sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Karibu sana Mwenezi Paul Makonda ndani ya Songwe

    Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe wanatarajia kumpokea Katibu Mwenezi Taifa ndugu Makonda kuanzia hapo kesho tarehe 06/03-2024. Ukiwa kama mkazi wa Mkoa huu wenye fursa nyingi,unakaribishwa kuhudhuria mikutano ya mwenezi wetu taifa. Karibuni sana,Kidumu chama cha...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

    Habari za Usiku wana JF, Kuna mdada nimempenda Sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina. Mtoto ana miaka 6. Naomba ushauri tafadhali!
  3. JamiiForums Tanzania Tuacheni uzinifu, madhara yake ni makubwa sana hata ukitoa magonjwa yaliyopo

    Leo ngoja niweke ushahidi wangu binafsi. Kuna mahala kwenye mijadala yangu humu niliwahi kusema nina mke mmoja na michepuko watatu ila watu wakapinga. Lakini ukiachana na michepuko hao watatu wapo wengine wasio rasmi ambao kila nikikanyaga mikoa husika nachagua mmoja aje kutoa huduma. Hapo...
  4. JamiiForums Tanzania Hili jambo linanigharimu sana

    Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi. Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo...
  5. JamiiForums Tanzania Madaktari na maofisa wengine wa kiserikali mnawanyanyapaa sana wananchi

    Idadi klubwa ya wananchi ni dhofu hali na pangu pakavu hivi hizi kauli za madktari kuwalingania wananchi kuwa wapime afya zao kila wiki wanakuwa wakifikiri kuhusu pato la kila mmoja?wapo viongozi wengine wa kiserikali wanatumia kauli za kuwaaambia vijana wajiajiri ila wao ndiyo kwanza wapo...
  6. JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini - Sherehe za Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM Zafana Sana

    MUSOMA VIJIJINI - SHEREHE ZA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM ZAFANA SANA Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zinafanyika sehemu mbalimbali ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini. Jumuiya zote za CCM zimekamilisha sherehe zake. Chama kinaendelea kusherehekea kwenye ngazi za Kata. Mbunge wa Jimbo, Prof...
  7. JamiiForums Tanzania Wakongo wanashambulia madereva wanaokwenda kusafirisha shaba, hali ni mbaya

    Kama kichwa cha taarifa hapo juu. Hali si shwari Kongo ==== Kongo kumechafuka, na hali si shwari toka tarehe 2/2/2024, Wakongo hawataki shaba (copper) itoke nchini mwao, gafi yako ikibeba shaba kusafirisha nje inashambuliwa. Gari hiyo inayoonekana kwenye video inasemekana ni kutoka kampuni...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa shule wanawatesa sana walimu aisee

    Yaani Kuna shule Mkuu wa hiyo shule anawachukulia walimu wake kama watoto. Kufika kazini ni saa 1 kamili, kutoka ni saa 11 jioni na ni mkali balaa kuwaandikisha barua kila wakati.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dear Mama! Usipoweka sheria nzuri za chaguzi utaishia kwenye stress sana mwisho wake!

    Napenda kupendekeza kwa Mama. Hayo maendeleo pekee haita kuwa sababu ya watu kukusamehe kwenye sheria mbovu za chaguzi hasa kama vyama vikuu vya upinzani vitagomea uchaguzi. Ukweli ni kwamba huko ndiko tunaelekea. Hao wanao kudanganya mambo yatakuwa powa sio kwako ni kwao. Mambo hayatakuwa powa...
  10. JamiiForums Tanzania Biden ana uzoefu mkubwa sana wa siasa za Marekani

    Huyu raisi amebahatika kupita kwenye vyeo vyote vikubwa vya maamuzi. Amekuwa senator wa Delaware kuanzia 1972 - 2009. 2009 -2016 makamu wa raisi wa Marekani 2021 - present: Rais wa sasa wa Marekani Biden ana uzoefu mkubwa sana wa siasa za Marekani Apewe hongera
  11. JamiiForums Tanzania Kama 70% ya Umeme Wa Tanesco ni wa Gesi, Mbona Maji yanasingiziwa sana?

    “Kwa wastani umeme unaozalishwa kwa kutumia gesi asilia ni takribani asilimia 65 mpaka 70 ya umeme wote unaozalishwa nchini. Wataalam wanatuambia kwamba kama tusingekuwa na gesi asilia, tatizo la umeme nchini lingekuwa kubwa zaidi. Kwahiyo, tushukuru sana Mungu kutuletea rasilimali hii ya gesi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ukiwaelewa Walimwengu.... hawakupishida

    Kwa jinsi tulivyoumbwa hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, kila dereva anamuona mwenzake hajui kuendesha chombo cha moto.
  13. JamiiForums Tanzania Iran imejitetea sana kwamba haikuhusika, na imewakana wote waliofanya mashambulizi dhidi ya USA

    Sasa wameachwa mayatima, Marekani inapiga, na hakuna mwenye uwezo hata wa kujifanya anajikuna, jana wamepiga maslahi 85 ya Iran huko nje......... Si Iran imewatelekeza? Iran denies involvement in drone attack on US in Jordan The Iranian government on Monday distanced itself from the kamikaze...
  14. JamiiForums Tanzania Siku ukipata nafasi ya kuishi russia utaichukia sana

    Wazungu kwa ujumla ni wabaguzi sana. Ukienda Europe, America ubaguzi ni kawaida sana. Ila kuna maeneo ubaguzi umezidi sana hasa kwetu Sisi watu weusi. Russia ni miongoni mwa nchi ambazo ubaguzi umekithiri sana. Watu weusi Sisi ni takataka nchini Russia. Watu weusi wanabaguliwa sana Russia na...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli madam Tulia Ackson ni kichwa sana

    Wakuu kwema Nilikuwa nafuatilia vikao vya Bunge jana kwenye Tv. Niseme kiukweli Mheshimiwa Tulia ackson ni mtu haswa haswa, huyu mama nimeelewa sasa Kwanini ni amekuwa raisi wa mabunge yote duniani. Alikuwa anawa challenge wabunge ambao wengi wao nimeamini kichwani ni kweupe sana na hawawezi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

    Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame. Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi. Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Inonga ana viwango vya Laliga na EPL. Tatizo tupo timu mbovu sana ya Simba

    Nimemfuatilia kwenye hii michuano ya Afcon. Hakika jamaa ni bonge la beki. Sema aliyemshauri kuja Simba kamuharibia sana.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji mpira Azam Tv anaboa sana

    Jamaa maneno meeeengi hata hayahusiani na game yenyewe. Akimtaja mchezaji ataanza kumchambua weeee hadi club alizopita, badala ya kutangaza mpira unaochezwa uwanjani yeye ni ujuaji na story tu. Yaani utafikiri yupo kwenye kipindi cha majadiliano. Too much boring. Halafu hata tone/sauti yake...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Roman Catholic, KKKT na makanisa mengine makubwa, Vijana wanaosali kanisani kwenu ni ngumu sana kupata Wachumba kanisani, igeni mfumo wa Wasabato SDA

    Binafsi ni msharika wa KKKT. nimebahatika kusali madhehebu mengi sana yakiwemo Roman Catholic, TAG,Anglican, SDA, KKKT na mengineyo. nimeenda kwa kualikwa na ndugu , jamaa na marafiki kusikiliza neno la Mungu . ukweli siku niliyosali kwa wasabato nimeona kitu tofauti sana katika ibada zao...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Mbeya tunaumia Sana Umeme kutokuwepo. Viongozi hamueleweki

    MBEYA Umeme haupo Kila Siku unakatika Serikali Acheni mizaha. Hii Ni aibu Sana Kwa Serikali,, mnapiga porojo tuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…