Itoshe kusema Warumi ni watu wenye akili sana!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,749
Reaction score
7,857
Warumi! Warumi! Warumi! Ni watu waerevu, wajanja na wenye akili sana.

Dunia yote ipo mikononi mwa Roma. Barabara zote duniani zinaelekea Roma.

Wana siri nyingi na nzito kweli kweli. Wanapigwa vita na makanisa ya kiprotestanti kupitia kanisa lao Katoliki ila huwakuti kujitetea wala kujibu chochote.

Wanajua wanachofanya! Hawabahatishi.

Daaah! Rumi?
 
Apumzike kwa amani warumi
 
"barabara zote duniani zinaelekea roma" kivipi?
 
Back
Top Bottom