sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea

    Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama Lushoto, Moshi, Dodoma, Kahama na Morogoro na nimebahatika kutembelea kwa sana mikoa ya Dar, Arusha...
  2. JamiiForums Tanzania Napenda sana majirani wa aina hii

    Aiseeeee habari za leo wazee......... Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi na kuzungusha Kwa wateja wake. Shughuli zake zingine sizijui na huwa sizifwatilii kabisa. Hawa...
  3. JamiiForums Tanzania 90% ya Watanzania hawafahamu kama ziwa Tanganyika kuna Submarine kubwa sana

    Kama sio mfuatiliaji wa mambo au mvuvi unayefika kina kirefu ndani ya ziwa Tanganyika huwezi kujua hii inshu. Siku moja saa 8 usiku tulikuwa tuko katikati tunarekebisha nyavu, tukakutana na submarine nadhani walikuwa wanajaza mafuta. Ilikuwa ni kubwa sana japo kuwa asilimia kubwa ya chombo...
  4. JamiiForums Tanzania Kesho ni mbaya sana

    Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂 Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke aliyejichubua.
  5. JamiiForums Tanzania Sir Nature: Inaniuma Sana

    Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku, Alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku, Walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser, Wamejaa hangover utazani jana yake walikesha, Akaja mshikaji wangu mmoja, kutoka kwenye lilelile gari akaja moja kwa moja, mpaka kwenye mlango wa...
  6. JamiiForums Tanzania Hongereni sana wakina mama wote kwa upendo mlionao kwa watoto wenu.

    Juzi mama wa mwanangu alikuwa anaenda dukani, mtoto nayeye akataka kwenda mama yake akamzuia dogo akawa mbishi. Ikabidi wakubaliane kwamba hakuna kubwebwa, mtoto akakubali safari ikaanza, kama dakika 6 tu dogo akataka abebwe. Mama akawa mkali, mtoto akatumia akili nyingi akaita mama mamaake...
  7. JamiiForums Tanzania Ligi ya Kenya naona kama imeshuka sana

    Ukiangalia wachezaji wengi ni WA kawaida huenda coastal ukienda Kenya inakuwa bingwa tena bila kufungwa hasa golini akiwepo Matampi Hapa naangalia game ya Gor na Shabana dah ni kama ndondo flani Ila kitu nawapongeza naona Wana viwanja vizuri kuzidi NBC Tff na bodi ya ligi wazuie kabisa baadhi...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu ya wapenzi wapya kufurahiana na kuongea sana ni kwa kuwa hamjuani sana, mkishazoena na kujuana basi stori zinaisha.

    Isa wikendi, yeesi iliiiiziiii. Hii saikolojia iliyothibitishwa. Kitu chochote ukishakijua sana huendelei kukidadisi, unakuwa unajua ukianza hivi kitatokea hivi ama vile. Hata kwa wapenzi ni hivyo hivyo, hakuna tofauti ya kweli kivile. Wengine huenda mbali zaidi kiasi cha kuwachukia wenzi wao...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wana Ujasiri wa Ajabu sana!

    Shaquille O'nel na mpenzi wake mpya wa miaka 21 wakila raha Spain.... Hapa kuna mtu atapata murder case🤣🤣
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa sana Juma Mgunda akikosa tuzo ya mwezi

    Haihitaji kwenda chuo kikuu kujua kuwa kocha bora wa mwezi ni Juma Mgunda
  11. JamiiForums Tanzania Nina mashaka sana na Umri wa hawa wachezaji wa Simba

    Hawa wachezaji msimu huu na uliopita ukiwaangalia ni watu ambao wana malengo fulani na kuna kitu wanakitafua ila miili inakataa. Hii ni dalili kwamba wana uchovu wa muda mrefu au umri umewatupa mkono . Kwa hapa Uchovu sidhani ila nina shaka na umri halisi sio wa kwenye makaratasi. Timu iwe...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini binadamu wana roho mbaya sana juu ya wanyama?

    Watanzania wana roho mbaya sana juu ya wanyama. Wakimuona paka ata kama hajafanya kitu wanaanza kumporomoshea mawe wanamfukuza na matusi juu. Halikadhalika mbwa na ndege kama vile kunguru na ndege wengine. Ni nini hasa inachangia Watanzania kuwa na roho mbaya juu ya wanyama ambao ni viumbe...
  13. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo kimeo sana

    Hivi kwanini mtandao wa Tigo kila siku tatizo la mtandao ni wao tu? Hapa nataka kufanya huduma ya tigo pesa inaniambia mtandao unasumbua, ina maana leo nalala giza.
  14. JamiiForums Tanzania VIDEO: Nimelia sana RPC-Tarime kuendelea Kutetea Askari walioua na ushahidi wa kina Upo

    Napenda Kukiri kwamba mimi Ni mmoja wa watu wanaopenda Maendeleo ila Nachukizwa na Maendeleo yanayokuja baada ya kuuawa kwa watu yanaumiza sana watu wanabaki Mayatima na wengine Wajane inaumiza sana.. Itafika Kipindi wananchi watachoka Kuona uonevu huu Je tuko tayri kuona Wananchi wakireact na...
  15. JamiiForums Tanzania Wahaya wana Akili sana kiukweli

    Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa. Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA. Hongereni Sana Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo. NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki. DNA factor, zina mchango wake.
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia hii movie sio siri Wajapan kwenye swala la Movie Production ni hatari sana, hata Hollywood wanafunikwa

    Muvi ya Godzilla minus one sio sound sio visual vyote ni ya viwango vya juu sana, Wajapan nimewavulia kofia. Rasmi ntaanza kufatilia na kuangali muvi zao Maana Hollywood siku hizi muvi zao zimejaa uchoko na content za ajabu ajabu tu. Naombeni mnitajie muvi Kali na nzuri zilizoandaliwa Japan...
  17. JamiiForums Tanzania Hili tukio lilinichekesha sana japo mwamba aliaibika mno

    Habari ya muda huu.. Ilikuwa mwaka 2010 kwetu huko Tabora. Sisi tulikuwa wakulima wazuri wa zao la tumbaku. Wafanya kazi wetu kwa asilimia kubwa tulikuwa tunawatoa Burundi. Kulikuwa na huyo jamaa anaitwa Lenard. Jamaa alikuwa mchapa kazi sana lakini alikuwa mlevi pia tena mlevi mzuri tu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Makabila ambayo wakioana, ndoa zao hudumu

    1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai. 2. Msukuma akioa Mbulu /Mrangi /Mnyaturu /Mmeru/Mchaga au Muiraki. 3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni. 4. Mdigo akioa au kuolewa na Mgogo, Mchaga au Mngoni. 5. Mkwere akioa au kuolewa na Mmakonde, Myao, Mzaramo, Mnakua...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini ikifika saa 7 mchana wanyama wanatulia sana

    Kwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta sehemu wanakaa wanatulia mno na ndo maana hata playlists kwenye radio nyingi utakuta nyimbo zaidi za...
  20. JamiiForums Tanzania Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa. "Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…