samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Anayeweza kutabiri Rais Samia atakakotupeleka kuanzia 2025-2030 wasome uzi huu

    Mwaka 2025 mama Samia atatimiza miaka 65 hadi mwaka 2030 Akiwa madarakani atakuwa na umri wa miaka 70. Mtanzania mwenye kuweza kutambia kipindi Samia Akiwa na umri wa miaka 70 anatupeka wapi atuambie mapema Ili wengi tukatafute maisha kwa Moi kuangalia mapema
  2. J

    JamiiForums Tanzania MV MWANZA " Hapa Kazi Tu" yashushwa Majini, ni furaha kuu Jijini Mwanza!

    Tukio liko mubashara TBC Watu ni Wengi sana sana kwa kweli hii ni Baraka Wafuasi wa vyama wakiwa Ndani ya sare zao nao wapo CCM, Chadema na ACT Wazalendo Mungu ni Mwema wakati Wote
  3. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuelewa ukweli wa Rais Samia njoo Marangu Mtoni mkoani Kilimanjaro, kati ya bodaboda 5, wanne au watu ni mashoga

    Rais akiwa anazungumza na Viongozi wa Wanafunzikutoka Zanzibar na Bara j,ana aliwataka waache kuiga uzungu. Rais anawataka wanafunzi kuzingatia mila na desturi zetu kinyume chake kizazi chetu kitakwenda kombo. Kuna pahala waweza usielewe kauli hii, ila kiukweli hali ni mbaya hasa mikoani, wimbi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaposema Kilimo ni kipaumbele cha Serikali yake anamaanisha?

    Raisi Samia anaposema kipaumbele cha serikali ya awamu ya sita ni kilimo anamaanisha? Hivi mbona tunakurogona jamani? Kweli kipaumbele cha serikali ambayo haijachaguliwa ni kilimo? Naogopa sana kusema ila tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka pasipo kupigiwa kura ni serikali za ovyo...
  5. JamiiForums Tanzania An Open Letter to President Dr. Samia Suluhu: Proposal for the Establishment of a High Education Graduates Bank (HEGB)

    Dear President Dr. Samia Suluhu, I hope this letter finds you in good health and high spirits. I am writing to bring to your attention a critical issue that affects the future of our country, namely, the high rate of unemployment among high-education graduates. Despite their impressive...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutaanza kutoa Tsh 10,000/= kwa siku kwenye pesa za kujikimu (Boom) kwa wanachuo

    Fuatilia matangazo ya mbashara (moja kwa moja) kutoka Ikulu Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anazungumza na wawakilishi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na Zanzibar (TAHLIFE) leo tarehe 11 Februari...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Lissu anasema Rais Samia amebadilisha upepo wa kisiasa

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani 1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa. 2. Anazungumza na wapinzani. 3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu. 4...
  8. JamiiForums Tanzania 'Balozi' ataka Rais Samia atengenezewe sanamu

    Muktasari: Balozi wa utalii ataka Rais Samia atengenezewe sanamu kama kumbukumbu ya kuwa Rais mwanamke wa kwanza na aliyejitoa kwa dhati kuipambania sekta hiyo kwa kushiriki kutangaza utalii wa nchi. Dar es Salaam. Wakati sekta ya utalii ikiendelea kuimarika na kuvutia idadi kubwa ya watalii...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi ni taifa huru

    Nakumbuka siku ya uhuru Rais Samia Suluhu alituhakikishia watanzania kwamba sisi ni taifa huru na watanzania lazima tuwe huru tunaona anaendelea kuishi maneno yake kwa kuweka uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa wananchi kutoa maoni. Hakuishia hapo tu alisema pia jukumu la serikali ni kusimamia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya chama cha ACT Wazalendo kuamua kuwa chawa wa Samia kimepoteza mvuto kwa wananchi

    Baada ya Ujio wa Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Tanzania, kiongozi mkuu wa ACT wazalendo ndugu Zitto Kabwe akautangazia umma kuwa tusimtegemee kuikosoa serikali ya Samia kama tulivyozoea kumuona akikosoa serikali zilizopita(Hasa serikali ya Magufuli). Na kweli ndugu Zitto ameacha kabisa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umetusahau wana Shinyanga hatuna Mkuu wa Mkoa mpaka sasa

    Tangu Sophia Mjema ateuliwe kuwa Mwenezi wa CCM, mkoa hauna mkuu wa mkoa, badala yake RC Simiyu anakaimu. Hii ya Kukaimu muda mrefu inachelewesha mambo, mipango ya maendeleo na utekelezaj wake. Teua mama, majembe yako mengi tu mtaani hayana kazi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unda Tume kuchunguza kupigwa risasi Tundu Lissu

    Mama Samia, Rais wetu mpendwa, Unda Tume ya watalaam wetu wa ndani na nje kuchunguza kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kupotea kwa Saanane Pamoja na watu wengine. Kama nchi tunaonekana wa hovyo sana kuwa na serikali ambayo haiko tayari kujua kilichowapata raia wake. Tunafananishwa na Kenya ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Samia katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na utoaji wa huduma za kijamii, na katika Sekta mbalimbali

    Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imeshuhudia mafanikio makubwa katika kuimarisha miundombinu hususan barabara, reli, viwanja vya ndege, bandari, huduma za kiuchumi na kijamii, ujenzi wa madarasa, hospitali, zahanati na vituo vya afya, huduma za maji, utawala bora, mapambano...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia eneo la Magereza kumegwa ili wapewe wananchi

    Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza mgogoro wa ardhi yenye ukubwa wa ekari 7,495.74 uliodumu kwa zaidi ya miongo mitatu kati ya vijiji vya Kata ya Kingale, Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Gereza la King'ang'a. Mgogoro huo umetatuliwa baada ya kiongozi huyo kuagiza eneo lenye ukubwa wa ekari...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana imani na Rais Samia

    Jana Tundu Lissu alielekea nyumbani kwao Singida huku akiwa na amani ya kutosha maana anajua Tanzania ni salama na Rais Samia Suluhu, hakuna tena watu wasiojulikana hili ni jambo kubwa sana Rais Samia Suluhu anatakiwa kutembea kifua mbele huku ajisifu maana amefanikiwa kujenga Tanzania mpya...
  16. JamiiForums Tanzania Dira ya Rais Samia Suluhu kwa Tanzania Imara na yenye Mafanikio Zaidi

    Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu anazidi kuchukua hatua kubwa ili kulipeleka taifa la Tanzania katika mustakabali mwema. Samia Suluhu ameelekeza nguvu zake katika kuendeleza ajenda za maendeleo za mtangulizi wake, John Magufuli, huku akitanguliza utawala bora na haki za binadamu. Baadhi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa Mkulima Rais Samia awezesha ukulima wenye tija

    GTs, Leo ikiwa siku ya dominika murua kabisa nimeamka zangu jijini nikiwaza hili na lile na nikitafakari namna maisha yavyoenda. Nikiwa nawaza mara paap simu ya mkulima toka vijiji vya mbaali kabisa, nikapokea simu. Mkulima …Halooo ChawaWaMama … Ndiyo habari za leo? Mkulima… Nzuri mno, za...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia umeleta furaha nchini

    Kwaheshima kubwa ,nawasalimu Watanzania wote habari za asubuhi!!! Let me go direct to my point , hii nchi ilipoteza mwelekeo miaka mitano iliyopita, mambo yake yalikuwa hayatabiriki Sana hata kama mambo mengine yalikuwa kisheria. Mfano, suala la ajira Kwa watumishi wa serikali, watumishi...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Umetubadilishia Mkurugenzi wa EWURA, tubadilishie na wa TPDC na PURA

    Nimeyazungumzia haya mashirika mawili yanayohusika na uendelezaji wa mafuta na gesi Tanzania. Tunaomba tubadilishie wakurugenzi wa hayo mashirika tuone mabadiliko katika sekta ya mafuta na gesi. Wakurugenzi wanakaa kwa muda mrefu sana, hapo inaweza kuwa ngumu kuona mabadiliko. Zoezi la...
  20. JamiiForums Tanzania Mawakili wamkataa Jaji Biswalo, wamuandikia barua Rais Samia

    Waanika tuhuma dhidi yake, wataka zichunguzwe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…