sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Pasta Joshua

    JamiiForums Tanzania Hii video inasikitisha sana

    Imagine na hili joto hapa daslam,unajikuta kwenye situation hii🧟‍♀️ Kuzaliwa Africa ni laana.
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

    Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya. Tukio...
  5. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Takataka zimekuwa kero kubwa sana Mbeya Mjini kipindi hiki cha mvua

    Mpaka mjirekebishe ndiyo nitaacha kuwasakama. Halmashauri ya Jiji la Mbeya kama inawezekena badilisheni mfumo wa kukusanya taka au tafuteni kampuni nyingine ya kukusanya taka. Hawa JKT wamefeli kabisa, kwanza magari yao mengi ni mabovu sana tena sana. Ukipita Kwenye mitaa mingi ya Jiji hili...
  6. Tman900

    JamiiForums Tanzania JWTZ wanapendwa sana na raia

    Kwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania. Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ. Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao. Leo JWTZ walipofika Ktk Ghorofa lilianguka Raia wote wameonyesha wazi wazi Furaha na Imani yao wazi wazi kuwa Jeshi ni Imara...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana nilipokutana na hii kitu kwenye website ya Muhimbili National Hospital

    Muhimbili ambako maiti zinazuiwa kwasababu aliyekufa alipokuwa mgonjwa hajamalizia malipo. Muhimbili ambako mgonjwa anakaa wiki nzima hajapata huduma kwakuwa hajalipia pesa ya kipimo hivyo madaktari hawawezi kumuhudumia mpaka apimwe . Na vipimo hajalipia bado. Muhimbili ambako huduma bei yake...
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀

    Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀 Mpe kampani huko jikoni mkipiga stori za hapa na pale. Wanawake wanapenda sana ila sisi wanaume huwa tunaona kukaa jikoni na mkeo ni ugai gai ila ni moja ya kitu bora sana kwao
  9. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Watz baadhi mnajiabisha sana

    Watz baadhi mnajiabisha kufwata fwata wasanii matakoni ni uboya ulivuka mipaka unaweza ukawa sehemu umetulia akapita msanii unashangaa watu wanamfwata mfwata kila anakoenda kubembeleza picha wengine ndio kumsifia msanii mpaka anajiona Mungu mtu
  10. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mpole na mtulivu sana

    Niliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mwanafunzi mmoja—mpole, mkimya, hana makuu, hanywi pombe, haendi out, ni mtulivu sijapata kuona. Ni Mkristo, lakini huvaa ushungi kila siku, na darasani alikuwa wastani tu. Alimaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea. Baada ya...
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako.

    Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka kwenye hayo mahusiano nilikaa mwaka mzima bila kujiingiza kwenye mahusiano sasa kuna kaka...
  12. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Baba yangu alipomuacha mama akatafuta mwanamke mwingine nilimchukia sana wakati ule,hivi Sasa ndiyo naelewa

    Nisamehe sana baba ,wakati ule nilikuwa bado mdogo sikujuwa jambo lolote! Wakati tunakuwa Mimi na ndugu zangu tulikuta mzee (baba) ameacha na mama,binafsi kwakuwa nilikuwa Nina shinda na mama yangu mara zote,alikuwa akiniambia mambo mengi ya ovyo kuhusu Baba yangu Baba yangu yeye hajawahi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Itakuwa vigumu sana kupata tena kocha wa kuifunga Simba goli 5

    Miaka kadhaa takwimu zinaonyesha kuwa Simba imekuwa ikiinyanyasa sana Yanga kwa kuifunga idadi kubwa ya magoli hadi goli tano. Yanga ilikuwa ikishinda unakuta ni kagoli kamoja tu au viwili. Yanga ikampata Gamondi aliyekuja na kufanikiwa kuifunga Simba goli tano(5). Nadhani kikosi kazi cha...
  14. Zegota

    JamiiForums Tanzania Hizi hospital za serikali omba Mungu sana usipelekwe huku ukiwa serious. Unaweza kufa na wahudumu wa afya Wala hawajali

    Niko hospital ya wilaya ya Butiama mda huu. Mama yake na rafiki yangu amepata ajali ya pikipiki, mguu kuanzia kwenye mapaja mpaka kikanyagio haufai, nyama hakuna mifupa Iko nje. Picha linaanza anafikishwa hospitali anawekwa pembeni mnaambiwa daktari hayupo, hamna huduma yoyote na ukimuangalia...
  15. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana sababu za Yanga kuachana Gamondi

    ...Maisha ya Makocha wa Football kwenye Timu huwa hayategemei mafanikio uliyowapa huko nyuma bali mwenendo wa timu kwa wakati huo. Maisha ya Makocha wa Klabu za Simba na Yanga huwa hayategemei rekodi uliyoiweka kwenye klabu bali kelele za Mashabiki na maamuzi ya viongozi kwa wakati huo. Na hii...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napendekeza waanze haraka sana hili Zoezi na Mwamposa na Mwacha kwani nina uhakika nao wana Changamoto hii tajwa na Padri Sanga wa SAUT Mwanza

    Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili kabla ya kuruhusiwa kuhubiri. Ushauri huo umetolewa leo Alhamisi Novemba 14, 2024 kwenye kongamano la kiukemene kujadili imani moja...
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Niko Uganda, timu yao imefuzu AFCON ila sijasikia Mseveni akisifiwa wala kuongelewa

    Uganda wamekuwa wa kwanza kwa EAC kufuzu Afcon Ila cha kunishangaza huku Uganda sioni Mseveni akitajwa polote pale. Na raia wako kimya kana kwamba hakuna kilicho tokea. Nikajisemea sasa ingekuwa kule kwetu, nahisi mida hii tusingelala kungekuwa kuna Jam kwenye TV na radio za kuabudu na kusifia...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kilichomtoa Gamondi pale Yanga ni kutoamini katika Uchawi na Majini, Inahuzunisha sana

    Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
  19. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ukataji tiketi wa SGR upo vizuri sana Mkurugenzi Kadogosa apewe maua yake

    Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana naamini hawezi kuwa mbongo pia natamani nijue wameipata kwa bei gani(Thamani anayejua atudokeze)...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nchi imekuwa tamu sana. Mzunguko wa pesa mzuri mno na pesa iko mtaani tofauti na miaka mitano iliyopita. Hivi mama ulikuwa wapi?

    Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors. Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super...
Back
Top Bottom