sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa sana. Miaka 60 ya uhuru wanafunzi bado wanasoma kwenye madarasa mabovu huko Masasi

    Majengo chakavu ya shule ya Msingi Mkalapa, wilayani Masasi Mkoa wa Mtwara yaelezwa kuhatarisha maisha ya wanafunzi na walimu. Majengo chakavu ya shule ya Msingi Mkalapa, wilayani Masasi Mkoa wa Mtwara yaelezwa kuhatarisha maisha ya wanafunzi na walimu. Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 1947 na...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo nikisikiliza nakumbuka mbali sana

    Ila nikikumbuka hizi nyimbo nafurahi Ila Kuna mda napata huzuni Kuna watu tulikua tunaimba nao sasa hivi ni marehemu time flies Wachuja nafaka yaleo Kali Hardman-tamala Adili ft Domo kaya pekee yangu Fid Q mshika mawili Jay mo cheza kwa step Jaffarai Niko bize Afande Sele mtizamo Proff jay ndio...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni vigumu sana kukutana na mtu mtakaependana kwa kiwango sawa?

    Ewe msoma mada jiulize wewe mwenyewe nafsini kwako, huyo mpenzi ulie nae unampenda kweli? (Ni dream partner wako tangu siku ya kwanza ulivomuona), au upo nae ili muda uende, nahis kwenye mahusiano watu wengi wameamua kuridhika na wenza walio nao, ila kiuhalisia tangu mwanzo hawakufurahia uwepo...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Mawaziri wa CCM hawana majibu usiwabane sana

    Nakusihi Spika, ulichomfanyia leo Dkt wa Uchumi hakikubaliki machoni mwa wana CCM Dkt kajikanyaga hadi huruma Trilioni 360 hatujui ziliko, hongera kwa Luhaga mpina kwa swali zuri. Sasa mama wana CCM hawapendi mambo kama hayo na usirudie kuwabana mbele ya kadamnasi namna ile, utaundiwa zengwe...
  5. JamiiForums Tanzania Naishukuru sana JF wadau na CCBRT Dar es Salaam

    Kesho Tarehe 23 September naaza safari ya kweda Dar. kwa ajili ya matibabu ya mtoto wangu aliyezaliwa na tatizo la mdomo sungura, nawashukuru sana wadau kunipa ushauri, maoni na kunipatia namba za mawasiliano ya moja kwa moja na CCBRT naaza safari kesho mimi na mke wangu bure kabsa kwa mama na...
  6. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya viongozi kujifanya special kwenye matukio ya kijamii inanikwaza sana

    Kuna kitu nimekuwa nikikitafakari kwa muda mrefu, nikahisi yawezekana ni mimi tu fikra zangu ndiyo mbovu au za kizamani, lakini baada ya kumsikia Jaji Warioba akizungumzia suala hilo, nami nimepata nguvu kuamini kuwa ninachowaza kuwa ni tatizo basi inawezekana ni tatizo kweli Zamani nakumbuka...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni msikivu sana kwa Watanzania ndio maana anaendelea kupendwa na kukubalika kwake na Wananchi

    Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya Rais Samia kuwa msikivu na kumsikiliza kila mtu mwenye dukuduku au kero au mawazo mbadala au...
  8. JamiiForums Tanzania Tajiri mwingine wa Urusi afa kifo cha kutatanisha, wanauawa sana hawa

    Anayewaua matajiri wa Urusi hususan walio na ukaribu na Putin sijaelewa anawaua kwa nia ipi au ili iweje.... An aviation expert has become the latest Russian official to fall to his death in mysterious circumstances. Anatoly Gerashchenko, the former head of Moscow’s Aviation Institute (MAI)...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati Jenerali Ulimwengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya ilikuwa chafu sana, dampo Kila mahali, barabara mbovu na uhalifu mwingi

    Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki. Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo...
  10. JamiiForums Tanzania Ikitokea ukamsikia Mussa Azzan Zungu,Mwigulu Nchemba na Tarimba Abbas. Unamwona kabisa Shetani anavyokuwazia mabaya....kuanzia hapa hapa Duniani.

    Huyu Mbunge na naibu Spika....Ni zao la akili mfu zinazojipendekeza sana Serikalini huku zikiumiza raia wake. Huyu bwana na Tarimba huwa mara nyingi ukiwasikiliza unawaza tulimkosea nini Mungu? Adhabu ambayo tunaipata kwa hawa watu au wa aina hii ni kubwa. Hapo bado hujamsikiliza dr...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeachana naye, najisikia faraja sana

    Huyu mwanadamu ni nyoka. Alinipendaga sana. Tukatoka sana tulibary Sana na kula bata na kudingana, mwenzie mie nikizama na yeye alioza. Wkt yeye akielezea Siri za ndani za Mr wake nikamuon hee huyu vipi ....? Mumewe ni ugonjwa na hali ya uchumi ya familia na kwakweli sikupendezewa na tabia...
  12. JamiiForums Tanzania Wife akinikuta nasikiliza nyimbo zifuatazo huwa ananichukia sana, tatizo nini wadau?

    1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga, akinikuta nasikiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hataki hata kuniongelesha, yaani siku hiyo nitaishi kwa shida sana 2. Mpenzi Luta by Mutombo, pia na yenyewe anachukia, Wajuzi wa Mambo naomba ufafanuzi juu ya Hili niwe na amani na...
  13. JamiiForums Tanzania Ni takwimu za kutisha sana katika Mahusiano/Ndoa. Kuna jambo tunapaswa kujifunza tupende tusipende ama sivyo tutaangamia

    Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima. Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo. Kilichonishangaza na Kunimaliza...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumwambia Hayati Dkt. Magufuli, nakwambia na wewe Rais Samia; Watanzania ni masikini sana!

    Habari Watanzania wenzangu, Kuna jambo ambalo naamini viongozi wetu huwa wanalipuuza wakifika kwenye viti hivyo. Japo Tanzania ina utajiri mwingi sana, lakini Watanzania asilimia kubwa ni fukara sana. Hii ni kuanzia kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, viongozi wa Taasisi mbalimbali, Majaji, Bunge...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za juu zimeamuru takadini afunguliwe na TFF, cheo cha u-afisa habari hichoooo, pole sana Karia

    Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana. Sasa ni wazi Sope takadini ndiye anaenda kuwa afisa habari wa yanga kwani vile vigezo vilivyoanishwa na team hiyo anavyo vyote tena...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini viwango vya kubadilisha fedha vya nchi za Afrika Mashariki viko juu sana?

    Wachambuzi wa masuala ya Uchumi wamesema viwango vya juu vya ada za kubadilisha fedha wakati wa malipo ya miamala ya kuvuka mipaka inaathiri sana biashara ya kikanda. Kutokuwepo kwa sarafu moja ya Jumuiya ya Nchi 7 za Afrika Mashariki na kushindwa kuoanisha mfumo wa malipo ni miongoni mwa mambo...
  17. JamiiForums Tanzania Natamani Sana mwanamke anishike hivi

  18. JamiiForums Tanzania GSM na Yanga SC huu Uhuni ipo Siku utawagharimu na mtalaanika vibaya sana

    Kama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka. GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa mnakaribia kucheza na Ihefu FC na mnaogopa kuwa Kocha Zubery Katwila ( mwana Simba SC) anaweza...
  19. JamiiForums Tanzania Nafurahi sana demu akinikataa

    Habari wakuu... Nimetimiza miaka 9 sasa bila mahusiano na demu.. nimekua napenda kupgwa vibuti, yaan demu asiponikataa cfeel good tena natamani anitemee na shit ndio moyo wang unasuzika. mademu wanashangaa wakinikubalia siwatafuti tena.. kijana wenu nimeona nije kuomba ushauri maana sijui kama...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini hadi leo Filbert Bayi anatajwa na kuheshimika sana kwenye riadha? Soma hapa

    Binafsi nimekuwa nikimfahamu Mzee Bayi toka nikiwa mdogo ila sikuweza kujua kiundani kwamba kwanini hadi leo dunia inamheshimu mno kwenye riadha wakati wapo wanariadha wengi wa enzi zake waliofanya vizuri na hatuwakumbuki. Serikali yetu inabidi ibadilishe mitaala ili historia za mashujaa wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…