samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

    === Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu (dialysis) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri === Rais Samia alipunguza bei ya...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia amefuta Tozo

    Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi. Tozo hiyo ikiondolewa, fedha zitarudi mifukoni mwa wananchi. Hongera na Asante Rais Samia kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye ziara yako huko Misri kuwa makini na ishu ya maji ya ziwa victoria

    Siku zote Misri imekuwa ikidai kuwa ina haki na maji ya mto na nile na chanzo chake kuliko nchi nyingine yoyote ya ukanda wa mto nile. Misri imekuwa ikirejea mkataba wa kikoloni unaoipa Misri share kubwa ya Maji hayo kwa kudai kuwa nchi ambazo mto nile na vyanzo vyake vipo havipaswi kutumia...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu. Ziara hiyo ya Kiserikali ya siku tatu inafuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Abdel Fattah Al Sisi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

    TZS Bilioni 11 za Rais Samia Suluhu zamtetemesha RC Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema, afanya maamuzi magumu Kishapu, " Hakuna kama Samia " Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema amefanya maamuzi magumu ya kumsimamisha kazi afisa manunuzi mzembe wa Wilaya ya Kishapu Ili kupisha...
  6. JamiiForums Tanzania Wanavyofanya Musukuma na Polepole ni ushahidi wa ukomavu wa Rais Samia kisiasa

    Polepole na Musukuma ni watu wanaopingana na Rais Mama Samia kwenye kila kitu. Wanabweka kwenye mitandao kupinga maamuzi ya Rais. Walipinga chanjoweeeeee lakini mwishowe nadhani na wawo walichanja kimyakimya. Sasa hivi wanapinga uwamuzi wa mama Samia wa kuisafisha miji, eti miji isisafishwe...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia na busara ya kujua nini cha kuahidi kwa wakati gani

    Napenda namna ambavyo Rais Samia hakurupuki kwenye majibu. Mara kadhaa ameombwa vitu hadharani, hakujibu kwa mhemko kama wafanyavyo wanasiasa wasiojielewa. Mfano, watu wa Chato wamewahi kuweka ombi lao la Mkoa mara mbili hadharani. Askofu Shoo wa KKKT aliomba barabara na vitu vingine. na zipo...
  8. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

    CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu! Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini. Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia anatamani gwaride la 9 Desemba huku akiwahofia wazungu waliompa pesa za Covid-19

    Huku akitamani kukagua gwaride la 9 December Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameingiwa na wasiwasi wa ni namna gani wazungu waliompa pesa za Covid watamchukulia endapo ataandaa kusanyiko takatifu la kiwango kile la watu. Duru za kweli kabisa zinatabanaisha kuwa huenda maadhimisho ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia amewezaje kufanya haya yaliyowashinda Marais wote?

    Nipo jijini mwanza kiukweli mji unapendeza. Nimepita maeneo karibia yote makoroboi, nyasaka, nyamhongolo, buhongwa. Dah! Siamini machinga wote wamehama tena wenyewe kwa mikono Yao, wamebomoa wenyewe bila vurugu zozote. Mama Samia amewezaje ilihali watangulizi wake wote walishindwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera sana RC Arusha pamoja na Rais Samia kushughulikia suala la wamachinga

    Hapo vip!! Panapostahili kupokwezwa tupokeze ila nitaendelea kukosoa panapobidi tena bila kuchoka. Baada ya kuandika kuhusiana na suala la mkoa wa Arusha kugeuka kuwa kichaka kutokana na wamachinga kuzagaa kila mahala. Baada ya siku nne sasa Arusha yang'ara na Arusha yapendeza sasa ile hadhi...
  12. JamiiForums Tanzania Historia ya soko la Kariakoo

    Soko la Kariakoo ambalo Rais Samia Suluhu anakusudia kulifanyia mapinduzi makubwa kwa kukarabati jengo lake la zamani na kujenga lingine jipya ambalo litapokea machinga zaidi ya 2,000, lina historia ya kipekee. Soko Kuu hilo lipo katika kiwanja namba 32 eneo la Kariakoo, katikati ya makutano ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini rais Samia havai barakoa akiwa nje ya nchi? Lakini akiwa ndani ya nchi anavaa?

    Nimemshuhudia akiwa huko Glasgow, Scotland na mwenyekiti wa mabenki ya standard chartered Lakini akiwa Tanzania anavaa kama kawaida
  14. JamiiForums Tanzania Samia hana hela hizo acheni kutufanya wajinga!

    Mara ooh Samia katoa bilioni kadhaa kwa ajili ya jambo fulani ama ooh Samia kakubali mkoa fulani upewe pesa zile-mimi Jitombashisho nasema tuondoleeni huo upuuzi wenu Samia hana hizo pesa. Pesa ya Watanzania ya kodi ajabu mnammlikisha mtu kana kwamba zake huo ni uzwazwa na upunguani tena mkome...
  15. JamiiForums Tanzania Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

    Rais Hakainde Hichilema kutoka Zambia na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka Tanzania ndio marais pekee kutoka Africa wanaokwenda ng'ambo kwa kutumia ndege za abiria|Umma. Rais Samia Suluhu wa Tanzania pamoja na kuwa na ndege mpya 11 zikiwemo zenye uwezo wa kuruka moja kwa moja kwa zaidi ya masaa...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia kukusanya TZS 1.6BL ili kuchagiza Stars ifuzu kombe la dunia 2022 Qatar,

    BILIONI 1.6 KUCHAGIZA TAIFA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 === WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote...
  17. JamiiForums Tanzania How Chumbe -Zanzibar baffling tourists " The Finincial Times " aggrandizing Tanzania tourism | Viva Samia Viva

    The effects of H. E. Samia Suluhu Hassan Royal Tour has started rapidly showing an extraordinary impacts on tourism sector and tourists attractions all over the country, The World biggest Newspaper " Finicial Times " has started aggrandizing our tourism sector all over the world and...
  18. JamiiForums Tanzania Unajua sababu zinazomvutia kachero mbobevu Benard Camilius Membe kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

    |Haya ndio mambo sita makubwa yanayomvutia zaidi Kachero Benard Membe kwa Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwanza, Mabadiliko, ni raha ya Watanzania kupokea mabadiliko ya uongozi wa nchi. Pili ,Uhuru & Usalama, anasema kuingia kwa Rais Samia ambaye ni mwanamke, hewa ya uhuru na...
  19. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kusikiliza maoni yetu wanaJF

    Habari wakuu. Nimeona huko kwa Millard Ayo, hela zimetengwa kujenga upya Kariakoo ambayo ita accommodate wafanya biashara 2000! ...hii tulishauri hapa kulivyokua na discussion za kuhamisha wamachinga. .Kariakoo ni mjini, kituo cha biashara mama Samia ametambua ni vizuri pajengwe vizuri, pawe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

    Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaenzi wazee wetu Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Hayari Dk John Pombe Magufuli tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite|daraja la Salenda walioliasisi wao lenye urefu wa kilometa 1.03 lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL. Masaa machache tu Rais Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…