Cable ya "One connect" kwenye Samsung TV

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,153
Wakuu Kwema?

Kuna TV funa nakaribia kuipata, mazingira yenyewe ni kua naipata TV tupu, sasa nimeicheki nimeiona kwenye Pots zake kuna One Connect, USB na Internet tu. Huu wa ONE CONNECT ndi utaunga device itakayokua na pots za HDMI, AV, etc.

Sasa nauliza hii device ya One Connect naweza kuipata wapi kwa hapa Bongo? Nahitaj hata used ikiwezekana, Nimemtuma mtu kwenye maduka ya Samsung wanasema hawauzi, na ebay kuna gharama kmias mpaka kuileta.
 
Hiyo tv ni samsung model gani chief?, kwamba bila hiyo cable hamna unachoweza connect?
 
Hiyo tv ni samsung model gani chief?, kwamba bila hiyo cable hamna unachoweza connect?
IMG_20210725_115948_6.jpg

Iko hivi yaan,
Model UA55RS9500
 
View attachment 1871066
Iko hivi yaan,
Model UA55RS9500
Nime google online ina port 4 za HDMI na pia ina composite kwa ajili ya port za Kizamani za av.

Cheki TV kama yako
image.php

Hapo kwenye plastic nyeusi sio kwamba wamechomoa saketi iliokuwa na port?

Na hii ndio one connect ni extension ya ports nayo toka huo waya wa one connect

Genuine-Samsung-One-Connect-Mini-Box-and-21m.jpg
 
Ahsante Mkuu, TV ni hiyo hiyo,
Ila hapo kwenye composite ya Kwanza juu hiyo ndefu pamezibwa, cheki picha pale juu, imebaki za chini hizo nne, Na hapo palipoandikwa HDMI ukibandua hiyo stika hakuna tundu lolote.

Hiki kidude ndo nakitafuta Mkuu
 
Jaribu kwenda Uhuru na msimbazi pale na picha kwenye mitumba,

Pia pitia wakala wao kama Jmall mjini.
 
Back
Top Bottom