Samsung 12 ni kiboko

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,485
41,889
Leo nilikuwa maeneo flani nikakutana na Rafiki angu akawa amenipa simu yake niandike namba yangu lakini nikasema sio mbaya niangalie property za simu ofcourse CAMERA yake ni kali sana...

Storage ya kutosha lakini kwenye betry ndo nilichoka yani simu ina 60% lakini inaandika 1DAY mpaka iishe kabisa to 0%.

Kiukweli kwa laki 4 tu kupata simu nzuri hivi ni kuonesha Samsung wapo vyema sana with low cost unapata kilicho bora.

Nitaitafuta soon.
 
ipo poa sana mkuu kwa sisi watu simple hela za kuchanga inatosha sana
Kabisa yaani hii kulingana na bei yake naona kama nimewapiga, ikiwa haina chaji kabisa basi itajaa kwa saa moja na dakika zake baada ya hapo natupa chaji naenda mizunguko yangu data masaa yote then nikirudi home nakuta ina asilimia 50 chaji. Nunua hiyo simu mkuu hutajutia wasikutishe wana propaganda.
 
Leo nilikuwa maeneo flani nikakutana na Rafiki angu akawa amenipa simu yake niandike namba yangu lakini nikasema sio mbaya niangalie property za simu ofcourse CAMERA yake ni kali sana...storage ya kutosha lakini kwenye betry ndo nilichoka yani simu ina 60% lakini inaandika 1DAY mpaka iishe kabisa to 0%. Kiukweli kwa laki 4 tu kupata simu nzuri hivi ni kuonesha Samsung wapo vyema sana with low cost unapata kilicho bora. Nitaitafuta soon.
Vipi display yake ni Full Size au natafuta my Next move
 
Low display quality (resolution),
Low processor,
Large battery (5000mAh).

Ni sawa kabisa kukaa na charge..
Pia kumbuka hio ni approximation, kutokana na matumizi MDA HUO.
Mkuu simu gani isiyo na madhaifu hayo inayofanana bei na simu tajwa
 
Back
Top Bottom