samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Waziri Mkuu wanunua tiketi 4000 mchezo wa Tanzania vs Uganda

    Picha: Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wamenunua jumla ya tiketi 4,000 za mechi ya kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania na Uganda. Tiketi hizo zitagawiwa kwa mashabiki ili waende kushuhudia mechi hiyo itakayochezwa uwanja...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia anaibeba sekta ya michezo, TFF wanaturudisha kwenye migogoro ya enzi za FAT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu amejipambanua kuwa mpenda michezo na amekuwa mara kadhaa akiunga mkono sekta hii kwa vitendo akitoa hamasa na zawadi mbalimbali kwa michezo tofautitofauti. Tumeshuhudia Serikali yake ikiondoa kodi katika nyasi bandia ili kuboresha viwanja...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Shonza: Miaka Miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan Imekuwa Chachu ya Mafanikio kwa Taifa

    MBUNGE MHE. JULIANA DANIEL SHONZA - "MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IMEKUWA CHACHU YA MAFANIKIO KWA TAIFA Mbunge wa Viti Maalum CCM Wanawake (UWT) anayetokea Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza amempongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akijikita kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani wanamsifia Rais Samia au CCM?

    WanaJf salaam! Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha ashinde nafasi za Ubunge na Urais. Wakati huo upinzani umeshamuona kama kiongozi mwenye msimamo wa kadri...
  5. JamiiForums Tanzania Wanafunzi, Wazazi wamlilia Rais Samia kuhusu matokeo yaliyofutwa

    Wanafunzi 140 wa shule ya sekondari Thaqaafa ya jijini Mwanza waliofutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka jana wamemwomna Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati kwa kuziagiza mamlaka husika kuwapa fursa ya kurudia kufanya mitihani ya kidato cha nne. Wakazungumza na waandishi wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndio Magareth Thatcher wa leo, Mwanamapinduzi na Mwanamageuzi wa kweli

    Mihula mitatu ya uongozi wa mwanamama shupavu aliyekuwa Waziri mkuu wa Uingereza Magareth Thatcher kutoka 1979-1990 ilihitimishwa kwa mabadiliko makubwa nchini Uingereza. Ni misimamo yake mikali iliyopelekea akapewa jina la 'The iron Lady' Historia ya Margareth Thatcher ni ya kusisimua sana...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanasema Rais Samia anaendelea kuvunja rekodi

    Tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu aliahidi vitu vingi na akasema yeye amekuja na nguzo nne zitakazomuongoza katika uongozi wake ambazo ni Maridhino, Ustahimilivu, Mabadiliko pia Kujenga upya. Tumeona amezifanyia kazi nguzo zote nne na sasa yuko katika ujenzi wa Tanzania mpya. Rais Samia...
  8. JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa CAG 2021: Halmashauri zilizopata Hati Mbaya zimepungua

    Mwaka wa fedha 2020/21 Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kuhusu ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonesha kuimarika ikiwa ni kielelezo kuimarika kwa usimamizi wa fedha katika ngazi hiyo. Halmashauri zilizopata Hati...
  9. JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Rais Samia: Halmashauri zavuka malengo ukusanyaji mapato

    Katika miaka miwili ya uongozi wa awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Halmashauri nchini zimevuka malengo ya makusanyo ya mapato yaliyowekwa. Mwaka 2021/22 halmashauri zilikusanya mapato ya ndani ya Sh bilioni 888.7 kati ya Sh bilioni 863.86...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali pitia huku uokoe maisha ya mwananchi wako anaepambana kuokoa uhai wake

    Rais wetu, kwa heshima na taadhima napenda kutanguliza salam zangu za dhati kwako na kwa Watanzania wote, waliopo humu na wale wasiokuwepo humu nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia leo katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao yetu ya kijamii ili kupata habari mbali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani

    ~ Tozo kandamizi. ~ Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani. ~ Maisha kupanda bei, leo hii kula mlo mara mbili ni anasa. Maana maharage tu ni Tsh. 3,000. ~ Kufutia mafisadi makosa huku wasio na urafiki nae wakisota gerezani ~ Ndege za waarabu kushusha makontena hifadhi za taifa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya Samia ukwasi mabenki waongezeka

    Wadau wa huduma jumuishi za kifedha nchini wamesema diplomasia ya uchumi imeongeza uwekezaji na ukwasi katika benki mbalimbali kutokana na kuongezeka kwa mzunguko wa fedha. wamesema wawekezaji wapya na wafanyabiashara wa ndani wameongezeka imani yao ya kuhifadhi fedha katika benki hivyo kuongeza...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini inatumika "Mama Samia" badala ya Rais Samia?

    Jina lake Samia; kwanini aitwe mama Samia, badala ya kuitwa Rais Samia? Maana ukisema mama inasimama badala ya mama yake, au mume wake angeitwa Samia (Mrs).
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo linasahaulika kuhusu Rais Samia

    Mambo mengi yametajwa kuhusu mafanikio ya Mhe. Samia Suluhu Hassan katika miaka hii miwili, lakini kuna jambo kubwa sana ambalo bila kulisema hayo mengine yote ni bure na hayana maana. Ni kuhusu kujenga FAMILIA. 1. Rais ameunganisha familia- Watu wengi walikuwa magerezani, mahabusu...
  15. JamiiForums Tanzania Tumpongeze Rais Samia, lakini tusiache kumshauri na kumkosoa

    Rais leo hakika umekonga nyoyo za wengi kwa kukabidhi shamba darasa kwa vijana ambapo umefanikisha lengo la kupunguza tatizo la ajira na hata itapelekea kutowesha tishio la njaa nchini na Afrika Mashariki. Kwa dhati nampongeza waziri Bashe kwa kusimamia hili kwa mafanikio makubwa. Jambo la...
  16. JamiiForums Tanzania Je, zawadi za pesa kwa magoli zinakiuka kanuni za CAF?

    Leo kuna jambo nilikuwa nafuatilia na katika kupekuapekua huko mitandaoni, nikawa napitia kanuni na sheria za mashindano ya CAF nikakutana na kitu kilichonifanya nijiulize maswali kuhusiana na zawadi za magoli za Muheshimiwa Rais Samia Hassan. Katika document ya CAF inayoitwa "Regulations of...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 kutoka kwa Barick Gold Mine

    Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 (Bilioni 70) kutoka kwa Barick Gold Mine kwa ajili ya ujenzi madarasa nchi nzima hasa kwa ajili ya Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 watakaoanza masomo katika muhula ujao wa masomo Rais Samia ameeleza kuwa kwa sasa wanafunzi watakaomaliza masomo...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia fanya maridhiano pia na "Umoja Party", usidanganye kuwa kimekufa

    Kinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono. Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya kujenga chuki na waasisi wa Umoja Party inayoendelea nchini kutafuta wadhamini Ili hatimaye kipate...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia ikitokea Timu za Ihefu FC na Gwambina FC zinacheza Kimataifa utaendelea Kununua Magoli kwa Tsh Milioni Tano?

    Nasubiri jibu lako Mheshimiwa Rais hasa nikijua kuwa huwa Unanisoma GENTAMYCINE na Wengineo hapa JamiiForums na Kuburudika nasi vile vile. Hongereni pia Vilabu vya Simba na Yanga kwa ama Kutokujua Kwenu au kwa Uzwazwa wenu Kukubali kuwa Mali ya CCM na Serikali.
  20. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Hayati Magufuli bado hawajaamini kikamilifu kuwa alishafariki na siasa zake nyingi zinazikwa na Rais Samia

    Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu. Hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…