The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Ukweli ni kwamba kama kmc wameweza kujenga uwanja mzuri vile imagine viwanja kama ccm kirumba,sokoine, jamhuri n.k vingepewa halmashauri wakarabati soka na michezo mingine ingeshamiri namna gani!?
Yani ikitokea nimepewa nchi Hilo ndio jambo la kwanza la kufanya
Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe.
Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level. Kuna kundi la wazazi wavivu, sizitaki mbichi hizi na wazembe wa majukumu hasa wakiongozwa na chairman...
Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi ambazo tunauziwa kwa Gharama Kubwa hapa Uganda bado ni Feki pia.
Haya Mangwena ( Wabobezi ) wa Uchumi...
Nimejikuta najiuliza tu swali hivi mbwa wa huko ushuani kama njiro,capripoint,osterbay nao wanabweka sana kama wa huku kwetu uswahilini maana huko ushuani nasikia wana majina eti mara german shephard...na wa huko wanashinda indoor well fed,wanaratiba ya kuonana na vet,lakini pia hawapati kadhia...
Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma.
Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
Kumbuka Haji Manara ndio amekusaidia kuifanya yanga iwe na mafanikio haya yanayoonekana leo, wengi wanaweza wasijue lakini amekusaidia sana kujua mengi yanayohusu Simba, Eng Hersi wewe ni msomi na mtu makini sana, unajua sana ku set strategies, I love it, lakini kuondoka kwa Manara pale Simba na...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Zanzibar. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya hapa Kizimkazi. Inasikitisha sana.
Tangu Zanzibar iungane na Tanganyika, waZanzibar hawajawahi...
Hii ni talent nyingine iliyopo Tanzania. Tuisupport kwa hali na mali. Huu ni mfano tu wa talents nyingi zinazopatikana katika nchi yetu.
All the best.
Nionyeshe Njia
https://youtu.be/3mbpuIq7Nx0?si=nPosM5gXcZUXkAnZ
Sijui Kuhusu Kesho
https://youtu.be/eLEB5_q74lc?si=IQsKFOW0uJWNt6zo
Nina rafiki ambaye ni mpenda sifa mimi mtu mwenye sifa siwezani nae naweza kaa nae mnapiga story za kawaida tu ila ataanza jisifia hapo mara yeye hivi mara vile ni kero for sure
Mimi sipendi kukaa na watu wengi nikikaa watu wasizid 4 wakizid nasepa ila huyu jamaa mswahili anaweza akaja getho...
"Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
Siyo wote ila kuna baadhi ya wazazi\walezi wanaishi vizuri na watoto ambao siyo wao kiasi kwamba usipoambiwa siyo wazazi wao huwezi kamwe kujua.
Nimewahi kushuhudia kisa cha mtoto wa yatima katika familia fulani, yeye alifiwa na wazazi wake wote wawili hivyo ikabidi achukuliwe na ndugu wa...
Kwa mazingira yetu yalivyo ni vitu gani vya kunoga ambavyo havimalizi hela yaani cost yake almost equal to zero.
1.kuogelea bahari ya hindi
2.kufuga bata lengo uwe unakula pilau na bata
3.gongo+mnazi (tembo)
4.x +punyeto
5.download movies kwenye wi-fi
6.audiomack
7.jamiiforum
8.mke mrembo...
juzi ilikuwa birthday yangu sikuwa na hela yoyote sikwenda beach wala photoshoot.kazi ikaanza jana hela sijui zimetokea wapi kile kimya kikaondoka jana watu nikashuhudia watu wakilewa na kufanya ngono..
Makundi niliyoona wamefurahi sana jana ni wakina mama sijui wamevunja vicoba pamoja na watu...
"watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu"
Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja kutoka moja ya nchi zilizoendelea na katika maongezi aliendelea kueleza yafuatayo.
Mtazamo wa maendeleo...
Wiki iliyopita kuna jamaa kapatwa na kamsala kadogo. Sasa Mimi nikawa namfariji, nikamweka karibu kuliko siku za awali kabla ya shida.
Jamaa akaniita nimsindikize alipopaki gari yake akafungua mlango akatoa shekeli akanipa.
Kumbe machawa ndo wanapata shida kiasi hichi daaahh 😭😭😭.
Muda wote...
Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA
Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
chama
elimu
giza
haki ya kukosoa
katiba
kiboko
kukosoa serikali
kwani
macho
maradhi
sana
serikali za mitaa
ukweli
umuhimu wa kutii katiba
uoga
uongozi
viongozi wa serikali
vitendo vya rushwa
wabinafsi
wakati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.