Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikijiaminisha kuwa napenda sana machungwa. Nimekuwa nikiwaambia watu napenda sana machungwa. Msimu wa machungwa ukifika huwa ni kawaida kwangu kununua machunga mengi, na kumenya na kula si chini ya machungwa matano kila siku. Nayajua machungwa ya Tanga na yale...