samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia karibu tena Mbeya

    Wakati unakuja kuomba kura kwa awamu ya pili ya uongozi wenu 22/09/2020, nakumbuka ahadi nyingi ulizotuahidi, najua kipindi hicho 2020 ulikuwa Makamu wa Rais mtarajiwa, najua ulitoa ahadi kutoka moyoni za nini utatufanyia wana MBEYA tukiwachagua, najua ulijua mtashinda uchaguzi na mulishinda kwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia umekosa kabisa watu wapya wa kuleta mawazo mapya kwenye Taasisi/ Uteuzi wa Bodi una walakini sana

    Eti umemrudisha Iyombe kuwa Mwenyekiti wa Mfuko wa PSSSF. Hivi kweli kabisa mmekosa watu wazuri wenye mawazo ya kuukwamua huo Mfuko. Huyu Iyombe ndiyo chanzo cha kuua huo Mfuko tangu akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF. Kuna wakati JPM alishaamua kumtoa lakini basi tu akaona bora amalizie muda...
  3. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

    Wabunge wa Mkoa wa Kagera, Wamepinga kitendo cha kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera. Hii imekuja baada ya Kuanzishwa Mchakato wa kufanya Wilaya ya Chato iliyopo Geita kuwa Mkoa. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule, alisema Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC) ilipendekeza wilaya tano...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia anasubiri nini kumshughulikia Humphrey? Urais wake unayumbishwa na huyu? Asijesema hatukumwambia!

    Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aweka rekodi ya kudumu Mikoa ya Kigoma na Katavi

    Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta, Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji...
  6. JamiiForums Tanzania Asante kwa Rais Samia kwa kuruhusu binti huyu aote tena

    Kabla nawe hujageuka mchawi, tazama video niliyokuwekea halafu usiwe mgumu wa kuelewa. Aliyeruhusiwa kuota tena ni binti wa Kitanzania, popote pale alipo. Nazungumzia binti yeyote ambaye sasa ameruhusiwa kurudi shule (Kuota tena) kupambania ndoto yake baada ya kukukosea na kupata ujauzito...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

    Kama Taifa hebu tutafakari haya: 1. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayeweza kuongeza kwa mkupuo wanafunzi wapya elfu 29 kwenye HESLB,Simnakumbuka mtangulizi wake yeye ilimchukua miaka mitano ili kufikisha wanafunzi wapya elfu 32 kwenye HESLB, 2. Ni lini...
  8. JamiiForums Tanzania Uwazi na ukweli ; Silaha za Rais Samia

    Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu. Mfano, Rais Samia liingia madarakani watu wakiwa wameaminishwa kwamba Corona imeondoka...
  9. JamiiForums Tanzania Uchumi wetu unaweza kuanza kuanguka mwishoni mwa 2023: Rais Samia anahitaji "National Security Advisor" aliyebobea sana

    Shikamoo mama. Pole na majukumu. Bado ninaamini kuwa wewe una utu. Endelea kuwa na utu na siyo ulegevu. Majizi ni mengi kuliko idadi za pikipiki zilizoko mkoa wa Katavi. I love you. Naomba nikupe ushauri. Data zinaonyesha mambo yafuatayo: 1. Mwaka 2022 yawezekana kukawa na njaa Kali sana...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza ATCL kwa kuchanja mbuga, Kenya sasa ni Tshs 770,000 tu

    Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu. Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ataka mitandao ya kijamii kutoa elimu usalama barabarani

    Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu ya usalama barabarani na kushirikiana na vyuo vya usafirishaji kufanya tafiti ili kusaidia kupata suluhu ya kukomesha ajali barabarani. Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kumbuka haya na uyatafakari

    Nakusalimu mama! Kwanza nakukumbusha methali isemayo "Ushikwapo Shikamana" Tangu lilipotokea janga la msiba wa Magufuli, katiba ilikutaka wewe ndo uwe Rais wetu lkn mazingira ya wewe kuwa rais hayakuwa mepesi, tunamshukuru mungu uliapishwa na kushika madaraka. Baada ya kuapishwa wana CCM wenzio...
  13. JamiiForums Tanzania Mawaziri na Wabunge wanaojipendekeza kwa Samia Suluhu wasisumbuke

    Mimi ni muumini mzuri wa imani ya kidini. Siku zote huwa naheshimu viongozi kwani imani yangu ni kuwa viongozi huteremshwa na kupewa uongozi na mwenyezi Mungu. Kujipendekeza ili upate uongozi haisaidii hata kidogo. Imani yangu ni kuwa viongozi wetu wote ni zao la mwenyezi Mungu Mwenyewe...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

    Rais Samia binafsi nampenda lakini kila nikifikiria swala la Mbowe furaha yangu yote dhidi yake inapotea. Nifanyeje mimi Samia nampenda na Mbowe nampenda. Samia ananipa wakati mgumu, kupinga utawala wake nashindwa maana mazuri mengi anafanya lakini swala la Mbowe anachemka tena vibaya sana...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko kazini kuiokoa Sekta ya Utalii baada ya UVIKO 19

    Utalii ni kati ya sekta muhimu kwenye uchumi wa nchi yetu. Sisi hapa Arusha ukiathiri utalii ni kama kuchafua vyombo vyetui vya vyakula, hii sekta ndio inatulisha kwa kiasi kikubwa. lakini pia sehemu kubwa ya fedha za kigeni tunazipata kwenye sekta hiyo. Hata hivyo kati ya sekata zilizoathiriwa...
  16. JamiiForums Tanzania Jakaya aliamini meza akaweza, Magufuli akaamini chuma akafeli. Samia anaamini jela?

    Natanguliza ufafanuzi kidogo wa mambo ya siasa na itikadi, Siasa ni mambo mtambuka, wengi husema siasa ni sayansi, Siasa ni itikadi inayofuatwa na kundi au jamii fulani ambayo ni msingi kuendesha uchumi, utamaduni na mwenendo mzima maisha ya jamii hiyo. Siasa maana yake ni njia azitumiazo mtu au...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni nani hata mvua zimtii?

    Mimi ni mkristu safi naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu Baba, Yesu kristu na Roho Mtakatifu, Mungu wangu ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye, Mungu wangu anataka imani tu na kila kitu kwako kitakuwa ni Ushindi na Pepo ni uhakika, Uwepo...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo Profesa Mkenda, unataka Rais Samia akubebeje?

    Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini? Na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia aduwaza wachumi nchini

    Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi. Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba. Ongezeko...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma salamu za pole kufuatia kifo cha mzee Kassum

    RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa pole Watanzania, wanafamilia kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha na Utawala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Waziri Mstaafu wa Wizara tofauti kwenye Serikali ya awamu ya kwanza na pili, Al noor Kassum...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…