samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Samia asije tuletea ukoloni tena kwa kuwafurahisha wawekezaji

    Wawekezaji lengo lao ni kupata wala sio kuja kutuletea maendeleo. Ni juu ya nchi yenyewe kuweka sheria na taratibu kuhakikisha uwekezaji wa wageni unanufaisha umma wa wananchi wala sio wawekezaji peke yao au wawekezaji na tabaka fulani tu nchini. Vigogo wanaotaka kufaidika na uwekezaji wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amefanikiwa kujenga matumaini katika Mioyo ya Watanzania, Ndio Sababu ya kutamalaki kwa Amani na Utulivu hapa nchini

    Ndugu zangu Ni ngumu Sana kuongoza watu walio kata tamaa,walio jaa hasira , wanaolia na kuvuja machozi mioyoni mwao, Ni ngumu kuongoza na kusikilizwa na watu wasioona mbele kwa matumaini, Ni ngumu Taifa kutulia na kuwa lenye amani na mshikamano ikiwa limejaa watu ambao hawajuwi hatima ya maisha...
  3. Justdr

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Scholarships

    Samia scholarship ni definition sahihi ya mwenye nacho ataongezewa. Ask me how?
  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni. Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi. “Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini Dodoma Ummy Mwalimu - Waziri wa Afya Lishe bora ni msingi wa afya na uchumi wa mtu mmoja, familia...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa mbali na kwamba ninakipato, lakini kipato changu kinaishia kwenye kula tena kwa kukatisha milo, Je,lipi bora, nilipe ada tufe au tule tuish

    Kwa jinsi ilivyo kwa sasa, huwenda nawakilisha wananchi wengi mamilioni kwa mamilioni wenye swali kama hili Maisha yamekuwa ghali sana kushinda vipato vyetu, Wengi wetu, vipato vyetu haviruhusu kucheza mbali na kula tuu, na hapo ni kwa kukatisha Milo, kama mtu kwa kipato hikihiki ambacho...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NHC kutumia Tsh. Bilioni 466 mradi wa Samia Housing Scheme

    Shirika la nyumba za Taifa (NHC) limelenga kutumia zaidi ya Sh460 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 5,000 nchini, huku asilimia 50 ya nyumba hizo ikitegemewa kujengwa eneo la Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam. Mradi huo uliopewa jina la Samia Housing Scheme unatarajiwa kuanza...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nini Samia Scholarship,kuna Samia Housing Scheme

    Shirika la nyumba za Taifa (NHC) linatarajia kujenga nyumba za bei nafuu katika eneo la Kawe Tanganyika Packers jijini Dar es salaam, lengo likiwa ni kuwa na makazi bora na nafuu yatakayoendana na ongezeko la watu nchini. Huu ni mwendelezo kwa miradi kutajwa jina la Rais katika mikakati ya...
  10. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alituliza Taifa

    Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama. Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje? Lakini kwa uwezo wa Mungu na utendaji kazi wake kwa kuzingatia maadili na uongozi bora, Rais Samia...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Maeneo nane yatakayofadhiliwa na Samia Scholarship

    Kuleta mageuzi katika sekta ya sayansi na teknolojia kupitia Samia Scholarship. Ufadhili huo wa miaka mitatu hadi mitano utawanufaisha wanafunzi kwenye maeneo haya nane: Samia Scholarship itatoa Ufadhili wa 1. Ada ya mafunzo 2. Posho ya chakula na malazi 3. Bima ya afya 4.Vifaa saidizi kwa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna kuingia Mikataba pasipo kumshirikisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili leo tarehe 29 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Prof. Ibrahim Juma - Jaji Mkuu Haitoshi kuwa na sheria nzuri ambayo haitimizi malengo ya kutungwa kwake. Zipo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania If it is government funds, why call it Samia scholarships?

    Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Samia Scholarship

    SAMIA SCHOLARSHIP Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanzisha program ya ufadhili iitwayo SAMIA SCHOLARSHIP kwa masomo ya shahada ya kwanza kwa wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika mitihani ya kidato cha 6 mwaka 2022 chini ya NECTA kwa waliosoma masomo ya; PCB, PCM, PGM, CBG, CBA...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia

    Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia Ufadhili wa Samia: Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza majina ya wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship baada ya kufanya vizuri katika masomo ya sayansi. Leo wizara...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Dirisha la Maombi ya Samia Scholarship lafunguliwa

    Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefungua dirisha la maombi ya SAMIA SCHOLARSHIP kwa wanafunzi 640 waliopata ufaulu wa juu kwenye masomo ya sayansi katika mitihani ya Kidato cha Sita 2022. Majina ya wanafunzi hao yanapatikana kuanzia leo katika tovuti ya wizara...
  17. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Mambo Matano Ziara ya Rais Samia Suluhu Msumbiji

    Amani Rais Samia alisema amani iliyopo kati ya nchi hizo, inatokana na vyama vilivyopo madarakani hivyo aliomba tunu hiyo ilindwe. “Sasa ili tuendelee kudumu madarakani lazima tuje na fikra mpya, tujifunze kwa vyama vilivyoondolewa madarakani…amani na utulivu ni matokeo ya vyama vyetu kuendelea...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliopata Samia Scholarship

    Majina ya waliopata Samia Scholarship yametoka tayari mwenye link atuwekee
  19. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika mapinduzi kidijitali na diplomasia ya uchumi

    Baada ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwaleta nchini Tanzania wafanyabiashara zaidi ya 300 kutoka katika nchi 27 (Mwezi August 2022) wanaojishughulisha na mambo ya TEHAMA na kufungua fursa za uwekezaji katika mawanda ya kidijiti. Mwishoni mwa Mwezi ujao (OKTOBA) wafanyabiashara na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wapaa, wachumi wamsifu Rais Samia

    Uchumi wa Tanzania Bara umekua kwa 5.4% ikilinganishwa na makadirio ya 4.7% katika robo ya kwanza ya mwaka huu huku Zanzibar ukikua kwa 5.1% ikilinganishwa na makadirio ya 5.4%. Wachumi waipongeza Serikali ya Rais Samia Suluhu huku wakisema ukuaji huo ni dalili njema inayodhihirisha kuwa nchi...
Back
Top Bottom