Nchi hii imekuwa na shida sana tunasifia watu kwa jinsi wanavyofanya ziara au kuongea majukwaani, hizi siyo njia sahihi. Tunatakiwa kuwapima kwa matunda.
sasa nasikia kila kona watu wanamsifia Bashe ni bora tuweke vigezo sahihi vya kumtazama na hivyo vigezo ni kupima ameleta mabadiriko gani...
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.
Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini...
Ukiingia Jamhuri ya Twitter utakutana na Mwanamke Mmoja akilalamika kwenye chombo flani cha habari kuhusiana na suala lake la kuachwa siku ya Ndoa.
Ukimsikiliza utagundua William alikuwa sahihi kabisa. Yule dada anaonekana kabisa ni kimeo. Kiukweli nampongeza William alijitahidi sana kumvumilia...
RAIS Samia Suluhu Hassan, ameamua kulikabili sakata la mgogoro wa mafuta kwa kutoa maelekezo ya kujibana katika matumizi ya ndani ya Serikali. Kwa nini hii ndio njia sahihi? Nitaeleza;
Wapo waliopendekeza kuondoa tozo mbalimbali kwenye mafuta ili bei ipungue. Ni mawazo lakini msaada wake upo...
Wakuu nimetuliza sana akili na kufikiria kauli ya Mbowe kwamba alimwomba aachie ubunge kwa madai kwamba tayari alishamtafutia ajira ya kulipwa USD 15000 kwa mwezi. Kuna maswali kadhaa nimejiuliza nikaona nilete thread hapa huenda tukapata majibu yaliyojaa facts toka kwa wafuasi wa Chama Cha...
Bilionea Musk amesema kitendo cha mtandao wa Twitter kumfungia maisha aliekua rais wa Marekani Bw. Trump kwenye mtandao huo ilikua ni makosa makubwa na ameahidi akikamilisha mchakato wa kuinunua Twitter anamfungilia Trump.
Bw. Musk yeye anajiita muumini mkubwa wa uhuru wa kujieleza usio na...
Katika moja ya mambo ambayo huumiza kichwa ni mzazi kufanya maamuzi ya shule ipi binafsi apeleke mwanae kwa masomo ya O level na A level.
Tuweke taarifa au swali kuhusu ada na ubora wa shule na pia michango.
Naanza kuuliza shule ya Kaizirege, Cannosa na Marian Boys
Yawezekana mimi ambaye sijawahi kupitia chuo cha uongozi "Uongozi Institute" sijui namna bora ya kuongoza lakini kwa busara tu za kawaida siyo sahihi kabisa kwa waziri mkuu kumkaripia mkaguzi wa ndani wa MSD.
Ilitakiwa waziri mkuu kuonyesha ukali kwa waziri wa afya, na kuhoji haya yanatendeka...
Habari za leo ndugu zangu katika imani?
leo naomba kujua uhalali wa watoto kutoa sadaka unakujaje.
mtoto ana chanzo gani cha kipato mpaka atoe sadaka?
Maana halisi ya sadaka ni nini hasa?
Mada yangu ni hio wazee
Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi
Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada?
Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote
Hivi Kocha mwenye Akili Timamu unawezaje kuwaanzisha Wachezaji Waandamizi na waliotumia Nguvu Kubwa katika Derby badala ya Kuwatumia wale wasiokuwa na Nafasi na ambao hata Kiufundi tu Mechi hi ndiyo ingewafaa?
Hivi leo Pablo Franco Martin angeanza na Kikosi hiki nani angemlaumu hata kama...
Rais Samia akiongea na waandishi wa Habari leo amekataa kuwa watanzania hawatumii chini ya dola moja kama inavyolipotiwa ambapo ametumia kabila la wahadzabe kama kabila la chini ambao wanaishi kwa kula matunda na asali ambayo hawanunui. Hivyo ukiweka kifedha inawezekana wanatumia gharama kubwa...
Huenda mimi ndio sielewi basi nielimishwe, lakini kwa upeo wangu mdogo ninavyojua mimi hizo channel ITV, eatv, clouds na channel ten ni FTA channels sasa inakuwaje kifurushi cha Dstv kikiishia wanakuachia Tbc peke yake?
Mimi nina king'amuzi pia cha Star times hawa air time ikikuishia free...
WEKA UTAYARI KWA KILA MTU, SIKILIZA MAWAZO NA USHAURI WAO KWAKO LAKINI KUFANYIA KAZI NI UAMUZI WAKO.
Kwa nini ni vizuri kumsikiliza kila mtu?
Zipo sababu nyingi mno za ni kwa nini ni vizuri kumsikiliza kila mtu lakini sababu kubwa ni ukweli kuwa kila mtu kuna wakati anakuwa sahihi katika mawazo...
Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150.
Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu?
Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma...
Nimefuatilia mijadala ya Wabunge wiki hii; wengi wa waheshimiwa Wabunge wanatetea hatua zilizochukuliwa ikiwemo kuwaweka MACHINGA kwenye maeneo maalum ya biashara. WENGI wa hawa Waheshimiwa wabunge wanapendekeza machinga waruhusiwe ETI KUWAFUATA WATEJA.
Tukiruhusu hiki kinachopendekezwa na...
Mimi sio Mchambuzi wa soka lakini kama Shabiki wa soka nimekuwa nikijifunza kla siku kupitia kuangalia Soka.
Baada ya Soka kuonesha mafanikio na ufuatiliwaji mkubwa kama kawaida Wenzetu(haswa Wazungu) waliona fursa na kuigeuza kuwa kati ya biashara kubwa sana Ulimwenguni.
Hivyo basi kama...
Wakuu Mimi ni Mwanachama na Shabiki Wa Team Ya Yanga.
.
Kimsingi nimepanda Jinsi Simba walivyoonesha domination ya uwanja wa Nyumbani.
.
Haijalishi ni Uwanja Wa Mkapa au Uwanja wowote Wa Nyumbani.
.
Team makini na Sahihi haiwezi kukubali Kupoteza Kwenye Uwanja Wa Nyumbani kwao ingawa mpira una...
Kwa watu wazima rika la mama yako either ni mama wa rafiki zako wakaja hospitali kupata huduma na wakakukuta wewe ,japo na madaktari wengine pia wapo, na matibabu yao yanataka kuwa expose sehemu zao za siri, je ni sahihi kukataa kuwatibu na kuomba daktari mwengine amtibu kwa kigezo cha...
Kazi yangu kubwa leo katika huu Uzi ni kusoma tu Maoni ( Comments ) za JamiiForums Great Thinkers (Werevu ) ili nami nijue na nijifunze mengi kisha nije kuwa kama nyie.
Karibuni nikitumai na walioko Washington sasa ikiwa ni saa 6 ikienda saa 7 za Usiku kama bado hawajalala watapata nafasi ya...