samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    PostGE2025 Rais Samia: Maumbile yetu na utajiri wetu isiwe laana tukauana kwa kushawishiwa na wanaotolea macho nchi yetu

    Rais Samia amesepa, Tanzania inapigwa na kulembewa mawe kwa vile Mungu alivyotuumba kuwa nchi yenye utajiri na rasilimali nyingi. Ameongeza kuwa Maumbile yetu na utajiri wetu visisababishe watanzania wakauana kwa kushawishiwa na wale wanaotolea macho nchi yetu. Huu ni wakati wa watanzania...
  2. T

    Samia hataki maridhiano

    Siamini nachoona na kusikia Huyu anataka maridhiano kweli ?
  3. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Leo wazi kabisa Samia anajisifia kwa alichokifanya oktoba 29 ilikuwa ni sahihi kwa watanzania

    Katika hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoitoa leo Disemba 2, 2025 katika mkutano wake na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, Samia Suluhu Hassan emeonyesh wazi kuwa kilichotokea oktoba 29 kilipangwa na serikali na kilikuwa ni sahihi ikiwa ni njia ya kuwazuia wananchi...
  4. Common Folk

    PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  5. B

    Kumbe Rais Samia ndiye alitoa ruhusa ya kufanya siasa?

    Miaka yote nilifikiri suala la kufanya shughuli za kisiasa hapa nchini ni takwa la kikatiba kumbe ni ruhusa ya Rais. Amesema mwenyewe huko kwenye mkutano na wazee wa Dar es Salaam.
  6. Common Folk

    PostGE2025 Rais Samia: Waratibu wa maandamano wanatoka nje, wachache wa ndani ni kwa sababu ya njaa na kukosa uzalendo

  7. Common Folk

    Rais Samia: Vurugu zilipangwa siku ya uchaguzi kwa sababu walishajua CCM inaenda kupata ushindi mkubwa.

  8. Roving Journalist

    PostGE2025 Rais Samia anahutubia Taifa kupitia Mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, ukumbi wa JNICC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025...
  9. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Na hatimae Samia amekiri kuwa waliouawaa ni watanzania na sio kama alivyokuwa anasema awali kuwa hawakuwa watanzania. ila huyu mama

    Na hatimae Samia amekiri kuwa waliouawaa ni watanzania na sio kama alivyokuwa anasema awali kuwa hawakuwa watanzania. ila huyu mama anatuchukuliaje sisi?
  10. Common Folk

    PostGE2025 Rais Samia: Kilichotokea kilipangwa, lengo lilikuwa kuangusha dola. Yale hayakuwa maandamano bali vurugu za uharibifu

    Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa. Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
  11. DuaZaMama

    Rais Samia: Poleni mliofiwa na ndugu zenu. Msiba huu ni wetu sote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapa pole wale waliofiwa na ndugu zao katika maandamano ya Oktoba 29, ingawa yeye ameeleza kuwa maandamano hayo yalijumuisha vurugu. Rais Samia Suluhu Hassan aliyasema haya wakati akizungumza katika mkutano maalum...
  12. M

    PostGE2025 Rais Samia: Walioratibu fujo Oktoba 29 walitaka watanzania kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi

    Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
  13. Just Pray

    PostGE2025 Rais Samia: Lililotokea ni tukio la kutengenezwa, ni mradi wenye nia ovu kuangusha dola ya nchi yetu

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa na lengo la kuangusha dola ya nchi yetu. Ameyasema hayo leo Disemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa...
  14. Just Pray

    Rais Samia: Dar es Salaam tulionja joto ya jiwe

  15. Mama Naa

    Samia usitupe pole twaambie aliyeua Watz ni nani ??

    Samia twaambie aliyeua watanzania ni nani? Amechukuliwa hatua Gani ? Maiti za watanzania wenzetu ziko wapi ?? Aliyeruhusu mitandao kufugwa ni nani ?? Samia S. H tunaomba majibu
  16. Just Pray

    PostGE2025 Chalamila: Rais Samia ameunda serikali kwa kujali hisia za watanzania

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema maelekezo yote yaliyotolewa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya hotuba yake baada ya kuapishwa yametekelezwa na yanaendelea kutekelezwa kwa kufanyia kazi makundi yote ya msingi kwa kusikiliza hisia zao, matatizo yao ili...
  17. BigTall

    PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia: "Nani wa kumfunga paka kengele?"

    Mambo mazito Yanayosubiri Majibu Baada ya kutangazwa katika vyombo vya habari kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuliutubia Taifa, mijadala mikubwa imeibuka kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi wanatarajia hotuba itakayofungua ukurasa mpya wa matumaini...
  18. Genius Man

    PostGE2025 Samia anaongea na wazee kwamba wazee ndio wamshauri yeye au yeye ndio anaenda kushauri wazee

    Samia anaongea na wazee kwamba wazee ndio wamshauri yeye au yeye ndio anaenda kushauri wazee.
  19. BLACK MOVEMENT

    PostGE2025 Press ya Father Kitima imeyeyesha Propaganda za Rais Samia leo

    Ndugu Samia Hassan Suluhu leo kama taatifa ilivyo anaongea na Makada wa CCM Kule Dar, na kama kawaida leo alikuwa aje na zile swaga zao za kila siku, za Walilipawa, Kwanini wachome nchi, Walitoka nje ya nchi, hawatutakii mema, na blaa blaa zingine. Sasa ile Press ya Kitima inabidi magwiji wa...
  20. Samia atosha tukutane2030

    PostGE2025 Rais Samia, tafadhali waongezee mishahara polisi, bila polisi Dar es Salaam leo ingekuwa majivu

    TEC na watu wote wapumbavu walitaka jeshi la polisi liache vijana huru kuanzia ile tarehe 29 September mpaka pale ambapo ofisi zote za umma Dar es salaam zingekuwa majivu. Walitaka polisi wawaache vijana wawe huru kupita nyumba za wana CCM na watumishi wa umma wote pamoja na maaskari na kuwaua...
Back
Top Bottom