samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

    Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
  2. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani kamdanganya Samia kinga ya Rais inamuhusu?

    Samia amekua delussional hadi hajui anazidi kujikaanga hata CCM watamkataa
  4. JamiiForums Tanzania Je, unaouna na kuutathmini vipi utawala wa Samia?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Nakaribisha wote. Waje na sababu za maoni na misimamo yao tuelimishane, kujuzana, na tunufaishane kiakili ili tuelewekeke na kujikomboa. Hii, itakuwa ni onyo na somo kwa mlengwa na watu wake. Pia, ni fursa ya kujitathmini, kujirekebisha mbali na kujua ukweli hata uwe...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia afuta vibali vya wawekezaji wageni uchwara wa Madini na kuwapa Vijana wazawa wa BBT Madini

    My Take Pamoja na uamzi huu mzuri wa kuwapatia fursa Vijana wa zawa Vitalu vya Madini lakini Machadema yataanza kutukana hovyo badala ya kupongeza kama Afrika nzima inavyompongeza Rais Samia Kwa uamzi wa kishujaa na kizalendo. https://www.instagram.com/p/DXMc7YtDEjQ/?igsh=YTFkODFzZnhsbGF4
  6. JamiiForums Tanzania TAMISEMI ya SAMIA kama hamtashughulika na Majizi yaliyopo Halimashauri ya BUTIAMA , Hospitali Mpya ya Wilaya ya BUTIAMA Haitokaa Kumalizika Ujenzi

    Mimi ni Chadema Damudamu, na kama ambavyo Chama Changu hakiitambui Serikali hii ilotokana Uchaguzi Haramu !! Kuna Wakati kama Mtanzania Unaumia na kutoa Machozi !!. Ukamilashaji wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya BUTIAMA , Sulihisho sio Kubadilisha Ma DMO , Ma DMO mtabadili sana na Kila...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi zote ni propaganda za CCM tu na chawa wao. Behind the scene, Samia alisha - surrender kitambo kwa mwamba Tundu Lissu. Fuatilia mjadila👇🏻

    Wote nimewaelewa Ila kuna mmoja hajamuelewa Mwingine kwako MangeKimambi na kaka @HecheJohn Tusiwape Mwanya CCM kupata upenyo wa kutugawa kupitia nyufa za Majadiliano ya namna ya tunavyojadili masuala, Kwa namna yeyote ile @TunduALissu Lissu lazima awe out na ndo suala muhimu! Tunajua...
  8. JamiiForums Tanzania Maridhiano bila katiba mpya ni kuendelea kuwapa ulaji CCM ya Samia na akina Kizigha

    Italifaa vipi taifa letu kuwa na maridhiano na Lissu akawa nje bila kuwa na katiba mpya? Tunapaswq kuwa na katiba ambayo Rais akitumia vobaya madaraka yake kwa manufaa yake,. rafiki zake na ndugu yake aweze kuwajibishwa. Hata kama Lissu atatoka na kuwa huru. Lakini kama hatuna katiba ambayo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Tunduru wapinga mpango wa Rais Samia kubana matumizi hasa kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Baraza jipya la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru lipo Mkoani Katavi kwa siku tano kujifunza kuhusu hewa ukaa. Madiwani wote zaidi ya 60 na wakuu wa idara watakuwa nje ya halmashauri kwa zaidi ya wiki moja kwaajili ya safari hiyo. Tsh Milioni 1.8 italipwa kwa kila diwani katika...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akifungua Mkutano Wa Pili Wa Kimataifa Wa WFNS, Aprili 16, 2026, Dar es Salaam

    https://www.youtube.com/live/zvViP7gngNM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Shirikisho la Dunia la Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu, tarehe 16 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufungua mkutano wa pili wa kimataifa wa shirikisho la dunia la madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: www.ikulu.go.tz #TanzaniaYetuSote #NchiYetuKwanza #MaendeleoEndelevu
  12. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanapenda Samia, Nchimbi na Mwigulu wagombane na wasiaminiane, waepukwe kama ukoma

    Kuna watu wanavizia kila kitu anachoongea Samia kama Rais, Nchimbi kama makamu wa Rais na Mwigulu kama Waziri Mkuu wa Tanzania na kukigeuza ili ionekane kana kwamba Samia, Nchimbi na Mwigulu hawapo pamoja, lao sio moja na hawaendi njia moja. Hizi ni siasa za bei rahisi sana za watu waliochoka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chadema wakae na Rais katika ufumbuzi wa Tundu lissu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi matamko ya Samia yatatolewa ufafanuzi mpaka lini?

    Ni ngumu sana kumsikiliza Samia kwa dakika 20-30 bila kutoa boko kwenye hotuba zake Ni ngumu kumsikiliza bila kuchukia Na ni ngumu sana amalize kuhutubia bila kuja kutetewa au maneno yake kutolewa ufafanuzi na watu wengine. Kiukweli Watanganyika tumeula wa chuya awamu hii.
  15. JamiiForums Tanzania Kauli tata za Emmanuel Nchimbi vs Samia na kauli tata za Jakaya Kikwete vs Magufuli wakimnukuu baba wa taifa

    Miaka kadhaa iliyopita Kikwete akiwa mstaafu aliwahi kualikwa kwenye kigoda cha Mwalimu na wakati huo Magufuli akiwa Rais. Kikwete aliongea mambo ya kujimwambafai na ubabe kauli ambazo zilionyesha moja kwa moja kumnanga aliyekuwa Rais Magufuli kutokana na ubabe aliokuwa nao. Kikwete kamwe...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanatukana ili kuhalalisha mikataba yao ya kufugwa, walimtukana sana Rais wa awamu ya 5 alipokufa wakahamia kwa Rais Samia

    'Ndio maana wao huwa wanahama tu na awamu. Awamu ya nne walikuwa wanatukana Rais wa awamu ya nne. Alikuwa hawajibu, anaendelea na kazi yake. Alivyomaliza tu, wakahama, wakahamia kwa Rais wa awamu ya tano. Bahati nzuri teknolojia inatunza: hakuna Rais katika rekodi ya nchi yetu aliyetukanwa kama...
  17. JamiiForums Tanzania Kupeleka 1.2 Trilion kwa ajili ya kuibomoa na kuijenga Muhimbili ni kumuhujumu Rais Samia

    Nafasi ya kumshauri Rais, ni nafasi adhimu inayobeba dhima kubwa kwa Taifa. Wananchi wanayo matarajio kuwa wenzao waliopata fursa ya kuwa washauri wa Rais wao, wanafanya hivyo kwa weledi, uadilifu na uzalendo wakitanguliza maslahi ya Taifa Mbele. Siamini hata kidogo kwamba wizara ya afya ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Askofu George John: Wote mnaomlaani na kumtakia mabaya Rais Samia haiwezi kumpata

    Wakuu, Askofu kalambishwa asali :Alien: "Kwa wale wote wanaotamka mabaya juu ya Rais, sikia: Hakuna neno lolote kwenye Biblia linalosema unaweza kumtamkia Rais neno lolote, wala kumlaani kwa jambo lolote, haiwezi kumpata. Haimpati! Jambo lolote baya halimpati Rais. Sasa kwa wale ambao...
  19. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Rais Samia wana matatizo ya akili

    Hivi kama serikali ingetaka kutumia ubabe wake kufanya haraka kesi ya LISSU kisha kumtia hatiani na kumnyonga nani angeweza kuzuia? Huyu Rais Samia ni Rais bora na mwenye busara . Ndiye aliyemrudisha LISSU baada ya kifo cha Magufuli. LISSU alikimbia nchini mara tu baada ya uchaguzi pindi...
  20. JamiiForums Tanzania Mna uhakika Rais Samia amesomea uchumi kweli?

    Huyu mama hata hesabu za darasa la pili zinamshinda Hivi kweli nusu ya laki moja ni 556? Hebu msikilizeni wenyewe Na bado anaendelea kukopa na hajui hata kuchagua maneno ya busara ya kujustify upuuzi wake Juzi tu katuambia Marekani mafuta lita moja ni dola 8000 sawa na Tsh milioni 20 😂😂...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…