sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. UREMBO, UTANASHATI NA USAFI WA KINA KATIKA MAPENZI IWE NI LAZIMA SIO KWA NJE TU, BALI NI MUHIMU SANA KWA NDANI PIA, NA INAPENDEZA ZAIDI.

    Marashi ya kujipulizia sio muhimu sana, na yanazidisha kero na usumbufu yakichanganyika na uchafu mkiwa katika faragha. Kujisafisha vizuri zaidi kwenye mikunjo ni muhimu zaidi na inapendeza zaidi. Mpenzi akichojoa mavazi yake, marashi husalia kwenye nguo zake, akiwa yeye sasa kama alivyozaliwa...
  2. Wanaume wa kiafrika ni dhaifu sana mbele ya wanawake.

    Wanaume wa kiafrika ni dhaifu Sana mbele za wanawake. Kupitia udhaifu huu wameharibu Kazi zao zilizokuwa zinawasaidia kuendesha maisha na kuwapa heshima. Udhaifu huu umewafanya wameharibu ndoa zao zilizofungwa Kwa gharama kubwa ya pesa na sala na mizimu. Pia kupitia udhaifu huu umesababisha...
  3. Hiki kizazi mnaharibu sana Kiswahili "KUHEMEA" ndio maana yake nini?

    Yaani nakutana na mfanyakazi wangu mmoja leo namuuliza ulikuwa wapi time niliyokuwa nakutafuta ananiambia boss nilitoka kuhemea nikamuuliza kuhemea ndio maana yake nini maana tayari kichwani nilishawaza mambo ya hovyo akaniambia kuhemea ni kwenda kununua mahitaji ya nyumbani yaani sikumuelewa...
  4. Hivi kwa nini wanaume wanaotoka hii mikoa ni wambea sana?

    Wakuu Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya,nimegundua wanaume kutoka hii mikoa ni wambea sana hasa maofisini. 1.Dar es salaam 2.Pwani 3.Morogoro 4.Iringa 5.Mbeya 6.Mtwara 7.Lindi 8.Tanga 9.Singida 10.Tabora
  5. Jamaa kimya sana toka Aoe, yupo wapi?

    Ben!
  6. Mtoto analia sana na haongezeki uzito

    Habari za muda Wana jf Poleni na hongereni kwa pilika za kutafuta mkate Nina kuja kwenu nikiwa na changamoto ya mtoto Nina mtoto WA kike ana miezi 9 Tangu azaliwe analia muda wote hata akinyonya bado analia tu muda mwingine anakuwa halii Ila anatoa sauti ya malalamiko hanyamazi kabisa...
  7. B

    Ujio wa SGR umekuwa nafuu sana kwa wasafiri wa Dar,Mwanza, Arusha, Singida na Iringa

    Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa hii kwa sasa pia abiria wanaoenda DAR IRINGA mtu anapanda zake SGR mpaka DOM then anakwea bus la...
  8. Ukioa mwanamke amekuzidi IQ utapata tabu sana

    Changamoto yao kubwa ni ujuaji mwingi hutoeza kumchit asijue, udanganyifu wowote ule unagonga mwamba Yani ni full mabishano. Ukiwa na Mali utapigwa bila kujua.
  9. Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

    Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu, Albert Einstein-Relativity(E=mc^2) Neils Bohr- Nuclear, Oppenheimer-bomu la atomic, Edward Teller-bomu la Hydrogen Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa, Boris...
  10. Una mtazamo gani juu ya mtu ambaye anataka kuwaridhisha sana wengine ili apendwa na watu wasimtenge?

    Jamaa poa sana ni mtu ambaye anataka kuwaridhisha sana wengine ili apate kupendwa na watu wasimtenge, lakini je ni sahihi kwa mwanaume kuwa "mtu poa sana"? Leo acha nikupe kisa cha 'JJ' jamaa poa sana na mke wake 'HH' JJ alitoa kipande cha karatasi mfukoni mwake na akaanza kukifungua...
  11. Hongera sana Dr. Rose Muhando

    Comment ziwe fupi fupi! 😃
  12. D

    Huyu ndiye Sultan wa Mwisho wa Zanzibar

    Huyu ndo jamshid bin Abdullah the last Zanzibar sultan na mke wake. Sula tu unajua huyu damu yetu kabisa 😂. Mke wake ndo kabisa . Mtoto wa tanga huyu. Any way he is a citizen of United Kingdom and currently retired in oman since 2020.
  13. Watu wa mikopo ni wasumbufu sana

    Habari za asubuhi wana jukwaa. Niko kwenye harakati zangu za utafutaji wa mkate, ghafla inaingia meseji ambayo iko hapo kwenye picha niliyo ambatanisha kwenye hii post. Ikanilazimu nipige simu kuwauliza ni wapi wamepata namba zangu ila majibu yao ni kuwa namba yangu wameipata kwa kuwa mimi ni...
  14. Walituambia Umeme wa maji umepitwa na wakati, huku wao wanajenga na kupanua mabwawa yao. Wazungu wasanii sana

    Nimekumbuka mwaka 2018 jinsi magufuli alivyokuwa anapingwa kujenga bwawa la umeme. Ila wazungu hao hao wa marekani na canada wao wanajenga mabwawa mapya na kuboresha mabwawa ya zamani kwenye nchi zao. Kama umeme wa maji umepitwa na wakati, kwa nini wao wanajenga mabwawa ya umeme zama hizi
  15. Wajukuu zangu, umri umeenda, ninawahusia haya

    Wajukuu zangu, umri umeenda, ninawahusia haya! 1. Hakuna mtu anayeheshimu ragi hadi viatu vyake vichafuke, basi kaa kwenye kona yako. Usiombe watu wajue thamani yako, muda ukifika, hakuna atakayewaambia watafute. 2. Usiwe upatikanaji sana kwa watu maana longtime no see ni bora kuliko...
  16. M

    Je kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidika sana kwenye mahusiano ama ndoa ?

    naomba mnisaidie kujibu ili swali maana watafiti hewa wamenichanganya na mchoro wao huu chini
  17. Hezbolloh hawaongei sana wao ni vitendo tu

    Hizibollah hawana muda wa kuimba taarabu kwenye media kama Israel wao jukumu lao ni kuwachoma moto wanamgambo wa Israel pamoja na vifaa vyao na kuhakikisha wanabaki majivu.🔥 ⚡️Wreckage of an Israeli Humvee military vehicle after it was hit by Iranian-made Almas-3 special guided missile launched...
  18. INAUZWA Kuna Heavy duty balance scale tonnes 80 used na tonnes 60 new karibu sana

    Heavy Duty Scale Balance 1. 80 Tonnes (Used) - Tsh 76.3M 2. 60 Tonnes (New) - Tsh 81.75M Karibu
  19. C

    KERO Uwanja wa Sokoine Mbeya hauna msimamizi, mbona mchafu sana?

    Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya. Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu za pembezoni mwa pitch na karibia na majukwaa.Manyasi yameota hovyo hovyo hata yakikatwa huwa...
  20. S

    Diarra: Niliuwazia sana ushindi hii mechi

    Diarra alifika DSM masaa 3 kabla ya mechi ya Derby "Rais alinitengenezea mazingira mazuri ya usafiri, sikuchoka na nilipata tiketi ya Business Class Nilivyotua Airport alituma mtu anifuate ili niwahi moja kwa moja uwanjani, Kama kuna siku niliuwazia ushindi basi ni siku ile"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…