sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana Samora Avenue polisi wanakamata watu kwa uzururaji

    Very sad, Polisi wanakamata watu hapa jirani na TRA Tanzania kwa kigezo cha uzurulaji. Hawa Polisi wanawakwida watu na kuwaingiza kwenye magari yao manne Toyota Land Cruiser yaliyopaki pembeni mwa barabara. Hii sio sawa kabisa, hamna ajira bado watu mnawaita wazuraji. Wapeni watu KAZI, wapeni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kina John wamefanikiwa sana kuingia kwenye Siasa na Serikali Tanzania, nini siri ya jina John?

    1. John Kijazi 2. John Magufuli 3. John Heche 4. John Mnyika 5.John Kaijage 6. John Kitwanga 7............. Aliyepata hasara ni John Babptist tu. Kama una akina john wengine wataje
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee Malawi hali yao kiuchumi ni mbaya sana

    Huu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku zinauzwa bei nafuu sana lakini mwananchi wa kawaida hawezi Bado kujipambania, tuwaombee hawa wenzetu...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

    Habari. Moja kwa moja kwenye mada Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa. Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote...
  5. JamiiForums Tanzania Jina gani la uwanja wa soka linakuvutia sana?

    Mimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid. Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano. Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
  6. JamiiForums Tanzania Timu za Mbeya mdebwedo sana

    Juzi Kengold kutoka Chunya Mbeya imepigwa goli sita kwa moja (6-1) na Yanga. Leo hadi kipindi cha mapumziko, Prison Tanzania kutoka Mbeya imeshakandwa tatu bila (3-0) na Simba. Hizi timu za Mbeya zimekuja ili zishuke Daraja. Timu za Mbeya ambazo zikishawahi kushuka Daraja ni pamoja na Tukuyu...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna mke wa mtu nilianza kama utani ila nimemkaribisha kwa siku moja nyumbani kwangu siku hiyo hiyo nimemtamkia ndo nikaanza nakumtafuna

    Nimeleta mada kwenu tajwa hapo juu. Katika harakati zangu za mizunguko ya hapa na pale , nimejikuta naanzisha mazoea na mke wa mtu ,mwisho wa siku nikamkaribisha kwangu kwa bahati nzuri akaniambia anakuja ile alivyokuja nikamtamkia nampenda ila alichonisihi akaomba iwe siri yangu mimi na yeye...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

    Hamna ukweli wowote kwamba Uingereza mnamo 2050 itakuwa nchi ya kislamu Hakuna ukweli wowote kwamba Ulaya na Marekani wanaugeukia Uislamu kwa wingi Wakristo wana hofu wakisikia hivyo Waislam wana kitengo cha propoganda cha kueneza dini yao. Katika Uislam kuna kitu kinaitwa Taqiya, yaani...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

    Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu. Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile...
  10. JamiiForums Tanzania Habari hii imenisikitisha sana

    Habari za kwenu Wana jamii.....!!! Katika pita pita kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na habari hii yakusikitisha ila kilichonisikitisha zaidi ni taarifa ya habari hii kutolewa maamuzi ya mwisho yaliyo niacha na maswali kadhaa 1. Ni kweli kijana huyu mwenye umri mdogo, mke na mtoto Mmoja...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa wasio oa, ukiendekeza sana wanawake utajikuta husaidii wazazi wako

    Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kula hela Yako ni wazazi wako hasa mama. Ila kama utaendekeza wanawake basi nguvu yote itaishia kwa wanawake.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, Wamakonde nao ni wachangamfu na wachakarikaji sana!!

    Huu ni uchunguzi wangu binafsi. Ni kabila kubwa kabisa kusini yote na hata maneno ya kimakonde utayakuta kwenye lugha zao bila wenyewe kujua kuwa ni maneno ya kimakonde. Mfano, kule Kilwa yule ndege mkubwa mweusi mwenye mdomo mwekundu (ndege Ngoma) wanamuita 'nditi'. Kumbe hilo neno ni la...
  13. JamiiForums Tanzania Wimbo huu una "nguvu" ya ajabu sana!

    Wimbo ufuatao una nguvu. Una nguvu inayoweza kubadili hali yako sasa hivi. Ni wimbo unaopaswa kuimbwa, kusikilizwa au kusomwa na kila mtu. Wimbo huu unakufaa wewe uliye na huzuni kwa sababu zifuatazo: Pesa zimeisha mfukoni mwako. Umeachwa na mke wako au mme wako. Unaumwa, umetibiwa, lakini...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kutumia simu kioo kimepasuka miaka miwili, kutembea kubana nauli, niliyaogopa mapenzi, n.k, Umasikini ulaaniwe

    Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k. Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili...
  15. JamiiForums Tanzania Imani hizi! Je, unajua kanisa linaitwa "Chanzo halisi?

    Leo baada ya kifurushi changu DStv kukata (mpira), nikashawishika kucheki hizi chanel za ndani, ile naweka star tv nakutana na kanisa linajiita "Chanzo halisi" Cha kushangaza wanatumia bibilia ile ile Wanaenda kuhiji kigoma, ndugu msomaji ni kigoma hii hii ya karibu na burundi😂😂 Na huyo...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna binadamu wanafanana sana.

    Hii picha ya Kalonzo Musyoka (aliyevaa suti), Naibu Rais mstaafu wa Kenya na waziri wa zamani katika wizara mbalimbali akimfariji mtoto wa rafiki yake wa muda mrefu ambaye ni baba yake aliyefariki imezua maneno sana huko Kenya.
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaziuza Nissan Xtrail kwa wingi sana?

    Ni jambo la ajabu sana ila tokea mwaka jana 2024 mwezi wa Disemba nimekuwa nikikutana na matangazo mengi ya watu wakiuza magari yao ila katika matangazo 10 basi kuna matangazo 8 ya mauzo ya gari aina ya Nissan Xtrail. Wapo wanaouza kwa sababu mbalimbali kama uhitaji wa pesa za matibabu, au...
  18. JamiiForums Tanzania Mwambieni tundu lissu siasa ni kumfarakanisha adui ili umnase kwenye mtego wako ,ccm ya sasa imeungana sana inahitajika mkakati wa kuwafarakanisha.

    Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume kama hujawahi kutamkiwa haya katikati/baada ya show jua kiwango chako bado

    Mambo vp wakuu, Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au kususiwa unyumba imekua too much.. inasikitisha sana. Kwa kweli hali za mahusiano ni mbaya sana, sio...
  20. JamiiForums Tanzania Kagame ameingia kibabe sana kwenye mkutano wa amani wa viongozi wa SADC&EAC hapa Dar!

    Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu kubwa sana na bashasha! Kwa body language yake na viongozi wengine wakisalimiana unaweza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…