samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Rais Samia amtumia salamu za rambirambi Malkia Elizabeth II kufuatia kifo cha mumewe Prince Phillip!

    Rais Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi malkia Elizabeth wa Uingereza kufuatia kifo cha mumewe Prince Phillip. Ikumbukwe Prince Phillip alifika Tanganyika mwaka 1961 wakati tunajipatia uhuru. Source BBC Dira ya Dunia
  2. Kwanini Dkt. Mpango ni mpango kamili?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika anathibitisha kwamba kauli yake kwamba nchi iko kwenye mikono salama na hakuna kitakachoharibika. Uteuzi wa Dk...
  3. Rais Samia kuwa makini! Kuna genge linakuandama ili uharibu

    Salaam mama, hongera kwa kuanza kazi vizuri na pole kwa yote utakayokuwa unakumbana nayo katika siku hizi za mwanzo. Mhe. Rais, naomba nikujuze yafuatayo: Kuna genge flani la waliokuwa wanufaika wa mfumo haramu limekupania na litatumia Media na Mitandao ya kijamii kukuandama ili upate aidha...
  4. Rais Samia tunaomba kaa mbali na wanafiki wanaokuzunguka, ni watu hatari sana

    By Daniel Mjema Mwanchi 10/04/2021 Kwanza nawasalimu kwa salaam ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Tende kwenye hoja, Kwa miaka mitano na ushee, tumeshuhudia kuibuka kwa kundi ambalo nasema ni la watu wanafiki, ambao husifia hata pale pasipostahili kusifia huku wakigeuza ukosoaji kuwa...
  5. Waraka Maalumu kwa Rais Samia Suluhu Hassan juu ya hujuma zinazofanywa na Watendaji wako NIDA

    WARAKA MAALUM KWA MH. SAMIA SULUHU RAIS WA TANZANIA JUU YA UTAPELI NAOFANYIWA NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA(NIDA Salaam kwako Mkuu wa Taifa la Tanzania, naitwa DON NALIMISON ni Mwanamuziki na Mjuvi wa Falsafa, malalamiko yangu nayafikisha Mbele ya Kiti chako Cha Ikulu ili niweze...
  6. F

    Uimara na udhaifu wa Mama Samia

    Ndugu zangu badala ya kutoa ushauri naomba mniruhusu nimhukumu Mama Samia kwa hotuba zake na teuzi zake japo ni mapema saana kufanya hivyo. Ameanza vizuri kwa ujumla lakini inabidi ajue mapema uimara wake na udhaifu wake: Uimara wake (strengths): 1. Alimtendea haki sana JPM wakati wa msiba...
  7. Rais Samia mteue Mwanamama Dr. Frannie Léautier kuwa mshauri wako au mpe nafasi yoyote kubwa

    Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Africaambako aliteuliwa tarehe 9 may 2016 Pia mekuwa MWENYEKITI wa Mkoba Private...
  8. Rais Samia Suluhu awasili Dar es Salaam akitokea Zanzibar

    Akiwa visiwani Zanzibar Samia alihudhuria swala ya kumswalia Hayati mzee Karume ambaye ni mpigania uhuru na mwasisi wa Taifa la Zanzibar. Mheshimiwa Rais Samia mara baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K Nyerere ameelekea Ikulu ndogo ya Magogoni iliyopo Dar es Salaam...
  9. Rais Samia Suluhu ataruhusu maandamo yoyote ya wanaharakati, vyama vya upinzani na hata chama chake?

    Hayati Magufuli alikomesha pasi na ajizi maandamo ya aina yoyote tofauti na mtangulizi wake Mzee JK. Hoja yake kubwa Hayati Magufuli kuhusu kuzuia maandamo ilikuwa ni muda wa kufanya kazi na haukuwa muda wa kuandamana. Aliweza. Ndipo kipindi ambacho kwa takribanI miaka mitano si wanavyuo...
  10. B

    Magumu yamkabiliyo Rais Samia katika awamu ya Sita

    Mabibi na mabwana ni wazi kuwa awamu ya sita imepokelewa vyema na wapenda haki wote. Hata hivyo ni wazi kuwa kwa waliokuwa na maslahi yao binafsi katika awamu ya tano, awamu ya sita imekuwa ni mwiba mchungu kweri kweri. Walipo wanatweta hawaamini kuwa hii ni awamu ya sita na bendera ziko...
  11. Ipo timu ya Pro CCM ndani ya JF isiyoyumbishwa na muda, Rais Samia chapa kazi

    Hii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini. Ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose. Timu hii itasimama na CCM katika hali zote. Timu hii hupewa majina mengi. Timu hii inasimamia uzalendo. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  12. Tutaona mwisho wenu ninyi timu kusifia sifia ya Rais Samia

    Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu. Haiwezekani Rais hana vision, msimamo na hajui afanye nini. Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni. Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana...
  13. Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

    Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari. Rais Samia amesema...
  14. Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

    Dkt. Hussein Mwinyi akiagana na viongozi wa Serikali wakati akielekea nchini Msumbiji kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC, kumuwakilisha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Hii ni itakuwa ni safari yake ya kwanza Dkt. Mwinyi tokea kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar. Huu ni mwanzo mzuri...
  15. Mzee Warioba, Mzee Kikwete na wazee wenye hekima na Busara itisheni kikao maalumu Cha Wazee wenye busara wa CCM pamoja na Samia

    Mzee Warioba wewe ndio ulikua kiongozi wa kuandika Katiba mpya, Mzee Kikwete wewe ndio uliguswa na kilio cha katiba mpya ndio ukaunda kamati. Wazee wenye busara Ni pamoja na Mzee Butiku,Mangula na wengine. Mama Samia wewe ndio Rais kwa Sasa. Nawaomba wazee nyinyi,mkutane pamoja na Rais Samia...
  16. M

    Tafadhali AAR msichukue Maamuzi haya kwani Tanzania ya sasa tuna Rais mzuri Mama Samia Suluhu Hassan ( Mrejesha Tabasamu ) kwa Wananchi

    Nami Generalist nawaombeni AAR badilisheni upesi haya Maamuzi yenu kwani Tanzania ya sasa inaongozwa na Rais mzuri, mwelewa, mkarimu na makini Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan. ------- AAR Healthcare Ltd is set to exit Tanzania on reduced visitor numbers to its eight clinics and financial...
  17. Rais Samia Suluhu: Kusanyeni kodi kwa kutumia akili, sio nguvu

    Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili. Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu...
  18. K

    Uenyekiti wa CCM kwa Rais Samia ndio nyenzo ya kusimama imara kwenye Urais

    Mitandaoni kumeibuka kikundi cha watu ambao naamini ni wanasiasa ambao kwa namna moja au nyingine wanataka kukwamisha juhudi za Mhe. Rais katika kuwatumikia Watanzania. Kikundi hiki kipo nyuma na mbele katika kupingana na muelekeo na mtazamo wa Mhe. Rais na yote inatokana na kuona wapo kwenye...
  19. Hili kundi limeibuka na kumkejeli Rais Samia Suluhu kwa kila hatua anayofanya. Uwepo wake ni takwa la kikatiba; sasa mlitakaje?

    Nimejiuliza sana hawa watu au hili kundi linatakaje au lilitaka iweje? Maana kama ni kusema madhaifu aliyoyakuta ni sawa kabisa maana hata mtangulizi wake aliwananga sana marais waliopita maana na yeye aliyakuta madhaifu. Sasa kwanini yake yafichwe? Tena naona kidogo mama anatumia sana staha...
  20. N

    Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

    Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi, Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…