samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 2020 wajumbe wa CCM hawakuheshimiwa kwa maamuzi yao wakakaa kimya. Leo Samia ameiga ya 2020 kwanini imekuwa nongwa?

    Ndio maana Mimi kila siku nasema kuwa Watanzania wana mtindio wa ubongo. Mtu mwenye mtindio wa ubongo akili yake haiko straight. Mtu mwenye mtindio wa ubongo hapaswi kuaminika, anasahau hovyo. Brother wangu 2015 kwenye kura za maoni CCM kwa ngazi ya udiwani alikuwa nafasi ya tatu lakini kwa...
  2. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ikiwa kaka yake John Heche wa damu ni Mwanasheria anayefanya kazi na Rais Samia Suluhu Hassan , je mnafikiri kipi kinaendelea!?

    Watanzania mnatumika na mtaendelea kutumika Sana. Hawa wote sijui Heche , Sijui Lissu, Sijui Polepole , sijui Ccm . Ni kupoteza Muda . John Heche Kaka yake wa Damu ni Mwanasheria ambaye yupo Ikulu , hiyo Pekee inaonesha wazi kuwa hawa watu hawapo kwa ajili yenu.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mererani wamejazwa polisi wa kutoka Zanzibar, wengi wanaochimba Tanzanite wanatoka ZNZ. Madini hayawanufaishi watu wa Manyara. Samia atamaliza madini.

    Sasa hivi tumeona wimbi la wachimbaji wadogo na wa kati kutoka Zanzibar, siyo wachimbaji tu, hata polisi waliopo sasa hivi hapo Mererani ni wazanzibari, Samia na familia yake wanahusika kwa kiasi kikubwa na uchimbaji wa Tanzanite hapo Mererani, siyo hapo tu, hata huko kwingine kwenye migodi...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Polepole anazungumza usiku huu Rais Samia asigombee anatakiwa apumzike

    Ndugu Humphrey Polepole ameibuka usiku huu wa tarehe 24, agasti amefunguka wazi sababu za kwanini Rais Samia hatakiwi kugombea na kumtaka apumzike. Katika maelezo yake ameweka wazi namna ambavyo Rostam Azizi anazidi kujizolea utajiri mwingi kwa kutumia maliasili za nchi hasa migodi ambayo ya...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasemaje kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa Mtandao?

    Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje. Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa. Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa Wanamtandao? Tunawaona Tunawajua Hawajifichi. Atupe majibu maana...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Shehe Kundecha aishukuru serikali kuruhusu masomo ya dini shuleni itasaidia walimu bora wanaoweza kufundisha lugha ya kiarabuni

    “Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?" "Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu)...
  8. fact only

    JamiiForums Tanzania Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

    Habari Wakuu. Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania. Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia. Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii...
  9. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Maskini Dk. Ummy Mwalim amemkosea nini Samia

    Alianza kumuondoa katika Baraza la mawaziri. Licha ya kushika nafasi ya kwaza katika kura za wajumbe pale Tanga mjini jina lake limekatwa huku Halmashauri Kuu ya CCM NEC
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Kongamano la Amani, leo Agosti 24, 2025

    https://www.youtube.com/live/YJTPFaK3cVM?si=iZMZR7wQq3I2HsEA
  11. 888I

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Samia Arusha

    https://vm.tiktok.com/ZMAFMLYqh/
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa taarabu waja na Usiku wa taarabu Kuthamini Mchango wa Rais Samia

    Mkurugenzi wa Chocolate Princes na Muandaaji wa Matamasha ya Taarabu Ndg. Mboni Masimba Akiwa na Mfalme Muziki wa Taarabu Mzee Yusuph Wameongea na Vyombo vya Habari Hapa Ukumbi wa Serena Hoteli jijini Dar Es Salaam. Lengo Kubwa Hasa ilikua ni Kuwajulisha Juu ya Mkesha wa Taarabu, Watu Wote na...
  14. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli aliwahi kumfunga Mkurugenzi yoyote kwa ufisadi? Serikali ya Samia yamfunga miaka 22 Mkurugenzi kwa ufisadi

    Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa, Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio hukusanya ushahidi, kuandaa mashahidi, na kufungua kesi ni watu instrumental kwa mhalifu kufungwa au...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Amin nawaambieni, ikiwa Samia ataendelea kuwa na Wanamtandao na akashinda Uraisi, raisi wa Tanzania ajae baada ya Samia atakuwa Rizi One

    Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazio la uongozi wa Tanzania yanatisha sana! Kuna vurugu kubwa sana na mikakati ya kila aina. Wengi wamesikia juu ya Wanamtandao, na ni wachache sana wanajua nguvu na uwezo wa kundi hili katika kuendesha hii nchi yetu. Kwa sasa hawa jamaa ndio wanaamua kila kitu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwa watu makini, adui wa Chadema sio Samia na CCM, na wala adui wa CCM sio Lissu na Chadema; nyote mna adui mmoja - Wanamtandao!

    Kuna kitu kimoja wanamtandao wamefanikiwa sana kuchezea akili za watu wa CCM na Chadema. Wamewafanya wajione kuwa ni maadui wa kufikia hata kuuana. Sijui lini haya makundi mawili yatatambua kuwa yanakuwa playe dhidi ya mmoja na mwenzake. Na siku makundi mawili haya yakitambua hilo, basi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Watanzania wengi kufurahia Taifa Stars kufungwa na Morocco kinapasa kifikishe ujumbe muhimu sana kwa Samia na CCM

    Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN. Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna jambo kubwa sana linatotupata Watanzania, na hatua za haraka sana zinatakiwa kulirekebisha. Namsihi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka! Nuksi yake bado ipo

    Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka ! Nuksi yake bado ipo. Raisi Samia kupuuza na kusema kifo ni kifo mpaka leo hajarudi kama zamani
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameipandisha hadhi Halmashauri ya Bagamoyo kuwa mji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 𝐌𝐡𝐞. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Polepole amuache Samia naye atembelee V8. Kila mtu na wakati wake

    Sabato Njema! Polepole wakati anatembelea V8 alitamba sana tena kwa bahati mbaya kabisa alishindwa kujizuia akajirekodi na kujigamba na kuwaringishia Watanzania hawaijui V8. Sasa amuache Samia na wenzake watembelee mipira, V8. Kulia kupokezana. Kiburi sio mauungwana. Na kiburi ndioanguko leo...
Back
Top Bottom