sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. I Sympathize with Habib Kiombo Simba mmemkosea sana Habib Kiombo

    Mimi ni shabiki wa damu wa Dar Es Salaam Young Africans lakini hiki kilicho tokea kwa kijana mwenzetu Habib Kiombo kimenigusa sana. Habib ame twezwa. Anacho fanyiwa Habib ni public humiliation. Anahukumiwa yeye kwa makosa ya viongozi na PR wa simba. Kama kijana anae tafuta maisha yake...
  2. M

    Simba SC 'mnatudharau' sana 'Mashabiki' wenu yaani tunasubiri 'Vyuma' vya maana kumbe mnatushushia 'Garasa' Habib Kiyombo?

    Sasa Habib Kiyombo ana tofauti gani ya Uwezo mdogo kama alionao Yusuf Mhilu? Nani Kawarogeni mpaka leo hii Simba SC ina 'Scouting Team' ya hovyo hivi? Hivi kwanini Viongozi wa Simba SC mnapenda kutufanya Sisi Mashabiki wa Simba SC kuwa ni Madunduna ( Wapumbavu ) sana na labda mnadhani kuwa...
  3. Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

    Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka) Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana Pascal Mayalla aone...
  4. Kwanini Rais Samia Suluhu anasafiri?

    Rais Samia Suluhu amefanya safari za nje 19 ndani ya siku 477 tangu ameingia madarakani. Zinaweza kuonekana kama ni safari nyingi sana, lakini shida sio wingi wa safari, bali tija inayoweza kuletwa na safari hizo katika taifa letu. Rais kusafiri sio jambo la ajabu kabisa, hasa kwa nchi za...
  5. M

    Watanzania wasiokula bia au kilevi wana roho mbaya sana. Ukiwa nao makazini au unapoishi kuwa makini

    Wengi ni watu wasiojiamini. Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu. Wanaamini sana uchawi na ushirikina. Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini. Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini. Hawafai kabisa
  6. M

    Natamani sana 'Spirit' ya Waingereza iigwe na Watanzania wote kama kweli hatupendi Upuuzi

    Waingereza wao hawana Dogo wala Kubwa na Kiongozi wao hata kama wakiwa Wanakupenda vipi Ukiharibu tu watakuambua uachie Ngazi ili aje mwingine mwenye Nidhamu ya Utendaji na Uongozi kwa Umma / Jamii.
  7. M

    Wakazi wa Mbezi wanaumia sana wakikumbuka ahadi ya Hayati Magufuli

    Siku Hayati John Pombe Joseph Magufuli anazindua Stand kuu ya Mabasi iliyopo Mbezi Louis katika mambo aliyowaahidi wakazi wa Mbezi na Kibamba ni pamoja na Kujenga barabara za Mpiji na Makabe kwa kiwango cha lami. Siku hiyo aliongea kwa kumaanisha kuwa utekelezaji wake ungeanza mapema tu...
  8. T

    Kinana anashangaa Watanzania kutonufaika na Kiswahili

    Nimeona kwenye kichwa cha habari kwenye gazeti la leo likisema kwamba eti Makamu Mwenyekiti CCM bara anashangaa watanzania kutonufaika na Kiswahili. Huyu akishangaa sijui anamaanisha nini wakati yeye amekuwa kiongozi mkubwa kabisa mwenye kushawishi sera na mipango ya serikali eti Leo na yeye...
  9. Ukimsikiliza Kiumakini sana Bibie Suma Mwaitenda utagundua kuwa Yanga SC kuna Amani ya Kiini Macho tu, ila kuna Bomu linakaribia Kulipuka Yanga SC

    Umeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC huku akilazimisha Wajumbe watakaopiga Kura wamchagulie huyo Mtu? Tulipoona Yanga SC wameruhusu GSM...
  10. Tunamkosea sana Mungu kwa kucheza Amapiano na Sindimba madhabahuni

    Mmabo mengi waumini wenzangu tunayafanya kwa ama kutofikiria au kwa kuiga iga tu bila kutazama mantiki zake. Imeibuka hii tabia ya kucheza mitindo ya kwenye disco na sehemu za ufuska na maovu mengine tukiwa madhabahuni. Juzijuzi nimetoka kuona video vijana wanatwanga sijui ndiyo Amapiano ile...
  11. Wababe wa vita walioogopwa sana na wazungu lakini maisha yao yakaishia pabaya, Putin anapaswa kujifunza kwao

    1. Napoleon Bonaparte Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku. Alihamishwa kabisa...
  12. Kwanini Watutsi wanapendelewa sana huku wahutu wakipuuzwa, kudharauliwa ili hali wao ni wengi. Je, kuna madhara yoyote kwa hili?

    Umuofia kwenu, Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni waTutsi. Kutokana na sensa ya 1994 waTutsi ni 14%, waHutu 85% na waTwa ni 1% lakini vyeo vyote naomba...
  13. Hongereni sana Machame girls, hakika Mmeng'aa Sana Matokeo ACSEE 2022,Marium na Stella mmeipaisha Serikali ya awamu ya 6

    Hongereni sana Machame girls, hakika Mmeng'aa Sana Matokeo ACSEE 2022, https://matokeo.necta.go.tz/acsee2022/index.htm
  14. Kazi ya msaidizi wa nyumba ni ngumu sana, ni sawa na kazi ya kibiriti kusafisha unarudia.

    Akipika mama lawama zinakwenda kwa dada jiko chafu. Tena dada huwa anaambiwa apikie kuni au mkaa jiko la ndani anapikia mama tu.
  15. Hili la Yanga kupokea Sh.1,300 kati ya Sh.35,000 ya jezi, linatia uchungu sana

    Huu ni unyonyaji
  16. K

    Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

    Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje. Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu. Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh? Mitano tena...
  17. Napenda sana wana Yanga SC wenye 'Msimamo' na wasio 'Wanafiki' kama huyu

    Kafunguka sana na Kaeleweka mno.
  18. Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

    Hii ndio iliyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivyo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakati.
  19. "Oligarch" mndani sana wa Putin awa wa kwanza kujitoa mhanga kwa kumkosoa Putin

    Asema anguko la kiuchumi la Urusi halivumiliki. Na kamba hivi vita havina mshindi. ======== Oleg Deripaska criticizes Russia's actions The important Russian oligarch Oleg Deripaska has made some striking comments about the war in Ukraine. Putin's favorite billionaire said that there would be...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…