samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia siyo kila Kitu cha Hayati Rais Dkt. Magufuli ni cha Kuigaiga tu, tulia nawe tengeneza 'Leadership Style' yako tafadhali

    Yaani Mtangulizi wako Hayati Rais Dkt. Magufuli alianzisha tabia ya Kuvizia Wasanii wenye Majina makubwa nchini wakiwa 'on the Stage' wakitumbuiza na Kuwapigia Simu Kuwapongeza nawe Jana umeamua upite mule mule kwa Kumpigia Msanii wa Kike Nandy akiwa anatumbuiza Mkoani Dodoma na Kumpongeza pia...
  2. F

    Kwanini siku 100 za Rais Samia zitimie leo tarehe 27 badala ya 29/06/2021?

    Nimesikia katika vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa kuwa Rais Samia Suluhu ametimiza siku 100 madarakani leo 27/06/2021. Nachokumbuka huyu Rais Samia alikula kiapo cha kuwa Rais wa JMT tarehe 19/03/2021 na hivyo siku 100 ni keshokutwa 29/06/2021. Inakumbukwa Rais John Magufuli...
  3. Nasubiri nini kuamini Rais Samia alitaka(ga) kujiuzulu Awamu ya 5?

    Kipindi fulani enzi za awamu ya 5 tuliwahi kusikia tetesi kwamba Mama alitaka kujiuzulu. Tetesi zikasema resign hiyo ilizimwa baada ya wazee kuingilia kati kwamba italeta picha mbaya kwa wananchi na kimataifa. Sasa kwa mabadiliko yanayoendelea sasa ni dhahiri kuna ukweli mama alitaka kuachia...
  4. Rais Samia: Corona ipo, chukueni tahadhari

    Nawasihi Watanzania wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Korona (Uviko-19) kama tunavyoelekezwa na wataalamu wetu wa afya. Tunawe mikono kwa maji tiririka na sabuni, tutumie vitakasa mikono, tuvae barakoa na tusigusanegusane. Ugonjwa wa Korona upo.
  5. Bado Mama Samia hajaingia kwenye 18 zangu

    BADO MAMA SAMIA SULUHU, HAJAINGIA KWENYE 18 ZANGU. Na, Robert Heriel Tangu Rais Samia alipoingia kwenye utawala, watu wengi wamekuwa wakihitaji maoni yangu juu ya utendaji kazi wake. Wengi wamekuwa wakinambia kuwa mbona sijaandika makala zozote zinazomlenga SSH. Ni kweli kabisa, mpaka muda...
  6. Rais Samia na CCM wenzangu, ni utamaduni wa siku nyingi kila Rais kuwa na Waziri Mkuu wake, tunaomba utamaduni huo uendelee!

    Ni kawaida kwa Rais, mara tu anapoanza awamu yake ya uongozi, kuteua Waziri Mkuu wake,mtu anayemwamini,atakayeenda na falsafa yake, bila kumuwekea makundi. Marais huwa wanaachana na Mawaziri wakuu wa watangulizi wao kuashiria zama mpya, pia kuvunja kundi la kisiasa la aliyemteua. Ni wazi, lile...
  7. Rais Samia Kiwanda cha Chibuku/ Darbrew LTD kilifungwa tangu mwaka 2018. Muwekezaji yupo lakini Watendaji wa Jiji la Ilala wanakwamisha

    DARBREW LTD ni kiwanda cha kutengeneza pombe aina ya chibuku,kilianzishwa tangu mwaka 1967 na kampuni binafsi LONRHO corporation. Serikali ilikitaifisha kiwanda hicho mwaka 1978 na kukiendesha kwa mafanikio.Kilianza kuwa na ubia mwaka 1997 ambapo serikali ilikuwa na hisa ya 40% na sekta binafsi...
  8. Askofu Kakobe: Tulipomchagua Magufuli kuwa Rais; tulimchagua Rais mtarajiwa mhe.Samia kwa mujibu wa Katiba !

    YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA Kongamano lilianzia kwa maneno ya salamu za viongozi mbalimbali wa dini sawa na kusudi la kongamanona sambamba na...
  9. Ujumbe wa Sheikh Kipozeo kwa Rais Samia huu hapa

    Kimsingi ameahidi kumuunga mkono Mhe. Rais katika uongozi wake kama alivyomuunga Mkono Magufuli Chanzo : Mwananchi
  10. Kwa anayoyafanya Rais Samia tumpe mpaka 2035, Wapinzani nao wamemkubali

    Nmefuatilia sana toka achukue uongozi Rais Samia, kiukweli anaonekana kufaa sana. Nimeona Wapinzani nao wanakubaliana sana na maamuzi yake. Ushauri wangu: Huyu Rais tuliye naye sasa apewe nafasi ya kuendelea kuongoza mpaka 2035. Tumeona anaweza na anakubalika. Kwenye nafasi ya Urais Wapinzani...
  11. Rais Samia, tujifunze kwenye gesi. Je, manufaa ya gesi yapo wapi kwa Wananchi wa kawaida?

    Wazee. Mnakumbuka zile heka heka za gesi ya Mtwara? Kipindi hicho Kinyerezi kulikuwa busy si kawaida. Haya, Mama yetu tuambie hayo manufaa ya gesi kwa Wananchi wa kawaida ni upi? Wana Mtwara vipi wanafaidika na gesi? Tujifunze kwenye gesi
  12. Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara. Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma...
  13. M

    Kwanini Rais Samia na Baraza la Maaskofu (TEC) walikuwa na kikao cha siri?

    Wote tuliona hadi hotuba zote za Rais na maaskofu jana walipokutana pale Kurasini, TEC. Wote nadhani mmeona baada ya kila kitu kumbe kukawa na kikao kingine cha Rais Samia na haohao maaskofu hapohapo ukumbini. Kikao hiki wote tumeambiwa ni siri, tena wale wenye ruhusa ya kusikiliza siri za...
  14. Ipi tathmini yako kuhusu siku 100 za Rais Samia madarakani?

    Mama katimiza siku 100 madarakani baada ya kifo cha Magufuli Ukiachana na kicheko kwa wafanyakazi weka tathmini yako ya haki hapa Alikopatia Alikokosea Alikochapia Alikozembea Alikokurupuka Weka projection yako na ushauri wako kwake. Anatusoma a ametuasa tusikosoe tu na kujibishana mitandaoni...
  15. Kinachoendelea TANESCO ni kumfitinisha Rais Samia kwa Wananchi

    Tokea afariki Magufuli huko TANESCO hakujatulia na mambo yamekuwa ya hovyo sana! Umeme kukatikakatika kwa sasa ni jambo la kudumu. Mfumo wa kununua umeme kwa njia ya simu nao pia chali. Hii si hali njema sana kwa Wananchi na imesababisha usumbufu usiokuwa na lazima. Kipindi cha Utawala wa...
  16. Dodoma: Nicodamus Maganga (Mbunge) adai Mishahara na Posho haiwatoshi Wabunge. Ashangiliwa...

    "Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga ==== Dodoma. Mbunge wa Mbogwe...
  17. Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kukutana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) leo Juni 25, 2021 Rais atakutana nao katika Makao Makuu ya TEC, Kurasini ========== 5:30 Asubuhi: Rais Samia Suluhu ameshafika na kuimbwa wimbo wa Taifa, kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa...
  18. Magufuli Vs Samia

    Ni dakika ya ngapi ya mpambano mimi hata sifahamu.Lakini... Ni lazima mmoja baina yao mwisho wa siku atangazwe mshindi! Ni lazima mpambano uendelee kuwa wa wazi namna hii ili watoa hukumu waendelee kuwa na maksi sahihi kwa kila mmoja wao. Ni lazima Samia aongeze kasi ya kuupiga mwingi ili...
  19. AUDIO, Uchambuzi; Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu

    Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu nimeziadhimisha kwakufanya uchambuzi kwa mahojiano ya Radio, Kuhusu Hali ya Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, na kuhusu vuguvugu la Katiba Mpya. Sikiliza mwanzo hadi mwisho!
  20. F

    Rais Samia, watuhumiwa tunabambikiziwa kesi za dawa za kulevya

    Saidy Hemed Abubakar amefikishwa katika mahakama ya wilaya Jijini Tanga akikabiliwa na makosa mawili ya kusafrisha dawa za kulevya lakini akaishushia tuhuma nzito Tume ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya kwamba watendaji wake si waadilifu kwani wamekuwa wakiwabambikiza watu kesi za dawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…