sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    JamiiForums Tanzania Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

    "Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake" –Tyrese Gibson Hayo ni maneno ya kujutia ya mwigizaji wa Marekani Tyrese Gibson baada ya ex wife wake Samantha Lee ambaye pia...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Weekend ndefu sana, I'm already bored

    Aisee wiki inaisha na mwezi unaisha, kwa huku Marekani hapa nilipo leo kuna mechi kubwa sana ya American Football, kwa hiyo ofisi nyingi zimefungwa saa sita mchana. Na kuanzia hapo ni wadau tu wanaweka mabango ya kufanya burudani zao. Maisha ni tofauti sana, tangu saa sita ndege mbili...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini uvumilivu umepungua kwa kasi sana

    God is good, Kila unapotoka kwenye kizazi kimoja kwenda kizazi kingine UVUMILIVU unapungua sana, nini shida? Unakuta kijana wa miaka 20 amekata tamaa kabisa! 27 Siku zote za Methusela ni miaka mia kenda na sitini na kenda, akafa. Mwanzo 5:27 Sasa kama Methusela aliishi miaka 969 tukipewa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wazuri sana wanakataa wanaume?

    Ivi ushawahi kujiuliza kwanini 1. Wanawake wazuri sana wanakataaga wanaume? Namaanisha A. Mzuri wa umbo B. Mzuri wa kili C. Mzuri wa utafutaji D. Mzuri wa Dini E. Mzuri wa Tabia na maadili Yani awe na vitu vyote 5 hapo juu, Hao wanawake wanakuwaga hawapatikani kirahisi kwa wanaume hata kama...
  5. JamiiForums Tanzania Zanzibar watamkumbuka sana Magufuli kwa kuwapatia Rais Bora

    Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya. Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
  6. JamiiForums Tanzania Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

    Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃 Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo. Rafik yangu alikuwa ni wale...
  7. R

    JamiiForums Tanzania LIBERIA 1980: Picha hizi zinatia huruma sana, waafrika tu wanyama! Why all this?

    LIBERIA 1980 Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980 A Liberian army soldier stands ready to execute a former cabinet minister following the 1980 coup. The minister in the photo: Cecil Dennis. On April 12, 1980, Samuel Doe led a military coup, killing...
  8. JamiiForums Tanzania Usiku wa leo Harmonize anaenda kuachia ngoma kali sana

    Harmonize jeshi katangaza balaa usiku wa Leo Kwa mashabiki zake wanaenda kufurahi kwakua anaenda kuachia ngoma Kali sana mbili harmonize ndio mfalme wa bongo fleva ukibisha download ngoma zake halafu Kaa home sikiliza
  9. JamiiForums Tanzania Kijijini hakuna siri na taarifa husambaa haraka sana

    Wakuu nimeamua kuileta hii habari kama thread sio story ya kutunga ni kweli ilinitokea kipindi cha nyuma kidogo miaka ya 2008. Ilishawahi kunitokea hiyo Kijijini aisee. Nimetoka zangu Dar nikaenda Kijijini basi bhana kulikuwa kuna Pisi kali ya maana na kuna jamaa alikuwa anaigharamia Mimi...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali isiishie kwa Kiboko ya Wachawi, kuna matapeli wengi sana kwenye uwanja wa dini Tanzania

    Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli. Leo nitaitoa ishara moja tu. 1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri. Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa? Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
  11. JamiiForums Tanzania Tabia ya kupiga simu zaidi ya mara mbili inakera sana

    Upo kwenye shughuli yeyote inayokunyima uhuru wa kupokea simu Upo kazini busy na kazi kiasi cha kuepuka kupokea simu binafsi kwa sababu ni muda wa kumtumikia mwajiri ukihudumia wateja wake Umeamua kuchukua muda wa kupumzika, umechagua kutokusikiliza yeyote ili uache akili yako ipate utulivu...
  12. JamiiForums Tanzania Inahitajika google play console haraka sana offa ya milioni 2 ipo mezani.

    Natafuta mtu anayemiliki app iliyopo playstore ili aniuzie google console yake kwa milioni 2 (2,000,000).💲💲 Ikiwa utaniunganisha na mmiliki wa console na akaweza kuniuzia nitakupatia laki 1 (100,000) 🤑🤑🤑 ☎️👉 0711707070 Sifa za account 1.Iwe na zaidi ya mwaka tokea isajiliwe 2.Iwe na app...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kuanzia miaka 20 ijayo wataishi kwa tabu sana

    Nikitazama namna ya maisha ilivyo sasa na inavyo enda nathubutu kusema kwamba wazee wa kuanzia miaka ijayo 20 au pengine hata kabla watakabiliwa na maisha magumu sana. Hili nalitazama katika mambo matatu. Mosi ni wazazi wengi wa sasa kukosa muda wa kuwa na watoto wao kwa ajili ya kutafuta...
  14. JamiiForums Tanzania Jamii forum Inafanya sensorship na filter kubwa sana siku hizi!! Si sehemu huria kama mwanzo

    Sasa ivi hii platform hovyo sana! Kila nyuzi wanafuta!! Hata nyuzi zisizo za siasa!! Maoni binafsi story binafsi Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact. Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
  15. JamiiForums Tanzania Wachezaji na fans engagement ni shida sana

    Nimeangalia mapokezi ya wachezaji wa Yanga bukoba ni makubwa sana tena sana pale airport na watu wameacha shughuli zao kwenda kuwapokea ila namna wachezaji wanawapita mashabiki ni kama paka na panya wengi wamefunika vichwa na kofia miwani kubwa earphones mwendo wa ngiri Angalau Dube kuonesha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wanatunga sheria za kuwakomoa wengine wanasahau kuna siku zitawagusa pia!

    Kuna video moja inayohusu nchi ya mbali kabisa ya Tataipa. Huko kulikuwa na waziri aliekuwa anapitisha sheria kuhusu mambo ya jela, alipitisha sheria ngumu sana lakini sheria moja ni wafungwa wapewe ugali na mboga chungu. Lahaula. Siku moja akampinga bosi wake, huku na huku kapigwa miaka 10...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  18. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ya mwaka 1975 ilikuwa nzuri sana!

  19. JamiiForums Tanzania Bado tuna kazi ya kufanya tupo nyuma sana

    Bado tuna kazi ya kufanya inabidi tuzipige hizo 10% mfululizo China NBS data Annual GDP China's Historical Nominal GDP for 1952–present[8] (current price, revision based on the 4th economic census 2018)[9] year GDP GDP per capita based on mid-yr pop.[10] Reference index...
  20. JamiiForums Tanzania Wakazi wa dodoma nawapa offer ya urembo wa nyumba kwa bei kitonga sana

    Ni urembo safi wa nyumba yako.angalia samples hapa.... ..nguzo 40000 ..dirisha 35000 ..kona40000 .. skirting 150000 Karibuni nyote 0719999526
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…