sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Alex Malasusa alimpenda sana Rais Magufuli

    Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli ulikuwa wa pekee kwani ulikuwa tofauti na viongozi wengi wa Afrika. Akihubiri...
  2. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi na Daladala, kwani Mchawi wenu ni nani, mbona mnatutusi abiria?

    Jana jioni kupitia Radio one nimemsikia Muwakilishi au Kiongozi wa Wamiliki wa Usafirishaji Dar akiongea kwa jazba sana kulalamikia nauli kutokupanda kwa namna ambavyo wangetamani. Bwana huyu alienda mbali zaidi na kuwalaumu sana LATRA kuwa ndio wanaowaangamiza wao Wamiliki wa Vyombo vya...
  3. JamiiForums Tanzania Mamlaka simamieni vizuri huduma za usafiri, kuna 'uhuni' mwingi sana kule

    Siku chache zilizopita nimetumia muda mwingi barabarani nikitumia usafiri wa Mabasi yanayofanya safari kati ya Dar Es Salaama na Arusha. Hakika kuna mengi nimeshuhudia yanayokera mpaka unajiuliza ziko wapi Mamlaka zinazotakiwa kusimamia na kutoa miongozo, ina mana hawaoni haya? Kati ya mambo...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni nchi maskini sana

    To be honest Watz 90% Bado tunaishi Maisha ya kuunga unga Hiyo 10% ndo kidogo wanaishi Maisha Mazuri yenye Nafuu . Mafuta yamepanda kidogo lakin watu wameamua kupaki Magari ndani huku wengine wakiomba msaada was kuchangiwa Mafuta . Yaani nashangaa watu wanawatukana jobless lakin still na. Wao...
  5. JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

    Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma. Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua? inahatarisha usalama wake?
  6. JamiiForums Tanzania Vigezo vya kazi ya Sensa mbona vipo chini Sana?

    Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
  7. JamiiForums Tanzania TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

    Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu unaoitwa "Watasubiri Sana' baada ya kupata taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwa wimbo na video hiyo inaleta ukakasi kwa waumini wa dini na dhehebu fulani. Wimbo huo unafungiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Diamond alimuimbia Wema Sepetu nyimbo nyimbo tamu, chungu na chachu..

    Ujana, mapenzi na ustaa. Maneno hayo machache yanatosha kuelezea maisha ya Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Kama hukufaidi drama za hawa wawili, bado hujalijua vizuri game la muziki wa kizazi kipya. Kwa ufupi sana, hii ndiyo couple namba mbili iliyokuwa na nguvu kuliko zote katika historia ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo tumeziimba sana sisi Wanasimba msimu huu

    Tangu kuanza kwa msimu huu sisi mashambiki wa simba tulikua na matumaini makubwa sana na timu yetu, na hii ilitokana na ukweli kwamba takribani misimu minne tulikua na timu bora sana na hivyo tulifanikiwa kudominate soka la bongo na hata katika medali za kimataifa tulijaribu kupambana kidogo na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sex ipo overrated sana sio tamu kihivyo

    Ni fikra tu za kijinga za kukulemaza uache kufanya mambo yako ya msingi uwaze hayo tu sex sio tamu kiivyo na mademu wasituone tunafaidi sana wakatugeuza mitaji
  11. JamiiForums Tanzania "Nakwenda yaani basi tu" kauli hii imeninyima raha sana

    Wakuu, Salam. Juzi nilitaka huyu mwanamke aende mahali kutekeleza wajibu fulani akasema haendi hajisikii kutoka. Nikaumia kidogo lkn nikamezea. Baadaye akaniuliza "mahali kwenyewe ulitaka niende kufanyaje" nikamuambia asiende Tena Kule ambako ni mbali Bali aende kwingine karibu kunisaidia...
  12. JamiiForums Tanzania Uzanzibari na Uswahili unasingiziwa sana!

    Unakuta mtu ni character yake yeye binafsi lkn Uswahili wetu wote unasingiziwa kwamba tabia yake ni kawaida kwa“Waswahili“ yote hii ni kukwepa character flaws zake. Kuna character ya mtu yeye kama yeye na haina uhusiano na Utamaduni wake, mfano kutokujua au kutokuwa na uwezo wa kujua na kuchuja...
  13. S

    JamiiForums Tanzania "Sikukuu/sherehe imefana sana". Nini kigezo chako kikubwa ktk kutoa hii kauli??

    Nini huwa ni kigezo chako kikubwa kinachopelekea wewe kusema "sikukuu/sherehe fulani imfana?" Je, ni a)- kupiga msosi mzuri? b)- kuvaa nguo mpya au kuvaa vizuri? c)- kutoka out na marafiki? d)- kupata mpenzi mpya au kufanya ngono sana? Au kitu gani?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakristo tukubalini tu kibao kimetugeukia tulikuwa tunawacheka sana ndugu zetu upande wa pili.

    Mzuka wanajamvi! Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia. Sasa ni...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyimbo za Zamani huwa zinapendwa na kupendeza sana kwenye vilabu vya pombe za kienyeji?!!!

    eid mubarak!! Hii kitu nimeiona kwenye miji kadhaa niliyowahi kuishi hapa nchini..... Ukitembelea sehemu zinazopatikana pombe za kienyeji (gongo, wanzuki, chimpumu, mnazi n.k) basi burudani yao kubwa ni hz nyimbo za zamani..... Ddc mlimani park Sikinde Msondo ngoma n.k Hizi ni nyimbo zenye...
  16. JamiiForums Tanzania "Lile jambo letu" ni moja ya kauli ninayoichukia sana

    Habari! Hivi zama hizi ni sahihi kuishi kwa mafumbo na kuuweka ukweli na uwazi pembeni? Tatizo nini hasa? Je, serikali haikujipanga ndani ya mwaka mzima kupiga hesabu ya mapato na matumizi yake ili kuja na jibu kamili kuhusisha MISHAHARA ya watumishi? Je, ni woga wa kuongezeka mfumuko wa...
  17. JamiiForums Tanzania Dada wa kazi ni mchoyo sana, nifanyeje?

    Yupo dada wa kazi hapa home, Chai anaiva wote tukishatoka kwenda kwenye majukumu huko, na anaamka mapema kabisa saa 12, tukirudi jioni tunaikuta kwenye chupa Mchana hapiki kwasababu sote tunakua hatupo home (hapa sina tatizo) Shida inakuja usiku, anapika chakula kidogo sana... yaani hata...
  18. JamiiForums Tanzania Diamond ana hekima Sana. Wengi hawamuelewi. Wakati mwingine hata chawa wake ndio wanamutungia maneno

    Mada inajieleza. Naseeb anaheshima Sana. Na kama unajua unapokuwa na heshima watu wanakuheshim naazia Kwa wema. Wema anavyoheshimiana na mond ni ishara ya kwanza, na anapozaa wanae na mwenza wake wanabaki kuheshimiana, juzi kati huyu binti ambaye amejaaliwa heshima na ni mpole (Jina ) alikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania CAF Wanaipenda sana Simba

    Katika ukurasa rasmi wa CAF klabu bingwa na shirikisho wakiwatakia kheri WAISLAMU wanaosherehekea EID EL FITR siku ya leo wameweka picha yenye wachezaji wa timu nane zilizofuzu nusu fainali ya klabu bingwa na shirikisho wakaweka na picha ya mchezaji mmoja tu kutoka katika timu ambayo haipo nusu...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Hivi Ramadhani ni mwezi wa kula Sana au wa kufunga?

    Ukiangalia huku uswahilini mama ntilie wanafurahia Sana mwezi wa ramadhani Mana watauza Sana kuliko miezi mingine. Sasa logically Ni kwamba mwezi wa ramadhani Ni mwezi wa kula mno/Sana na tunadanganywa kwamba ni kufunga. Ukiangalia hata waislamu wenyewe wanafurahia Sana wakati ki ukweli mateso...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…