samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Askofu George John: Wote mnaomlaani na kumtakia mabaya Rais Samia haiwezi kumpata

    Wakuu, Askofu kalambishwa asali :Alien: "Kwa wale wote wanaotamka mabaya juu ya Rais, sikia: Hakuna neno lolote kwenye Biblia linalosema unaweza kumtamkia Rais neno lolote, wala kumlaani kwa jambo lolote, haiwezi kumpata. Haimpati! Jambo lolote baya halimpati Rais. Sasa kwa wale ambao...
  2. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Rais Samia wana matatizo ya akili

    Hivi kama serikali ingetaka kutumia ubabe wake kufanya haraka kesi ya LISSU kisha kumtia hatiani na kumnyonga nani angeweza kuzuia? Huyu Rais Samia ni Rais bora na mwenye busara . Ndiye aliyemrudisha LISSU baada ya kifo cha Magufuli. LISSU alikimbia nchini mara tu baada ya uchaguzi pindi...
  3. JamiiForums Tanzania Mna uhakika Rais Samia amesomea uchumi kweli?

    Huyu mama hata hesabu za darasa la pili zinamshinda Hivi kweli nusu ya laki moja ni 556? Hebu msikilizeni wenyewe Na bado anaendelea kukopa na hajui hata kuchagua maneno ya busara ya kujustify upuuzi wake Juzi tu katuambia Marekani mafuta lita moja ni dola 8000 sawa na Tsh milioni 20 😂😂...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Heshima Nigeria kwa mchango wake kwa Jamii na Ubinadamu

    Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (NSUK), umemtunuku shahada ya heshima ya udaktari Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, kwa mchango wao mkubwa kwa ubinadamu na jamii kwa ujumla. Akipokea Tuzo hiyo, Samia amesema "Napokea utambuzi huu kwa unyenyekevu mkubwa na shukrani...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha NASARAWA cha Nigeria, leo Aprili 11, 2026

  6. JamiiForums Tanzania Ujambazi umeanza tena Kisarawe je IGP na DC Magoti wanawasidiaje waathiriwa na je ni polisi wanahusika ?

    Kwako mh Rais wangu na IGP wetu na DC Magoti je ujambazi umeanza tena kwa mfumo wa ndani ya jeshi la polisi? Jana saa nne na nusu za usiku hapa makurunge kiluvya kisarawe kumetokea tukio la ujambazi kwenye bar nne tofauti watu hao ambao mmoja wao alikuwa amevalia mavazi ya polisi na redio call...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania haijawahi kupata Rais kama Samia

    Japo tuliwahi kuwa na baadhi ya marais wa hovyo kama Jakaya Kikwete, huyu wa sasa sina la kusema. Sijui kama anajua anachofanya kiumbe huyu. Mungu atusaidie ikiwezekane amkutanishe na Magu japo tupumue. Inakuwaje tugeuzwe koloni la koloni letu nasi tuangalie hata kushindwa kulalamika...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tizama Hapa: Rasmi Magari Yapunguzwa Katika Msafara Wa Rais Samia ili Kutimiza Ahadi Yake. Yatembea Katika Mfumo Wa Kikomandoo Na Kijeshi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Ni Mama wa Vitendo ,ni Mama anayetimiza anachoahidi na...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

    Eti katoa bei za dizeli na petroli soko la dunia akijaribu kunyoosha kauli za Rais. Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko wengine wooote tuliobaki! Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Safi sana Rais Samia, endelea kuwachezesha haters wako kalinyambariga hivyo hivyo

    Tena style hiyo ya kizenji ndo inapendeza zaidi, si unaona vidume vinavyopandisha mzuka na kufinga vibwebwe kabisa viunoni wakicheza?
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana elimu gani?

    Wakuu naomba kujuzwa Samia ana elimu gani Alisomea nini, wapi na alifikia level gani? Anayejua anisaidie
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali zifute hizi taasisi kwa manufaa ya umma

    1. Wakala wa vipimo (WMA). Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji. Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta bila aibu wanatuibia huku wakala wa vipimo upo tu . Wakala hii ifutwe haraka na watumishi wake wote...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nini kimebadili mwelekeo wa uongozi wa Rais Samia ulioanza kwa 4R?

    Katika miaka ya mwanzo ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan alionekana kubadili upepo wa kisiasa kwa kuonesha utashi mpya uliogusa moja kwa moja masuala ya demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mwelekeo wa kidiplomasia. Kauli na hatua zake za awali zilijenga taswira ya kufungua milango...
  14. JamiiForums Tanzania Kama nikisema Rais Samia ana NEPOTISM, nitakuwa nakosea?

    Je, Samia ana tofauti yoyote na Paul Biya aliyemteuwa mwanae kuwa makamu wa rais? Au Museveni mtoto wake mkuu wa majeshi mama waziri wa Elimu. Na hawa ni madikteta je Samia ana tofauti na hawa? Je Samia Hana undugunaizesheni kama mtoto waziri mkwe waziri je huu sio upendeleo wa kindugu?
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tarehe 29 Oktoba 2025 haitasahaulika. Ujumbe kwa Samia na CCM

    CCM na huyo Samia wao, wametenga hela nyingi kwa Content Creators ili wawe wanahoji mambo ya kijinga ili kuwasahaulisha watu Ugumu wa maisha, Ripoti ya CAG na Mauaji waliyofanya tarehe 29 Oktoba 2025 walipokuwa wanalazimisha kuongoza Nchi. Hii Video ni Ushahidi kwamba tarehe 29 Oktoba 2025...
  16. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na bunge ambalo sio rubber stamp. Rais Samia angeondolewa madarakani kupitia ibara ya 46A ya katiba ya JMT kwa kumteua Agela Kizigha

    Kwa ujumla raisa Ameqakosea wananchi ambao wanalipa kodi ili kulipa mishahara ya Wabunge na posho zao. Kama hili bunge lisingekuwa rubber stamp ilipaswa rais Samia aondolewe madarakani kupitia ibara ya 46A . Huwezi kuteua mtu ambae aaliiba pesa za watanzania masikini ambao hawana maji, shule...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nachoka Mimi; ujinga wa kishirikina umeenea lakini wasomi wa 'piechi di' wapo na serikali ya Samia tu.

    Na kale kambaumbau kao kule duniani kako bize na 'vimbavu' vyake eti "hizo ni drama tu kupotezea kupanda mafuta". Hivi wapi hakujapanda mafuta?!!!! Nyambaaaf
  18. JamiiForums Tanzania Majambazi hawana nafasi tena ndani ya majiji ya Tanzania. Samia kaweka vyuma vya kutosha kila kwenye makutano

    Kama wewe jambazi tafuta kazi nyingine tu. Kwa mfano, hapa Dar es salaam ukiifanya ujambazi huna pa kutokea sasa. Dk 5 tu watu wanakuzimisha na vyuma. Halafu hivi vyuma vingi vinatengenezwa hapa hapa. Ingawa wajinga bado wanadanganywa mara Abdul kaleta container la silaha, mara upuuzi gani...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana Na Wagombea Urais Wa Vyama Zaidi Ya 16 Uchaguzi Uliopita. Anyoosha Na kukunjua Mkono Wa Maridhiano. Wakoshwa na uchapakazi wake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaendelea kuonyesha na kudhihirisha kuwa yeye ni chaguo la Mungu Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na aliyepewa kibali na Mungu kuongoza Taifa letu. Anaendelea kuonyesha kuwa yupo kwa ajili ya ustawi...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt Samia kwa tuzo hii

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imemtunuku tuzo ya heshima ya udaktari bingwa bobezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa katika mageuzi ya huduma za Afya Nchini. Tuzo hiyo imetolewa kwenye hafla iliyowakutanisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…