sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inachelewesha sana kutoa Barua za Kuthibitishwa kazini

    Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini. Tunaomba Viongozi Washughulikie Swala Hili Kwani, Kama Mtumishi Wa Umma Kuwa Na Barua Hizo Inasaidia Katika...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana, ina tu cost Watumiaji wengi

    Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana magari hayapiti kiasi cha kuleta adha kwa wanaoitumia kwenda mjini, wanalazimika kutumia gharama kubwa ikiwemo kupanda Bodaboda. Tunaomba mamlaka husika kutatua kero hii, sisi Wakazi na Wafanyabiashara wa Kangaye tunapata mateso makali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kanusho la Dorothy Gwajima kuhusu kuzushiwa kusema Polepole alikuwa rafiki wa kweli linaongea mengi sana

    Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Trafiki wamekuwa wengi sana barabarani kupiga faini hadi kero, kwani nini kinaendelea Dar?

    Kwa sasa kuna usumbufu mkubwa sana wa trafiki barabarani ususani maeneo ya mijini, mfano Dar es Salaam. Sinza Makaburini kuna trafiki wanasimamisha daladala wanaweza kukusimamisha zaidi ya dakika 40 hawaangalii muda wa abiria wanaowahi kazini na kwenye shughuli nyingine. Ukienda mbele kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania SAFI SANA, Trump amejishusha na kukubali kusitisha mashambulizi Iran

    Niaje waungwana Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya. Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati...
  6. JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu sana polisi, mfumo wa kuwapata ni shida pia

    Katika vitu tulifeli kama nchi ni suala la upatikanaji wa polisi. Walio wengi wanapatikana baada ya kufeli shule, yes asilimia 90 ya askari walio huku chini wanaosota barabarani ni waliofeli shule Sasa tuje hapa kwenye shule. Mara nyingi shule kunakuwaga na wale jamaa hawapendi shule, wahuni...
  7. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nimekata tena viwanja 300M²-400M² karibu Sana Mwanza

    Kwa wale ambao bado wanahitaji maeneo kwa ajili ya kujenga makazi,karibu sana kwa mara nyingine.Viwanja vipo Kisesa Mikoroshoni.Kutoka Lami barabara ya Mwanza-Musoma ni shilingi 1000/= tu kwa pikipiki mpaka viwanja vilipo. Bei ya kiwanja ni 1,700,000/= mpaka 2,000,000/= kutegemea na ukubwa wa...
  8. JamiiForums Tanzania Sikukuu ya mwaka huu Forodhani Zanzibar imepoa sana

    Mwaka juzi na mwaka Jana, hapakua na pakukanyaga, yani ilikua balaa hupiti mpaka upenyeze ila mwaka HUU HATA sarakasi unapiga VIZURI TU je, Watu hawana hela au matamko tata ya viongozi wa dini kupishana mitazamo ya siku husika au ndo basi tu
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kitengo cha Mapokezi Hospitali ya Rufaa Mbeya hakina huduma nzuri, kuna mtumishi anaongea sana na simu, hajali wagonjwa

    Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo. Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa. Mbali...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi teams ambazo tumegoma kuzipa Ufadhili msimu huu zikicheza nasi zinauma sana meno

    Tumeona... Kuna huo ujinga kuwa kwa sababu hatujazidhamini basi zinakomaa zinapocheza na Yanga. Ili sasa kuvutia GSM iweke dau. Huo ni ujinga mbwah nyie. Yanga bado ni team bora Afrika kwa sasa. Na ina uwezo mkubwa sana. Tupo nayo na tunatamba nayo. Msimu huu pia tunachukua Kombe. Mtake msitake...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wa Forex , hii pullbacks strategy inaonekana ina faida sana, kuna mwenye uzoefu nayo?

    Katika demo account, nimefanya trades 53 na kati ya hizo 40 zimeleta profit kwa kutumia hii pullback and breakout strategy. Sasa natafuta vitabu na articles mbalimbali ili nifanye specialization kwenye hii strategy naona ni rafiki sana. Kabla sijaiingiiza kwenye real money naombeni muongozo...
  12. JamiiForums Tanzania 'Kiboko ya wachawi' anatutukana sana watanzania

    Kama utapitia mtandaoni hasa tiktok utakutana na mtu anaeitwa KIBOKO YA WACHAWI, huyu anatutukana sana na kutudharau. Lakini kwanini amefika hatua hii japo nimekuja kumfahamu/kusikia baada ya kufukuzwa,kwamba alikuwa anachukua laki tano tano ili kumuona. Kuna muda mpaka mtu unapigwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Morocco imethibitisha kuwa iko tayari kikamilifu kuandaa Kombe lijalo la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake 2026

    Morocco imethibitisha kuwa iko tayari kikamilifu kuandaa Kombe lijalo la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON 2026). Baada ya kutokuwa na uhakika wa awali na mabadiliko ya ratiba hadi Julai 25-Agosti 16, 2026, Shirikisho la Soka la Kifalme la Morocco linasema limelenga na lina uhakika...
  14. JamiiForums Tanzania Hapa kunawatu watakosa sana

    Tupime macho wakuu, unaona paka wangapi kwenye picha?
  15. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu na Mwigulu Nchemba ni Viongozi wazuri sana. Nashauri wapewe nafasi za juu kuongoza Iran

    Nimewaza tu. Hawa wanafaa sana kuongoza nchi kama Iran. Je kwa nini Iran isije kuazima wakawapa nafasi za juu kule nchini kwao? Na je hawawezi pia kumchukua na IGP wetu naye akaenda kuwa Mkuu wa kikosi cha Bajis? Nadhani katika kipindi hiki Iran ingepata viongozi wa karba hii tulio nao...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini pamoja na kutokuwa na uthibitisho bado ni vigumu sana waamini Mungu kuwa atheists wakiwa wakubwa?

    Kwa nini ni vigumu sana watu kuacha kuamini mungu wakati 99% wanaamini mungu kwa sababu tu walizaliwa na wazazi waamini mungu(wenye dini) ila sio kwamba walianza kuamini mungu kwa sababu walipata uthibitisho kuwa mungu yupo? Pia ukizingatia binadamu wote wanazaliwa atheists ni ajabu baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Interview za kiwaki sana

    Mnatuita vizuri tuu.. Tunafika mnatukaribisha vizuri kabisa. Ila baada ya kufika ndani lugha inabadilika as if jamaa ajui kabisa kiswahili... Lugha inaenda deep zaidi mpaka unajiuliza mbona wafanyakazi humu ndani wanaongea kiswahili kabisa Huyu jamaa katokea wapi mbona ka-change ghafla...
  18. JamiiForums Tanzania Ommy Fitness: Kukimbia ni zoezi baya sana lisilofaa kufanywa. Halina msaada

    Kwa mujibu wa huyu mtaalamu wa mitandaoni KUKIMBIA ni zoezi baya sana lisilofaa. Sababu aliyotoa ni kuwa mbona wanyama hawafanyi mazoezi ya kukimbia na wana spidi kali kuliko sisi?.. Unakubaliana naye? https://www.facebook.com/share/v/1ZnKNHuYMT/
  19. JamiiForums Tanzania Mambo yanatafakarisha sana haya. Nawaza Nawaza Nawaza tena. CAF

    Wanafiki wa siasa eti wanasema Game is won on the stadium 🏟? Wakati kwenye siasa game is not won by voters but who count the voters votes 🤔 Hongereni sana Morocco Pia soma Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mtu akifa ndio husifiwa sana?

    Kipindi akiwa hai watu hulalamika hafai, mbaya ila akifa sifa lukuki. Au ndio marehemu hasemwi vibaya. Je ni sahihi binadamu kuwa aliwatendea mema watu wote? Uhuru wa maoni wa kusema huyu mimi alikua mbaya kuliko wote upo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…