sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuungama dhambi mbele ya Padre, unaripotiwa polisi?

    Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version) Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimefika mkoa wa Katavi nimekuta idadi ndogo sana ya wazee

    Nimejiuliza nikwamba life span ni ndogo. Au wazee walihama au wapo wapii? Wataalumu wa demographics nipe
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu nina uhitaji mkubwa sana wa kazi angalau 300K tu kwa mwezi

    Habari zenu wakuu. Nipo katika nyakati ambazo hazielezeki wala kusimulika , nimekuwa nafatilia kazi huu mwezi sasa wa tatu. Mpaka nikasema ngoja nijaribu kutembelea na JF the home of great thinkers kuona Kama kuna MTU atakuwa na opportunity anipatie ili niwe busy and productive. Sifa zangu ni...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume mpeni maua Kamishna ACP Debora Magilimba

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, mkoani Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Magiligimba, amewataka wanaume wanaonyimwa unyumba kuripoti katika madawati ya jinsia yaliyopo katika vituo vya polisi kwani huo ni ukatili. ACP Debora ametoa wito huo Desemba 1,2021 wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Vita vya Syria vina mchanganyiko sana, ila dikteta Assad ni uovu wenye afadhali (lesser evil) kuliko waasi Wanajihadi

    Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria zitakuwa njema chini ya utawala wao mpya, makundi yanayompinga Assad ukiondoa Wakurdi nusu yake ni...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli jezi ya timu fulani ikivaliwa sana ni kipimo cha ubora?

    Siku hizi mtaani tunashuhudia watu wakivaa jezi za timu mbalimbali wanazozipenda na wengine huvaa zile zinazowavutia hata kama hawaipendi au kuifahamu klbau yenyewe. Sina hakika kama wengi wanaifahamu klabu ya Palmeiras ya kule Brazili kwa akina Neymar Jr na Ronaldinho Gaucho, lakini Jezi yake...
  7. JamiiForums Tanzania Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

    Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao. 1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police. 2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja. 3. Police haraka wametoa tamko...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania bara na visiwani ombeni juu ya uchaguzi 2025

    Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo. Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala. Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema...
  9. JamiiForums Tanzania Nyimbo za Boaz Danken zinanibariki sana

    Huyu kijana Boaz Danken anaimba nyimbo za injili za kusifu na kuabudu ni kama kwa sasa Mungu amempa kijiti kuongoza waimbaji wengine wa nyimbo za injili hapa nchini. Mimi mkristo nasikiliza nyimbo nyingi kila siku zinanibariki ila kwa sasa huyu kijana Boaz Danken nimekuja kugundua nyimbo zake...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana. Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
  11. JamiiForums Tanzania Kibabage amegoma kubadilika, mbadala wake huyu anatufaa sana aletwe..

    I salute you kinsmen.. Huyu bwana mdogo mwanzo tulikuwa na matarajio naye makubwa sana Lakini siku zinavyozidi kwenda kibabage amegoma kuwa modern full back .. Yaani anacheza hovyo sana sana, kwanzia mechi mbili zilizopita amegoma kubadilika. Yaani akifika kwenye box tu ndiyo utaona ujinga...
  12. JamiiForums Tanzania Kile ambacho Israel inakifanya Gaza inaumiza sana. Hezbollah na Hamas mnatizama tu?

    Toka mwanzo nlisema hawa Israel suala la watu wao kutekwa walikuwa wanatafuta tu sababu. Now wamezidi imega Gaza. Wame advance kuchukua eneo kubwa zaidi Gaza. Wamejiongezea maeneo zaidi. Hawa jamaa waliitaka hii vita kwa hima fahima. Hii Vita ilianzishwa kiujanja ujanja sana. Israel walitaka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Familia zetu za Kiafrika zina matatizo gani, kwanini zina ubinafsi sana?

    Familia zetu, kila mmoja anatakiwa aanzie mwanzo. Yaani hakuna mwendelezo wa maisha ya uchumi na biashara. Eti wanakwambia kila mmoja ajipambanie... Kama kuna mali wazee waliacha basi watu watataka ziuzwe kila mtu afe na chake, ili wajukuu nao wakianza maisha waanze kuteseka upyaaaa😃😃😃 ukoo...
  14. JamiiForums Tanzania Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

    Mwamba na hoja asikilizwe.
  15. JamiiForums Tanzania Kua handsome ni kazi ngumu sana, nawapangawisha sana mashemeji zangu

    Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu. Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

    Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu. Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T watakuja kupata kiongozi wanayemtaka kwa njia ya sanduku la kura. Wameamua kabisa...
  17. JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu anahitaji ushauri kuhusu biashara ya mbao

    Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana. Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa. Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi za uwepo wa Makanisa ya kitapeli na vile yanawatapeli Watanzania inatisha sana

    Ndugu zangu watanzania leo nakuja na habari yakutisha sana naandika hii habari kwa mwenye macho fungua macho ila upo trapped. Awali ya yote kabla yakuandika kile nataka kukiandika nataka kuseme Yupo Mungu wa kweli na Yesu anatawala sasa na hata milele. Amen Kile kinatokea ktk Tanzania kwa sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Nilijikuta napendwa sana kisa kusema ahsante kila ninunuapo bidhaa kwake

    Wakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane. Niliwahi pendwa sana na muuza duka jinsia ya kike asee kisa na mkasa nilikuwa na tabia ya kusema ahsante sana kila anapo nihudumia. Ni umri wa makamo kiasi kwamba anaweza kuwa mama bila shaka kabisa. Huyu maza alinielewa sana akaona isiwe...
  20. JamiiForums Tanzania Mbona leo kuna foleni sana?

    Leo Kuna tatizo gani mjini, Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…