samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye Sekta ya Michezo

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeweka mikakati ili kukuza sekta ya michezo nchini. Serikali inaamini kuwa michezo ni Ajira kwa vijana wengi. Mikakati ya Rais Samia ni: Kukarabati Viwanja 7 kwa gharama ya Tsh Bilioni 10 Kuratibu na Kusimamia UMITASHUMTA na UMISETA Kuratibu...
  2. JamiiForums Tanzania Anguko la Rais Samia Suluhu Hassan lipo mikononi mwetu, tusimuangushe, tupambane kwa pamoja kukuza uchumi wetu kwa kuchapa kazi

    Habari za wakati huu enyi walimwengu wa Karne ya mwisho wa dunia, mliopo katika ardhi yenye baraka ya Tanzania, na hata msiokuwa Tanzania. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Awali ya yote nipende kukushukuru wewe unayesoma makala hii kwa kutenga muda wako ili uweze...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Kumbukumbu ya Mashujaa Dodoma. Apendekeza Dodoma pajengwe mnara wenye hadhi ya makao Makuu ya nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2022 - Rais amewasili katika viwanja vya mashujaa Dodoma. - Gwaride la kumbukumbu ya siku ya Mashujaa limefanywa -...
  4. JamiiForums Tanzania Mkutano wa TUCTA na Serikali kuhusu sintofahamu ya nyongeza ya mishahara utatujuza kama Rais Samia ni dikteta au la

    Watu wameshaanza kuwa na wasiwasi kuhusu nini litatokea iwapo Wafanyakazi watashindwa kuelewana na serikali. Yule mkubwa wa Tucta ameshasema kuna mambo yanahitaji ufafanuzi na wanataka kutajadili na serikali. Sijui jambo gani litatokea. Wafanyakazi watakuwa wazalendo na kusema"hewallah" kila...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani asisitiza Wizara ya Ardhi inafanya kazi kubwa ya kupima na kupanga ardhi kwa matumizi bora, hati 8 zakabidhiwa Tanganyika

    RIDHIWANI ASISITIZA WIZARA YA ARDHI INAFANYA KAZI KUBWA YA KUPIMA NA KUPANGA ARDHI KWA MATUMIZI BORA, HATI 8 ZAKABIDHIWA TANGANYIKA. Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi. Salamu za Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb)- Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Wananchi wa Kijiji cha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaongoza nchi kwa "danganya toto" style

    Rais Samia amejizolea umaarufu kuwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini. 1. Rais Samia...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Ninaomba tujadili jambo hili.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

    Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa. Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia fuatilia reaction ya watumishi wa umma kwà nyongeza yao ili 2025 usiibe kura, wewe ni muislam safi!

    Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa siyo "Nyongeza ndogo" ya mshahara, tatizo kubwa kukatwa mpaka na vyama vya wafanyakazi (Rais Samia ondoa makato ya lazima ya vyama)

    Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi kwa jina la Ada ya UWAKALA ifutwe. Kujiunga na Vyama vya wafanyakazi libaki kuwa Jambo la hiari. Hii ni DHULMA. Wabunge Wana mishahara ya 3.8M kwanini kiasi kinachoongezwa hawaweki kwenye BASIC kwasababu wanajua kitakatwa. Mtumishi hatakuja kupata...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia fanya hili ili ukali wa gharama za maisha uwe historia Tanzania

    Tanzania tuna hifadhi ya gesi iliyofikia ujazo wa Trilion 57 cubic f. Kwa mujibu wa hotuba ya Rais wakati wa kusaini mkataba wa kwanza wa uwekezaji wa Gesi baina ya Serikali na wawekezaji kuna vitalu takribani 28 vya gesi bado havijafanyiwa utafiti jambo ambalo endapo litafanyika linaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua barabara ya Afrika mashariki (Arusha Bypass) KM 42.4

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Afrika Mashariki (Arusha Bypass) km 42.4 Ngaramtoni Arusha, leo Tarehe 22 Julai, 2022 ======= Hotuba ya Rais Samia, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mungu na...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa zaidi ya miaka 60 Tanzania haijawahi kutenga bajeti ya TZS 985Bl kwa ajili ya Elimu wala kuisamehe HESLB TZS 1.1 Trl ni Rais Samia tu 2025

    KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania OMBI: Rais Samia mteue Wakili msomi Peter Kibatala kuwa Jaji

    Nchi yetu ina wasomi wengi ila wasomi wanaotendea haki taaluma zao ni wachache sana. Peter Kibatala ni mmoja wao Hii nchi ni yetu sote kama asali kila mtu anataka kulamba. Kuna viongozi lukuki sana wapo serikalini na walikuwa upinzani na majority wanafanya vizuri sana Sifa ya kuwa Jaji ni...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie, Uteuzi wa DCI Kingai, Watanzania tunaenda kuzikwa wazima wazima

    Shikamoo Rais Samia Huyu Kingai anaenda kutumaliza, visasi vingi na atahakikisha wabaye wake wanakipata cha mtemakuni. Kingai haijui hata PGO, atakuwaje Mkurugenzi wa Upelelezi? Twafwa. Kesi dhidi ya Mbowe ya Ugaidi, nilitegemea imfumbue macho Rais ili ajue waliomzunguka. Naamini rais...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je, Balozi Ombeni Sefue ndiye mshauri Mkuu wa Rais Samia?

    Rais Samia ni wazi sasa anamuamini Balozi Sefue na ndiye kamchagua mwenyekiti wa TPDC na Msaidizi wa mwenyekiti wa tume maalumu ya kumshauri kwenye mabadiliko ya majeshi yetu. https://www.linkedin.com/in/ombeni-sefue-73056220/
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia anatumia 'Contrarian approach' kwenye teuzi. Ni mfumo mzuri pia wa kupata matokeo

    Kwa wasiouelewa huu mfuno. Contrarian approach ni idea kwenye mambo ya uwekezaji ambapo mtu unakuwa unafanya maamuzi ambayo kinyume kabisa na matarajio ya watu. Kwenye uwekezaji, mfano kama bei ya nyumba inapanda kqa kasi, contrarian investor hawezi kuwekeza kwenye nyumba bali atawekeza kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) 2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Sh. Trilioni 2/- za IMF anaweza kuzitumia wapi?

    Bodi ya Shirika la Fedha Duniain (IMF) hapo jana iliidhinisha mkopo wa dola za Kimarekani Bilioni 1.046 ambazo ni sawa na shiliingi Trilini 2.4/- za kitanzania katika kipindi cha miezi 40 ili kusaidia katika kupambana na athari za viizotokana na vita ya Urusi na Ukraine. Huu mkopo Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…