samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Hayati Magufuli bado hawajaamini kikamilifu kuwa alishafariki na siasa zake nyingi zinazikwa na Rais Samia

    Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu. Hao...
  2. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Samia ni Rais bora ambaye hajawahi kutokea Tanzania

    Kupitia kwenye ukurasa wa Twitter, aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Godbless Lema ameandika: “Mh Rais SSH kama akiendelea kujenga Demokrasia yenye sura hii kutoka Moyoni mwake bila hila, bila shaka anaweza kuja kuwa kati ya Rais bora kabisa Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi haya ndiyo Mafanikio Kuntu ya Rais Samia kwa hii miaka yake Miwili Madarakani

    1. Kiwango cha Ujinga ( Ungumbaru ) kwa Wananchi wa Taifa lake Kuongezeka. 2. Utamaduni wa Visasi na Chuki kwa Waliokuchukia na Usiowapenfa Kuongezeka. 3. Kiwango cha Elimu Kushuka na kuwa ICU huku Ufaulu wa Kisiasa kwa Wanafunzi Kuongezeka. 4. Kiwango cha Wanaume wengi kupenda kuwa kama Dada...
  4. JamiiForums Tanzania Tokea Rais Samia aingie Madarakani Dar haijawa na hii Mvua Kubwa, ila Leo kaadhimisha Miaka yake Miwili tu it is raining cats and dogs

    Kuna nini labda Kimejificha hapa? Je, hii Mvua inamuadhimisha Hayati Dk. Magufuli kwa Kifo chake Miaka Miwili iliyopita au ni Mvua ya Kuonyesha kuwa Mama ( Rais Samia ) ana Baraka na sasa Tozo, Mikodi, na hali ngumu ya Maisha iliyoko ndiyo inaenda kuwa Historia? GENTAMYCINE nimekaa pale kusoma...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona utani baada ya Simba kushinda 7-0, waambieni fedha bado zipo tupieni magoli wavuni

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
  6. JamiiForums Tanzania Juliana Masaburi: Miaka Miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan Imekuwa ya Baraka kwa Taifa

    Mbunge wa Viti Maalum CCM Vijana Taifa anayetokea Mkoa wa Mara Mhe. Juliana Masaburi amepongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani hasa akijikita kwa kuelezea miradi mbalimbali ya kimaendeleo iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa na Serikali kwa kipindi cha Miaka Miwili ya Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia wakati ukisheherekea Miaka yako Miwili hiki ndicho anachokisema Mwamposa Kanisani Kwake sasa...

    "Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo. Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake...
  8. JamiiForums Tanzania Salamu za pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

    Njoo kwenye hoja. Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia. Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Saudi Arabia kuwaleta wawekezaji

    WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan nchini Saudi Arabia, imeanza kuleta matunda. Waziri Ulega ameeleza kuwa kufuatia ziara hiyo, mamia ya wawekezaji Saudi Arabia wameonyesha nia ya kutaka kuwekeza katika sekta ya mifugo na uvuvi nchini...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia amegusa mioyo ya Wamarekani - Balozi wa Marekani, Tanzania

    Marekani imeahidi kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika kuimarisha uchumi na maendeleo ya wananchi kwa kutoa fedha na ujuzi pamoja na kuvutia uwekezaji kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi. Ahadi hiyo imetolewa na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle alipokutana na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hizi pongezi Kwa Rais Samia zina nini nyuma yake kama sio kumbeza na kutweza utu wake?

    Imezoeleka Rais Mpya aliyeko madarakani kuadhimisha siku 100 Ikulu, utaratibu ambao nchi nyingi zimeiga kutoka Marekani. Baada ya hapo Rais anaachwa kuchapa kazi. Hata Joe Biden baada ya zile siku 100 hatukusikia tena akipongezwa Kwa mwaka mmoja au miwili au vinginevyo. Siku 100 imewekwa...
  13. JamiiForums Tanzania Exaud Kigahe apongeza Miaka 2 ya Rais Samia Madarakani kwa aliyoyafanya Jimbo la Mufindi Kaskazini

    Naibu waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara nchini na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud S.Kigahe amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023 Mhe.Exaud S.Kigahe amesema...
  14. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Rais anayefuata baada ya Samia?

    Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!! Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaendeleza mazuri yaliyoanzishwa na Hayati Magufuli

    Leo ikiwa ni kumbukizi ya Hayati Dkt. Joseph Pombe Magufuri, Rais Samia Suluhu amemtakia pumziko la amani na amesema anaendelea kuendeleza yale yote mazuri yaliyoachwa na uongozi wa Awamu ya tano. Miaka 2 tangu magufuri aondoke na ikiwa ni miaka 2 tangu Rais Samia Suluhu ashike madaraka tumeona...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  17. JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Rais Samia Arusha inapiga hatua kubwa kubwa sekta ya afya

    Katika miaka miwili ya uongozi wa Rasis Samia Suluhu Hassan mengi yamefanyika katika mkoa wa Arusa lakini nimefurahishwa na yaliyofanyika katika sekta ya afya. Kwa uchache mambo hayo ni pamoja na: Katika sekta ya afya, Mkoa wa Arusha umeongeza vituo vya kutolea huduma za afya kutoka 383 kutoka...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuna matapeli wanakudanganya na kukuficha juu ya ukweli halisi wa shida za Watanzania Afrika Kusini

    Mama najuwa unaingia JF, wewe ni muungwana sana kwenye ziara yako South Africa umewaita viongozi wa TACOP kupitia balozi Milanzi kwa niaba ya Watanzania wote wanaoishi Afrika Kusini. Lakini cha kusikitisha viongozi hawa waliowakilisha badala ya kuja kuwakilisha wamegeuka machawa hata suti zao...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia kagusa Watumishi kwa Mikopo ya Elimu nchini kuanzia Vyuo vya kawaida, Kati na Vyuo Vikuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kurahisisha ugumu wa maisha Kwa watumishi. Mnamo tarehe 14.3.2023 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ikishirikiana na benki ya NMB wameanzisha mfuko uitwao Elimu Loan. Mfuko huu utatoa mikopo kwa riba ya 9%, hii...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

    Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli. Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake? Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…