sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Goli la Mukwala ni goli Bora Sana

    Goli Bora huwa na mambo yafuatayo. 1. Umuhimu wa goli 2. Limefungwaje 3. Juhudi na weledi wa mfungaji 4. Ubora na defensi ya waliofungwa. Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala kafunga goli bora Sana.
  2. Siku hizi maadili mfanyie mama yako tu maana hata wenye kujiheshimu wanategemea promo za watu wenye maadili mabovu. Inasikitisha sana ila hakuna jinsi

    Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣 Anyway maisha yaendelee.
  3. Marefa wanawalea sana Khalid Aucho na Mudathiri yahya mechi ya leo haki itendeke!

    Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka, Naiona tabia hiyo ikizidi...
  4. Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

    Mashujaa VS Simba SC | NBC Premier League Uwanja wa Lake Tanganyika Tarehe 1 November, 2024
  5. Kamanda Mkubwa wa Hezbollah, Haj Abdullah Muzhim ameuawa na Mayahudi. Imeniumiza sana

    Mayahudi hawajaacha kuua maarabu. Kamanda mwingine Mkubwa wa Hezbollah leo hii amewahi kwenda ku enjoy. Apewe haki yake asipunjwe hata kidogo.
  6. Kwanini kuweka video Mtandao wa X (Twitter) kunachukua muda mrefu hata kama ni ndogo?

    Wakuu, Kwanini kuweka video Mtandao wa X (Twitter) kunachukua muda mrefu hata kama ni ndogo?
  7. Wasomi wa Lugha ni Wana tabia mbaya sana

    Msomi mmoja amewahi kusema Lugha ya kiswahili inamisamiati michache hivyo inakuwa ngumu kutafsiri vitabu vya Lugha zingine. Huu Nauita ni upumbafu kwa sababu lugha inakua na kubadilika kila wakati. Mabadiliko haya yanaweza kutokana na mambo mbalimbali kama vile maendeleo ya teknolojia...
  8. Wazee naombeni msaada, mwili wangu unatoa sana jasho tiba ni nini?

    Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
  9. K

    Sisi mashabiki wa klabu ya Yanga tumefurahi sana jana usiku

    Hongereni sana wachezaji wa Yanga kwa ushindi wa jana. Kweli sisi mashabiki wa Klabu tulifurahi sana. Ule usemi wa Yanga inapendelewa sasa waseme mengine. Wachezaji walicheza kama timu. Nkane, Kibabage, Job, Pacome, Chama na wengineo walitufurahisha. Msimu huu ndiyo utakuwa msimu wa historia...
  10. Vipi kuhusu ufanisi na uimara wa Nissan X-trail (Hybrid)

    Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
  11. M

    PreGE2025 LGE2024 Hongera sana Fr. Dk. Charles Kitima kwa kutoa elimu ya Uraia kwa waumini kuelekea uchaguzi

    Nakupongeza sana Fr. Kitima kwa kutoa Elimu ya Uraia kwa Waamini wako. Waamini wengi hawajihusishi na Siasa kwa kudhani kwamba ni dhambi, kumbe sivyo. Tunapoelekea kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi Mkuu mwakani, Elimu hii inapaswa kutolewa na viongozi wote wa Dini...
  12. Dennis Nkane atakuja kusumbua sana siku za usoni

    Miguel Gamond anasema Dennis Nkane anafaa kuwa beki wa pembeni ansye panda na kushuka na ameanza kumtrain kwenye hiyo position. Jana dogo kaupiga mwingi sana, yani anakuzuia + kupiga soka burudani. Ni kama vile Professor Pacome anakufunga na kukupiga chenga, kanzu na tobo pia. Natoa wito kwa...
  13. Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

    Ni kweli mtakatifu Ritha wa Kashia anasikiliziwa zaidi na Mungu au ni Placebo(matibabu ya kutuliza akili kwa kuidanganya) iliyozuka ghafla kwa Wakatoliki wengi wa bongo?
  14. Q

    Naumia sana wakuu

    Maisha tabu sana, kweli Mimi Leo mtoto wa kiume natembeza mbogamboga na nyanya mitaani, na degree yangu kweli aisee. Life is full of surprise.
  15. G

    Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

    Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya...
  16. Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

    Ni nyumba nzuri zinazoweza kujengwa popote pale, lakini zinapendeza zaidi zikijengwa katika mazingira pembeni mwa Miji bushes.
  17. U

    Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hezbollah Naim Qassem leo jumatano Oktoba 30 kutoa hutuba nzito sana kwa Dunia, ni mara ya kwanza tangu achaguliwe

    LATEST UPDATES: Newly appointed Hezbollah leader vows to continue Nasrallah’s war against Israel By Gianluca Pacchiani Follow Today, 4:00 pm In his first address after his appointment as new Hezbollah leader, Naim Qassem says he intends to continue the “work program” of his predecessor...
  18. PreGE2025 Askofu Bagonza: KKKT ina Mkuu wa Kanisa mmoja tu, Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja

    KKKT Ina MKUU MMOJA TU Naona KKKT imepamba moto kutokana na matamshi ya mmoja wa Maaskofu wake. Kwa kimbelembele nilicho nacho naomba umma wa watanzania uelewe yafuatayo: 1. KKKT ina Mkuu mmoja tu. Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja. 2. KKKT hakuna cheo kinaitwa “Mkuu...
  19. TCRA: Utapeli wa "Tuma kwa Namba Hii" umepungua sana nchini

    Akizungumza kupitia Power Breakfasta leo Oktoba 30, 2024, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma amesema "Kwenye utapeli kabla na baada ya zoezi la usajili wa laini za simu tofauti ipo kubwa sana. Ukiangalia ripoti ya Robo mwaka ya performance ya mawasiliano kwenye takwimu za mawasiliano...
  20. Hii Toyota FJ Cruiser ya 2011 imekaa kibabe sana.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…