Habari wana JF
Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani.
Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu.
Mfano:
•Hivi mna pump za Pedrollo?
•Mna taa za Tronic?
•Mna pipes za PVC?
•Mna switches za umeme?
•Mna...
Sina lengo la kujisifu ila nahitaji msaada wa kisaikolojia au kitu kama hicho.
Nilikuwa mtu wa ku share ideas ila watu wengi walikuwa wanazikataa kuwa hazifikiki au ni malengo makubwa kuliko uhalisia. So nikaamua kuto share chochote na watu zaidi nafanya mwenyewe kwa pace yangu.
So huwa public...
Hivi ili linaweza kuwa tatizo gani la saikolojia?
Mtu kuwa uuongo sana yaani anadanganya kupitia kiasi. Kushindwa kujitambua ( yaani kuwa mtu ambaye anashindwa kudadavua mambo yake mwenyewe au kujisimamia )
Kuwa mtu mwenye wivu wa kupita kiasi, Mchonganishi, Mpenda sifa sana na kuongea kupita...
Unakuta gari fulani wamiliki wake ni walevi kinoma ukienda kwenye kumbi za starehe unazikuta kibao zimepaki na wanajuana wakikutana stori zao ni bata na kufuta kisahani.
Ukiwa road ukakutana na bike ya Sinoray kaa kijanja Hao ni machalii wa chuga wazee wa michezo muda wowote anakuchomekea...
Matapeli wa kisasa ni wahandisi wa akili (psychological engineers) au manipulators . Hawaji kuiba pesa zako mara moja; badala yake, wanajenga mazingira ambayo wewe mwenyewe utawapa pesa kwa hiari yako.
Hivi ndivyo wanavyotumia saikolojia kumnasa mtu:
1. Kukuvutia na Maisha ya Ndoto zako (The...
Sifahamu kama aliyoyasema leo kwenye mkutano wa wazee wa dar ameandikiwa ama ameyatoa kichwani mwake?
Kwa vyovyote vile inaonekana aliyafanyia mazoezi ya siku kadhaa kabla ya kuzungumza.
Kwa sisi wenye "jicho la tatu" ni rahisi sana kubaini hofu iliyopo katika matamshi yake.
Kwa juu...
Mpo salama!
1. Nimekuwa miongoni mwa walioiona Clip inayomuonyesha mtu aliyejitambulisha kwa jina la Agustino Polepole. Ambaye mwenye anasema ni ndugu wa Humphrey Polepole.
2. Tangu imeripotiwa na kudaiwa Humphrey Polepole amepotea ndipo Mtu huyu alipojitokeza. Na watu wengi tumemjua kuanzia...
Siri za Saikolojia: Mbinu 5 za Kuwashawishi Watu Bila Wao Kujua
Umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu wana uwezo wa kuwashawishi wengine kwa urahisi? Sio kwa sababu wanatumia nguvu, bali wanajua siri za saikolojia ya binadamu. Kuelewa mbinu hizi kunaweza kukusaidia katika biashara...
Nimekuwa nikijiuliza sana hili suala la mtu kutamani kuoga matusi katika akaunti zake za mitandao ya kijamii huwa linatokana na nini?
Kuna hawa vijana wawili wa timu moja kubwa hapa nchini,mmoja ana mwanya na mwingine alionekana kulia kwenye arusi ya rafiki yake.
Huyu mwenye mwanya hawezi...
Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi.
Bwana Patrick Simon ndiye aliyekuwa mkuu Wa Kitengo alifeli sana Kwenye kesi nyingi za Yanga mpaka siku za karibuni akaamua ang'atuke.Ipo Mifano kama Kesi za Kina Morrison kule CAS na rufaa ya...
Je, kuteka raia wasio na hatia, kuwaua wanaharakati wa haki za binadamu, na kusaka watu kwa sababu tu wamekosoa mfumo dhalimu ni halali? Hivi tumefikia hatua ya kuwa taifa ambalo linaogopa hata kupumua kwa uhuru? Taifa ambalo linahitaji kibali hata kwa fikra huru? This is the psychological...
SAFARI YA AKILI HURU: Mwaliko wa Kufikiri kwa Uhuru
Na: Mwandishi Wako
Swali hilo, japo rahisi kwa matamshi, linatetemesha msingi wa maisha ya kila mmoja wetu. Lakini kwa bahati mbaya, wengi wetu hatupendi kujiuliza. Tunashughulika, tunakimbizana, tunatii... ila hatufikiri.
Karibu sana...
Nina kijana mwenye miaka 18 sasa hivi yupo form four, anasoma day yaani kwenda na kurudi nyumbani.
Changamoto yake si mtu wa kueleweka anapoongea. Anaweza ongea vitu viwili vinavyokinzana na bado yeye anaona yuko sawa. Kifupi yaani hawezi hata kuevaluate logic.
Mfano: umeenda shule
Yeye...
Aisee nyiee!!
Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana
Cha pili...
Salaam sana Wakuu
Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi imepelekea woga mkubwa kwa baadhi ya wengi wetu.
Ndipo kwenye tafakari yangu nikaona NIANZISHE HUU UZI kwa...
Habari ya mchana
Kuna jamaa amenisaidia sana kwa ushauri uliobadilisha maisha yangu baada ya kutengana na mke wangu miaka kadhaa iliyopita na kupata weweseko kidogo. Nimeona nishee maelezo haya ili kama Kuna mtu anayepitia mateso ya kisaikolojia basi aweze PATA nafuu. Sina maslahi na huyu mtu...
Tumeona mada nyingi ambazo watu wakieleza au kupitia kuhusu jinsi maisha ya utafutaji kuwa ya mekwenda ndivyo sivyo,kukosa ajira,kushindwa kuoa au kuolewa n.k.
Hii bullying niliyotaja kwenye kichwa cha habari si rahisi miaka ya 90 kushuka kukutana nayo ila kwa sasa ndio inazidi kukuwa kama...
Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.