samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, maeneo ya kufanya maridhiano ni mengi

    Waraka kwa Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan. Waraka huu nautuma kwa Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan kutokana na kuonyesha dhamira ya kweli ya upatanishi katika jamii ya watanzania. Mh Rais maeneo ya upanishi ni mengi sana kutokana na uonevu uliofanyika wakati wa Serikali ya awamu ya Tano. Eneo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi wa wote

    Katika Kuelekea kilele cha Siku ya wanawake Duniani, Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi Siku ya Maadhimisho hayo Yaliyoandaliwa na Bawacha (CHADEMA). Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alisema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa maadhimisho hayo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amualika nabii mkuu Geodavie Ikulu ndogo ya Arusha na kumpongeza

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana, Nabii mkuu...
  4. JamiiForums Tanzania Baraza la Biashara Afrika Mashariki lamshukuru Rais Samia kwa kuwapa ardhi

    Baraza la Biashara la Afrika Mashariki limemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukabidhi ardhi kwa baraza hilo yenye ukubwa wa hekta tatu. Hati miliki ya ardhi hiyo namba 4/2 iliyopo eneo la Mateves mkoani Arusha, ilipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa EABC, John Bosco Kalisa. Kwa mujibu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mwagize RC. Amos Makalla amsaidie mjane huyu, ni aibu kwa Serikali Yako!

    KUNA mambo yanafanyika nchi ambayo unaweza kuyakuta katika Banana Republic tu au "nchi ya kusadikika" isiyojali wala kuzingatia haki na misingi ya kisheria. Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiagiza wavamizi wa ardhi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa KIA mkoani Kilimanjaro walipwe fidia Ili...
  6. JamiiForums Tanzania Ili kupata Viongozi Bora baadae, Watanzania tujifunze kuwasoma watu kwa asili zao. Mjue Samia alivyo kwa asili yake

    Wanabodi, Humu JF, mimi najihesabu ni mmoja wa waalimu wa somo gumu kabisa kwa watu wa kawaida. Hili ni somo la kitu kinachoitwa "psychoanalysis" Kuijua psychoanalysis ni nini na ni ya kazi gani? tembelea hapa Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide...
  7. JamiiForums Tanzania Familia ya Hans Poppe kutinga kwa Rais Samia kudai mabilioni ya baba yao yaliyoporwa na Hayati Magufuli kwenye ‘plea bargain’

    Kama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani. Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya kodi kifungu 106(1) AC(1) cha income tax sura 332 REF 2008 Wakati Aveva na kaburu wanakamatwa Hans...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia kutoa kauli ya "Mwanaume ni yule anayejiamini" ni kijembe Kwa Hayati Magufuli?

    Rais Samia ametoa kauli yenye utata mkubwa, wakati wa ziara yake huko Usa River, Arusha, hapo majuzi. Wakati akitoka kwenye semina elekezi ya viongozi waandamizi huko Arusha, alitoa kauli hii wakati anazungumzia ujio wa Godbless Lema, hapa nchini, kuwa "Mwanaume ni yule anayejiamini" na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Raisi Samia anatumia akili kukuza uchumi na sio hisia binafsi

    Namshukuru Raisi Samia kwa kutumia akili na maarifa kukuza uchumi wetu bila kuweka mbele hisia binafsi. Hisia binafsi ni pamoja na kuweka ukanda, ukabila na uchama mbele ya Tanzania kwa ujumla wake. 1. Kitendo cha kuelewa katiba ni muhimu kwa uchumi wetu. Hasa kwenye sheria za kibiashara na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kitakachofuata kwa Mdee na wenzake baada ya Rais Samia kuhudhuria mwaliko wa kongamano la BAWACHA, kitawaumiza sana CHADEMA

    Keshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA. Kwa mtazamo wangu Jambo hilo sidhani kama litawezekana Mhe.Rais kuhudhuria. Kwanza Kongamano hilo litafanyika Kilimanjaro hivyo uwezekano...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kutatua migogoro ya kisiasa

    Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani alikuta nchi iko katika hali mbaya ya kisiasa lakini aliamua kuunda nguzo 4 (4R) ambazo zitamsaidia katika kuiongoza Tanzania ambazo ni Reconcilation (Maridhiano) Resiliency (Ustahimilivu) -Reforms (Mabadiliko) -Rebuilding (Kujenga Upya) Kweli tunaona...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bodaboda ni watoto wangu nitakwenda nao 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema anatambua kundi la vijana waliojiajiri kupitia bodaboda na yuko tayari kwenda nao mpaka 2025. Rais Samia Suluhu alizungumza hayo aliposimama kuzungumza na wakazi wa Usa River wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Vijana hao wa...
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji atoa wiki 2 kwa mkurugenzi, Rais Samia apigilia msumari ''hi kero nisiikute''

    ENG. MARYPRISCA MAHUNDI - NAIBU WAZIRI WA MAJI ATOA WIKI 2 KWA MKURUGENZI, RAIS SAMIA APIGILIA MSUMARI ''HI KERO NISIIKUTE'' Mhe. Eng. Mahundi akiwa Usa River Ausha amesema kuwa Wizara ya Maji imepeleka neema ya miradi ya Maji ili kutimiza dhamira njema ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Halima na wenzake 18 kuambatana na Rais Samia mkutano wa BAWACHA?

    Najaribu kufikiri kwa kina kuhusu maamuzi haya mawili. Moja ni uamuzi wa chadema kupokea ruzuku inayotokana na wabunge haramu (covid-19). Tafsiri ya uamuzi huu ni kwamba Sasa chadema inawakubali na kuwatambua rasmi covid-19. Je, Halima Mdee na wenzake wakiomba kuhudhuria kongamano...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Gentle Lady Samia Suluhu Hassan: Tanzania's first female president, 2023

    “If President Samia does what she has promised to do, she is going to be the most transformative figure in the history of Tanzania besides the founding father of the nation Mwalimu Julius Kambarage Nyerere who led the struggle for the Independence of Tanganyika and led the country to be the...
  16. JamiiForums Tanzania Semina ya viongozi wa Rais Samia ilikuwa ni ufujaji wa fedha za wanyonge!

    Labda kama walikua wanajipongeza kwa namna wanavyokula kulingana na Kamba zao. Hayati Magufuli (JPM) hakuitisha cha Semina wala nini, lakini watu walichapa kazi, Pesa zilitokewa na kufika, Kwa JPM ulikua ukila Pesa yake utaitolea kwenye Tundu lolote la mwili wako. Kwa JPM watumishi wabovu...
  17. JamiiForums Tanzania Zaytun Swai amuomba Rais Samia mashamba yafufuliwe ili kuinua uchumi wa Arusha

    MHE. ZAYTUN SWAI AMUOMBA RAIS SAMIA MASHAMBA YAFUFULIWE ILI KUINUA UCHUMI WA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum CCM - Arusha na Mjumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge Mhe. Zaytun Swai amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufufua Mashamba ya Maua na...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenendo wa siasa za CHADEMA na Rais samia kupitia CCM. Nani anapoteza nani anapata kati ya CDM na CCM?

    Simple sana. Anayepatia ni CDM, anayepoteza ni machawa wa CCM wala sio CCM. Hii ni kama kusema mwenendo wa siasa hizi ni CDM vs Machawa wa CCM. Kuna uzi humu nimeandika kwamba, adui mkubwa wa CDM ni Polisi na wala sio CCM. Polisi kwa namna nyingine tunaweza kuwaita ni machawa wa CCM...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni binadamu mwenye dalili zote za kutufikisha nchi ya ahadi. Mkimpuuza huyu itapita miaka 100 hajapatikana mwingine!

    Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani. Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa usafirishaji (Bodaboda) wakimsindikiza Rais Samia Arusha

    Msafara wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa Jijini Arusha wakisindikiza Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akielekea Usa River kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya Mkutano wa Faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri Chanzo: Ikulu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…