa sharti la kulegeza masharti ya kupata VISA ya marekani kwa...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana Wala usijaribu

    Kuna taasisi za serikali, taasisi na kampuni binafsi zinazopenda Kupata idea in cheap way kutoka Kwa VIJANA Kwa kisingizio Cha mshindi WA kwanza, 2, 3 etc wametenga kiasi flani. Kuna VIJANA wanatoa idea zao kati ya vijana walioshiri mfano 1000, Kuna idea nyingi sana humo. Swali la kujiuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…