sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wenye matatizo ya nguvu za kijinsia huwa wakali mno na wakati mwingine wanakua wanyonge na wenye mfadhaiko sana?

    Kwa mfano pakiwekwa mada au pakianzishwa mjadala unaohusu matatizo ya nguvu za kijinsia, udhaifu katika tendo la ndoa, matatizo ya afya ya uzazi, magonjwa ya zinaa, athari za punyeto na mambo mengine yanayofanana na haya, Mtu huyo anakua mkali sana au anajifanya mtakatifu mno na kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Mazoezi kwa mwanaume ni muhimu Sana kama unataka kumridhisha mwenza wako kwenye tendo!

    Nimeona nizungumzie hili wanaume wenzangu kama unahitaji mpenzi wako afurahie shughuli yako ya kitandani jitahidi kufanya mazoezi ili uwe mwepesi kuhakikisha unapumzi ya kutosha hivihvi jamani tutalaumiwa sana na tutapigiwa sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lema awe katibu CHADEMA? Mnachekesha sana

    Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi? Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake. Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
  4. JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi , Elimu yake form four na anajua kutumia computer vizuri sana.

    Habari ya uzima. Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri. Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k Angependa alipwe 200-250K Sifa zake. Umri 24 Mchapaka Kazi Anafundishika. Mtu wa kujituma na kutoa...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi Ziwa Natron linavyoweza kuifanya Tanzania kuwa moja ya mataifa tajiri duniani

    Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali. Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi...
  6. JamiiForums Tanzania DR Congo imewanyonga Majambazi 102, Tanzania tunacheka na Panya Road, Wadudu na Magenge Mengine ya Wahalifu

    Serikali ya Congo imewaua wanaume wapatao 102 kwa njia ya kunyongwa wiki iliyopita, na wengine 70 wanatarajiwa kuuawa. Waziri wa sheria wa nchi hiyo alisema Jumapili katika taarifa kwa Shirika la Habari la Associated Press. Waziri alisema wanaume hao, wenye umri wa miaka 18 hadi 35, walikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwamba Watanzania hatuko busy sana au inakuwaje?, labda tuseme ni maendeleo ya Teknolojia kuliko nchi zingine

    Wandugu Habarini, Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja JamiiForums namalizia na Instagram. Kwa Utaratibu Wangu Huu, Leo Nimeona Nishee Na Hadhara Hapa Juu Ya Hili...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA inakuwa EXPOSED sana uchaguzi huu, Yajayo yanahuzunisha

    Ni rahisi sana KUIHUBIRI Demokrasia lakini ni ngumu sana kuiishi Kuna watu ndani ya CDM ni WAZURI sana wakiwa WANAONEWA kidemokrasia lakini ni wa HOVYO sana wanapotakiwa kui PRACTICE demokrasia Nahakika Malisa tunayemjua akikutana na Malisa aliyefanya press watashikana mashati Kibaya zaidi ni...
  9. JamiiForums Tanzania Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

    Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu? Amekuwa kama underground fulani hivi

    Mpo salama! Kama utafuatilia mikutano na mambo ya CHADEMA utagundua kuwa Sugu ushawishi wake umeshuka Sana. Yaani akiwepo sehemu ni kama hayupo hivi. Yaani huwezi kujua yupo au hayupo. Hakuna anayemzingatia Sana Wala Waandishi wa habari na wachukua kamera hawana habari naye. Na ukimwon labda...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndoto Mbana mbaya sana, Nimeota nakatwa kichwa yaani nachinjwa

    Jana usiku kabla ya saa kumi Yani saa tisa na dakika Nimeota nakatwa shingo kama kuku Tena damu kibao hii Ina maana Gani wataalamu
  12. JamiiForums Tanzania Mtani wangu Mkubwa na Kaka yangu Maxence Melo ana Undugu wowote na Mwanasiasa Boby Wine wa Uganda kwani wamefanana sana

    Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na yule 'Mjanja Mjanja' wa 'Kiimani' Tanganyika Packers Kawe. ANGALIZO Hili ni Jukwaa la CHATS and...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Lissu ukitufafanunulia kuhusu ushirika wako na Mbowe katika kumsafisha Lowassa utaeleweka sana

    Hellow Tanganyika!! Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili. Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka Ili urudishe Imani ya wananchi iliyoondoka baada ya ujio wa Lowwassa, mliotuambia kuwa ni fisadi...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania ni wasahaulifu sana, baada ya lori kupata ajali, watu wanachota mafuta

    Kuna ajali ya lori la mafuta imetokea hapa Mzambarauni , Morogoro. Kitu kilichonishangaza ni uwepo wa watu ambao wamejiandaa kabisa kwa kuchota mafuta wakati si miaka mingi naeneo hayo hayo palitokea vifo halaiki kutokana na moto August 2019.
  16. JamiiForums Tanzania Ninashauri Barabara ya Lami iwekwe kuelekea eneo lililojengwa shule hii! Ni aibu kubwa sana

    Picha nimeweka hapa!
  17. P

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwalimu wa English language., Shule IPO wilaya ya chemba mkoa wa dodoma (Kijijini sana) ila umeme na maji vipo. ..Pia shule ni ya serikali

    Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
  18. JamiiForums Tanzania Yanga SC walifanyie sana Kazi hili japo wameshajiaminisha kuwa Watamfunga MCA Jumamosi ijayo

    Ukiwa umecheza Mpira au unajua Kuuchambua Mpira au umesomea Ukocha basi nina uhakika wa 100% kuwa utanielewa GENTAMYCINE kwa hili ANGALIZO langu Tukuka kwa Yanga SC kuelekea Mechi yao muhimu na ya Kimaamuzi Jumamosi ijayo. Nawaomba mno Yanga SC hasa Kocha wao Mkuu na Benchi la Ufundi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana na bado ninalia sana kwa kifo cha Esther Mahawe. Huyu Mama ameniuma sanaa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika nimeumia sana, nimehuzunika sana,nimesikitika sana,nimelia sana na bado moyo wangu unabubujikwa na machozi ya huzuni na uchungu mkubwa sana kwa Kifo cha Mkuu wangu wa wilaya ya Mbozi Mheshimiwa Esther Mahawe ambaye ametangulia mbele za haki. Soma TANZIA -...
  20. JamiiForums Tanzania Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

    Natanguliza shukran zangu kwenu Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana Kikubwa tu tupendane Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo Pia na kwa wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…