sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kuanzia miaka 20 ijayo wataishi kwa tabu sana

    Nikitazama namna ya maisha ilivyo sasa na inavyo enda nathubutu kusema kwamba wazee wa kuanzia miaka ijayo 20 au pengine hata kabla watakabiliwa na maisha magumu sana. Hili nalitazama katika mambo matatu. Mosi ni wazazi wengi wa sasa kukosa muda wa kuwa na watoto wao kwa ajili ya kutafuta...
  2. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Jamii forum Inafanya sensorship na filter kubwa sana siku hizi!! Si sehemu huria kama mwanzo

    Sasa ivi hii platform hovyo sana! Kila nyuzi wanafuta!! Hata nyuzi zisizo za siasa!! Maoni binafsi story binafsi Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact. Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
  3. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Wachezaji na fans engagement ni shida sana

    Nimeangalia mapokezi ya wachezaji wa Yanga bukoba ni makubwa sana tena sana pale airport na watu wameacha shughuli zao kwenda kuwapokea ila namna wachezaji wanawapita mashabiki ni kama paka na panya wengi wamefunika vichwa na kofia miwani kubwa earphones mwendo wa ngiri Angalau Dube kuonesha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanatunga sheria za kuwakomoa wengine wanasahau kuna siku zitawagusa pia!

    Kuna video moja inayohusu nchi ya mbali kabisa ya Tataipa. Huko kulikuwa na waziri aliekuwa anapitisha sheria kuhusu mambo ya jela, alipitisha sheria ngumu sana lakini sheria moja ni wafungwa wapewe ugali na mboga chungu. Lahaula. Siku moja akampinga bosi wake, huku na huku kapigwa miaka 10...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ya mwaka 1975 ilikuwa nzuri sana!

  7. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Bado tuna kazi ya kufanya tupo nyuma sana

    Bado tuna kazi ya kufanya inabidi tuzipige hizo 10% mfululizo China NBS data Annual GDP China's Historical Nominal GDP for 1952–present[8] (current price, revision based on the 4th economic census 2018)[9] year GDP GDP per capita based on mid-yr pop.[10] Reference index...
  8. mkenya wa kova

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa dodoma nawapa offer ya urembo wa nyumba kwa bei kitonga sana

    Ni urembo safi wa nyumba yako.angalia samples hapa.... ..nguzo 40000 ..dirisha 35000 ..kona40000 .. skirting 150000 Karibuni nyote 0719999526
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kizimkazi Festival ilifana haswa, Inshallah tukutane 2025!

    1. Tuwe wakweli, Tamasha la Kizimkazi lilifana haswa. Wasanii kama wote, burudani ndo usiseme. Kwa sasa Kizimkazi Festival ndio Tamasha kubwa Afrika. 2. Hakika Dunia imeona ukarimu wa Wazanzibari. Inshallah tukutane 2025.
  10. M

    JamiiForums Tanzania NIMELIA LIPOSIKIA HILI

    Iko hivi Kuna video moja ipo katika mtandao ambayo inazungumzia mtu mmoja aliekuwa na madaraka katika nchi 1 iliopo Mbali dunia inayoitwa - JAMAINA Kiongozi huyo alikuwa nafasi ya uwaziri ya kusimamia watu kazi ambao waliopo kwenye adhabu Siku 1 vijana walipewa kazi ya kulima shambani kama ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hamas ni kiboko sana. Hii ingalitokea Vatican ingalikuwaje?

    Mwaka sasa tangu vita vya gaza vianze, Marekani halali anatka vita visimamishwe. licha ya kupelea jeshi na silaha kwa isreal lakini mabo yanazidi kuwa magumu kwao Kama Hamas wanapigwa kama tunavyoaminishwa na Propaganda, Marekani alingalikua anahaha kuomba Hamas wakubali vita viishe? swali vita...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Karibuni sana kwenye makambi Kanisa la Waadvetista Wasabato Salasala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Kwa furaha kubwa nawajulisha kuanza Kwa makambi hapa Kanisa la Waadvetista Wasabato salasala Nyote mnakaribishwa sana Vipindi vizuri vyenye kutoa elimu zote za kiroho na kidunia pia Kwaya za kutosha zitahudumu Usipange kukosa mtu wa Mungu Mtaarifu mwenzako Mungu...
  13. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Nimegonganisha mabwana kanisani, nimetoka mzima, wanaume watu wa ajabu sana

    Mrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe Money penny: enhe nambie mrembo Mrembo: kuna wanaume wawili wananitaka, Mmoja ni mtu mzima miaka 55 - Mpenzi A Mwingine kijana miaka 35 - Mpenzi B Kati ya hawa wawili wote siwaelewi, Mwanzo Mpenzi...
  14. Smooth Criminal

    JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Wanaume au wanawake wajanja huoa au kuolewa na wenza wabovu sana

    Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo wa kuoa huyu mwanamke au amelazimishwa? Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Elon Musk mbinafsi sana

    Huyu bwana wazazi wake ni makuburu wa Africa Kusini kwa maana ya kwamba ni wahamiaji kutoka Ulaya, yeye sasa hivi ni mhamiaji wa US kutoka Africa Kusini, alirithi pesa kutoka mgodi wa rubi wa baba yake huko Africa Kusini lakini kucha kutwa kuwasema, kuwabeza na kwananga wahamiaji wanaoingia West.
  16. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Huu Ujumbe Umenishtua sana

    Kama ndo hivyo, hela tunatakiwa tumpe nani??? Hapo ameniacha njia panda.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vita l'O , wakiondoka watuachie msemaji wao yule jamaa ni mtu safi sana halafu ikiwezekana apate kazi kwenye timu za Bongo.

    Yule jamaa ana courage kubwa sana , Yule kwanza ni muungwana sana , Anapokua kashindwa wala haleti ubishi, anakubali na maisha mengine yanaendelea hataki matatizo na watu, Buchuti anakupambania hadi mwisho hata kama anajua utashindwa, Jamaa abaki tu Bongo ili tudumishe muungano wa east africa...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Rais Samia aheshimiwe, kumtusi ni kumkosea sana.

    Watanzania wakati mwingine ni kama watu ambao hawajui nini hasa wanachotaka.Wakati wa utawqla wa Rais Kikwete,maneno yalikuwa mengi sana.,mlegevu,hashuguliki na masuala ya msingi ya nchi,nchi imeoza. Akaja Rais Magufuli,yeye alikuwa strick sana,alikuwa hapendi bla bla au majadiliano sana.Alikuwa...
  19. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Hili Tamasha la kufunga Kizimkazi Kuna Tambiko kubwa linafanyika muda huu? Kweli nchi haiendeshwi na katiba.

    Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40. Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi. Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na...
  20. Pule

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa hivi ingependeza sana..

    Habari wadau....Hawa Azam fc walichukulia poa sana CAF champions league mapema tu wamerudi nyumbani, ikiwapendeza sisi Simba watupe Feisal na sillah kwakuwa hata kwenye ligi msimu huu watashika nafasi ya tatu tunashida na hao watu wawili tu kutoka kwao. Nawapa pole wanarudi kinyonge sana
Back
Top Bottom