sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani wako nyuma ya hizi ID mpya hapa JF maana zinapost non-sense za kiwango cha juu sana

    Kila siku kuna ingizo jipya Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy NB : Jf is threat to the throne
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kibarua kigumu Sana Kwa Askari na Maafisa wa vyombo vya Ulinzi na salama

    Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani. Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama...
  3. JamiiForums Tanzania kuna wabunge wanashangaza sana ana kwambia tumalize Gen z ndio kina sababisha uvunjifu wa amani.Hivi ana elewa ilo neno maana mtoto raisi yupo

    Bungeni kuna vituko sana yani ni vilaza wa kambare matopeni. Unaposema Gen Z ni kuingamiza hata uwelewi kuna mtoto wa raisi wako na mwanao. Ulijua ni chama kipya.
  4. L

    JamiiForums Tanzania IGP Mstaafu Simoni Sirro: Tunajisahau Sana Tukiwa Serikalini

    Ndugu zangu Watanzania, Soma Hapa👉Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema baadhi ya Viongozi wanapokuwa Serikalini hujikuta wakijisahau na kufikia hatua ya kujiona kuwa wao ndio kila kitu. Sirro ametoa kauli hiyo leo Juni 26, 2026 wakati wa kumuaga aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa...
  5. JamiiForums Tanzania Malipo ni hapa hapa duniani;Ogopa sana mtu ambae ukimdhulumu au kumtendea ubaya anakaa kimya na kupotezea.

    Tuishi maisha ya amani na furaha bila kuwakwaza wenzetu,kuwafitini,kuwasemea uogo... nk
  6. JamiiForums Tanzania Boss wa mke wangu ana moyo wa utu sana

    Leo niliitikia wito wakwenda ofisini kwa mke wangu kuonana na boss wake kwaajili ya mazungumzo! Nimefika tumezungumza mambo mengi sana Kubwa zaidi boss wake kasema nimruhusu mke wangu ampangie nyumba karibu na kazini ili awe anapata muda wakupumzika mapema nakufanya kazi zaidi maana ilikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Majanga ya asili yamekuwa mengi sana 2026, hadi naogopa

    Mvua zilizopitiliza, Radi kali, earthquakes za kutosha na ni kubwa sana, kama haitoshi, wataalam wanasema El nino inakuja ambayo ni kubwa sana na haijawahi tokea tangu miaka ya 18s. Nadhan kuna jambo kubwa zaidi tutalishuhudia huu mwaka, watakaopita salam, Good on them, watakao athirika...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiona unaihangaikia sana ujue siyo ya kwako mwenye nayo haiombi

    Shikamoo wakuu kama kichwa cha habari hapo juu. Ukiona mke wako anakunyima unyumba na hana time na wewe ujue hana hisia na wewe. Mwanamke anayekupenda lazima akumiss na hasiti kukuomba akiwa na ugwadu bila hata kutumia nguvu. Maana hisia za mwanamke zipo juu kuliko za wanaume.
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Taifa Lingine Duniani Linalojua Sana Maisha ya Mastaa Kama Tanzania?

    Hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo ni rahisi kuwa maarufu kama Tanzania maana kwa uchunguzi wangu nadhani tanzania inaweza kuwa Top ya nchi ambazo wananchi wake wana feed taarifa nyingi sana kuhusu maisha binafsi ya watu maarufu. Mtu hajaamka bado yupo kitandani alfajiri tayari anajua...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndo kete ya Mwisho na hatari zaidi ya CCM kupambana na maandamo tukivuka tumeshinda japo tutaumia sana

    Mara.zote.watawala wakiishiwa nguvu hizi ndo mbinu wanazoweza kuzitumia maana kuua siyo suluhisho. 1. Divide them and rule.. 2. Fake Propaganda and illusions.. 3. If you can't convince them, confuse them rejea history ya ujenzi wa mnara wa babel (Mwz 11, 1-9) 4. Let them fight each other...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa sio kazi shida mahari. Mnazo tupimia vijana nyie wazazi muwage. Mnafikiria

    Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka. Mnatufanya tuendelee kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kikwete "2025 hakuna wa kuchukua fomu ya urais kumpinga Samia, labda mambo yaharibike sana"

    Natafakari sana kauli hii ilimaanisha nini? Uzi tayari
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli za Daladala Arusha: Tsh. 1,000 badala ya Tsh. 700?

    Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha. Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700. Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei. Je hii ni sahihi? Tunaziomba mamlaka zilitazame hili jambo limekuwa mwiba mchungu kwa wanachi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Alipouawa Mchina, wauaji walikamatwa haraka sana, wapopigwa WATANZANIA na Wachina, je kuna Mchina amekamatwa?

    Waliopigwa na Mchina, wamelazwa hosptalini, ili aliyewazuru akamatwe, imewabidi majeruhi kujirekodi huku wakiwa wanalia ndo mpigaji wa kichina alipokamatwa na polisi Hii imekaaje? Mbona yule mchina ALIYEUaWA, tuliwakamata wale Masai feki haraka?
  15. JamiiForums Tanzania Hawa the Africa wilddogs ni hatari sana wanashambulia in park yan 10mins buffalo yuko chini.

  16. R

    JamiiForums Tanzania Professor Kitila: Pato la Taifa ni kwa kila mtu, ikijumuisha yule aliye juu sana hadi ambaye hana chochote

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ametoa ufafanuzi wa kina leo Juni 23, 2026 bungeni kuhusu dhana ya Pato la Taifa (GDP) na Pato la Kila Mtu (GDP per capita), kufuatia kile alichokiita kuwa ni mkanganyiko mkubwa na mijadala inayoendelea kwenye jamii na mitandao ya kijamii...
  17. JamiiForums Tanzania Sugu ukikubali kudhulumiwa haki ya ubunifu wa wazo lako kimuziki safari hii nitakushangaa sana. Bado nasubiri response yako kuhusu hili tamasha.

    Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa vijana kwa njia ya tamasha la muziki. Sugu alienda hadi Marekani zaidi ya mara moja katika harakati za...
  18. JamiiForums Tanzania Usaliti wa mapenzi unaumiza sana 🥹

    Usaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu Sikuwahi kupitia kabla msongo wa mawazo niliokuwa nao hivi sasa eeh mwenyezi mungu ninusuru kwa haya ninayopitia...
  19. JamiiForums Tanzania Natamani sana kumiliki dhahabu

    Wakuu, salamu. Katika mali ambazo natamani sana kumiliki basi ni Dhahabu. Tayari nina viwanja, sasa nataka kumiliki Dhahabu. Naombeni mwongozo.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…