sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Waliomuua yule mtoto albino wahasiwe haraka sana, hawana sifa ya kuitwa binadamu

    Huyu mtoto hadi mmekatisha uhai wake amewakosea nini jamani, hili jambo kila ninapofanya shughuli zangu linanijia, nimevaa uhusika kuwa yule ni binti yangu amefanyiwa unyama ule, niko katika hali gani. Kweli nyie mliofanya unyama na ukatili kiasi hicho mnastahili kuwepo duniani kweli? Huyu...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini ni nadra sana kusikia tuhuma za rushwa kwa Rais au waziri Marekani?

    Hivi Marais na mawaziri wa Marekani huwa hawajihusishi na vitendo vya rushwa wakiwa madarakani au wanafanya kijanja sana? Huwa nasikia viongozi hawa wakitajwa kwenye skendo mbalimbali lakini ni nadra sana na sijawahi kusikia kabisa Rais au waziri Marekani anatuhumiwa kwa rushwa zinazohusu pesa...
  3. JamiiForums Tanzania Wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) nimewamisi sana tokea mwaka 2009, ila Mungu akipenda 2024 hii nakuja Kuwa nanyi na Kutambika pia

    Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana. ONYO Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema Warumi ni watu wenye akili sana!

    Warumi! Warumi! Warumi! Ni watu waerevu, wajanja na wenye akili sana. Dunia yote ipo mikononi mwa Roma. Barabara zote duniani zinaelekea Roma. Wana siri nyingi na nzito kweli kweli. Wanapigwa vita na makanisa ya kiprotestanti kupitia kanisa lao Katoliki ila huwakuti kujitetea wala kujibu...
  5. JamiiForums Tanzania Wale wote mliowahi kumegewa, poleni sana

    Humu ferooz kalia sana kwa Boss Juma nature ndio kama yule mwanao kabisa wa damu ana hasira mbaya na boss kwa uhuni aliokufanyia. Alafu mchizi solo thang ana poza hasira kwa mwanae ferooz asichukue maamuzi magumu maana mwana ana ahasira na Boss ila unyonge wa kuhofia ajira una mhold back. Ila...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini binadamu wanapenda sana dunia na mambo yake, ingawa wanajua kwamba mwisho wa yote watakufa na kuacha kila kitu

    Asili ya Kibinadamu: Binadamu wana asili ya kupenda maisha na kutafuta furaha na raha. Kutafuta mali, hadhi, na mafanikio ni sehemu ya asili hii. Kwa njia hii, wanajenga maisha yenye maana na kuridhika. Hofu ya Kifo: Kwa kuwa kifo ni kitu kisichojulikana na chenye kutia hofu, watu wengi...
  7. JamiiForums Tanzania Nampenda sana “To Yeye”

    Nothing to hide here. She's my everything the air I breathe my bread when am feeling hungry. I will cross the ocean for her, I will go bring her the moon, al be her fortress tall and strong. And if there's a mountain to move I will move that mountain for her. I dont fear death Am ready to...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana Nifah

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Sina maneno mengi. Though she's taken, she is my dream woman. Secret admirer!
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wa kiume unaombaomba sana pesa hii imekaaje?

    Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko? Mawazo yenu ni muhimu
  10. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mlioko Huko Yasemekana Kuna Ajali Hapo Mjini Imesababisha Foleni Kubwa Sana

    Habari na picha
  11. L

    JamiiForums Tanzania Asante sana Saido Ntibazonkiza for making good to the club

    Niko Wizarani nafuatilia kuhusu ukweli wa transformation ya Simba umekomea wap zaidi ya mwaka wa tatu sasa, nakutakana na Thank you ya Saido Ntibanzokiza. Kwangu anabakia kuwa Shujaa ndani ya Simba, ni mchezaji ambaye ametoa mchango mkubwa sana ndani ya klabu yetu kuliko mchezaji yoyote yule...
  12. JamiiForums Tanzania Nimepata mashaka makubwa sana dhidi ya ueledi wa Admin alie unganisha Uzi wangu na Uzi wa Kula PAPUCHI kimasihara.

    Uzi wangu ulikuwa na title " KWA MWENYE UZEOFU NA UWEZO WA KITANDANI WA WANAWAKE WA KIMATUMBI KUTOKA KILWA" Ndani ya Uzi nimesema kuwa nimepata demu single mother wa kimatumbi, weekend hii nimepanga kwenda Somanga KUKUTANA nae. Nikauliza kama kuna mtu aliwahi kutoka na mmatumbi anijuze kuhusu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hatari sana kutoa ushuhuda wa uongo!

    Hali hii naona ifike mahali itazamwe kwa jicho la tatu. Ukiwatazama hawa wanaojiita Mitume hasa kwa hapa DSM, kwa kweli kuna utata mno kwao, na kwenye baadhi ya shuhuda za wafuasi wao. Kwa akili ya kawaida tu ni wazi kuna watu wafuasi wanatoa shuhuda za uongo na sijajua ni kwa maslahi ya nani...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya ni watu wenye roho nzuri sana

    Ingawa wakati mwingine Watanzania na Wakenya hushambuliana kwenye mitandao ya kijamii, haimaanishi kuwa ni maadui. Utani wao ni kama ugomvi wa watoto wanaofuatana kuzaliwa. Linapokuja suala la shida au changamoto, uhalisia wa mahusiano yao hujithihirisha. Husaidiana. Ingawa Watanzania na...
  15. JamiiForums Tanzania Kitanda kizuri sana na godoro lake kinauzwa, angalia

    Kama unavokiona 270 tu na godoro unachukua ni 5*6 ukikipenda kiwahi haraka before kiende #SOLD SOLD SOLD GUYS🙏
  16. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Marekani iko nyuma sana kwa China katika nishati ya nyuklia

    Hapa hatuzungumzii mabomu ya nyuklia, tunazungumzia matumizi ya amani ya nyuklia yaani kuzalisha nishati. Kiteknolojia Marekani iko nyuma ya China kwa miaka 10 hadi 15 katika nishati ya nyuklia kwa sasa. Kwa nini? China wamekuja na teknolojia mpya (innovation) ya kwanza duniani iitwayo...
  17. JamiiForums Tanzania Simba bado sana, haiwezi simama bila Try again

  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwasababu ya umaskini na woga vijana wanachukua kadi za CCM kwa kasi sana. Nani atalikomboa taifa na adui wetu 3 wa asili?

    Hello ! Mwanzoni mwa mwezi May 2024 mke wangu aliniambia kuwa kadi za CCM zinefika, mjumbe kaandika jina lako hivyo twende ukachukue kadi yako. Nilitafakari, inakuwaje mjumbe aandike jina langu kwenye orodha ya wanaohitaji kadi za CCM bila ridhaa yangu. Kwakuwa nilikuwa free nikaona nisigombane...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa 10 tajiri sana duniani kwa mwaka 2024.

    Marekani, China, Ujerumani, Japan na India ndizo nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka wa 2024, kulingana na data zao za Pato la Taifa. Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu mbunge alicho kifanya ni cha ajabu sana

    Huyu mbunge alicho kifanya ni cha ajabu sana. Sidhani kama mwenye akili timamu anaweza kufanya hivi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…